Home » , » AISIIIII……….U KILL ME ( Sehemu ya 43 na 44 )

AISIIIII……….U KILL ME ( Sehemu ya 43 na 44 )

Written By Bigie on Thursday, March 15, 2018 | 4:47:00 PM

MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWA
ILIPOISHIA   
Mama Mariam akajinyanyua taratibu kutoka kwenye mapaja yangu na kukaa pembeni huku akiendelea kuhema sana. Akamshuka jogoo wangu kwa mkono wake wa kushoto na kuanza kuminya minya ili kuwamalizia waarabu weupe watoke.  Akanyanyuka na kulifwata taulo lililopo kitandani, akiwa karibu ya kitanda nikamuona akiinama chini kama anaokota kitu akanyanyuka na kunigeukia sura yake nikaiona ikiwa imebadilika, moja kwa moja nikayapeleka macho yangu kwenye mkono wake, nikaona akiwa ameshika chupi ya bikini.
“Dany hii si chupi ya Asma, imefwata nini humu chumbani mwako”
Mama Mariam aliniuliza kwa saui ya hasira hata sura yake ya mapenzi mazito aliyo kuwa ananionyesha dakika chache zilizo pita ikapotea kabisa.
   
ENDELEA   
Nikabaki nikiwa nimemkodolea macho pasipo kuzungumza kitu chochote. Mama Marima akanifwata kwenye sofa nililo kaa huku akiendelea kuwa katika hali ya hasira.
 
“Hii chupi ya Asma humu ndani kwako imefwata nini?”
“Kwani hizo chupi zina majina?”
Ilinibidi kumuuliza mama Mariam kwa ukali, hadi akapunguza hasira yake, taratibu akakaa pembeni yangu.
“Umekazania kusema chupi chupi, huyo Asma ni lini nimeonana naye, lini ameingia ndani kwangu. Nimerudi nasikia amepotea narudi leo unaniambia maswal ya chupi wewe vipi, unahisi mimi ni mtu wa kumtomb** kila mwanamke humu ndani ya nyumba yako. Tuheshimieane bwana, kukupa nafasi ya kuwa na mimi sio kutaka kutawala kila kitu kwenye maisha yangu, utambue kwamba nina mpenzi wangu na anahaki ya kuja hapa muda wowote na si Asma au wewe”
Nilizungumza kwa ukali hadi mama Fatuma akatulia kimya, hakuwa na chakuzungumza zaidi ya kutetemeaka kwa woga, kwa manaa tangu aweze kunifahamu leo ndio ameweza kuisikia sauti yangu ya hasira na hata sura yangu imebadilika.
 
“Naomba unisamehe Dany mpenzi wangu ila…”
“Ila nini, unaleta wivu wakitoto wakati wewe ni mtu mzima hata mimni ndogogo kwako. Hembu nisikilize vizuri, ninaweza hata haya mapenzi nikayaua kuanzia leo na huto weza kunifanya kitu cha ina yoyote sawa”
Kuzungumza hivyo kukamchanganya zaidi mama Maria, aliye jikuta akipiga magoti chini kwa haraka na kuikusanya mikono yake mbele na kuniomba msamaha huku machozi yakimwagika. Nikamtazama kwa hasira iliyo changanyikana na uongo mtupu kwa maana kitu anacho kizungumza ni kweli hii chupi ya Asma, ila kutokana sihitaji ukweli kuweza kujulikana na huo Asma mwenyewe amekuwa ni adui kwangu, ilinibidi kuigiza ukali kumfanya mama Mariamu kuniamini na kuto nihisi vibaya.
“Dany ukifanya hivyo utanniua mpenzi wangu, samahani sana kama nimekuudhi, maisha yangu kwa sasa yanakutegemea wewe kwa kunipa furaha please baba angu nisamehe”
 
Nikaka kimya na kijifanya simuangalii kabisa usoni mwake, huku moyoni nikijisemea kimoyo moyo kwamba aliti angejua huyo Asma amemzidi viwango kwenye swala la kitandani wala asinge jisumbua kuniomba msamaha.
“Dany tazama jinsi ninavyo kutunzia penzi lako. Ni watu wanaume wengi wanapenda kunitongoza na wana maisha yao mazuri ila nina kataa kutokana na penzi lako”
“So unaniambia hivyo ukimaanisha kwamba wewe ni mzuri sana au?”
“Hapana Dany, nazungumza hivyo ili uweze kutambua thamani ya penzi lako kwangu, sina mwanaume mwengine ambaye anaweza kulihiili penzi langu zaidi yako, ndio maana nina wivu na wewe”
“Ila utambue kwamba nina mpenzi wangu”
Hapo mama Mariamu akaka kimya huku akitafakari cha kuzungumza, taratibu akanitazama huku akijifuta machozi.
“Dany nakubali hata kuwa mwanamke wa pili kwako, natambua umri ndio unafanya mapenzi yetu yawe hivi, umri ndio unafanya mimi kuwa mwanamke wa pili kwako”
“Unaweza kuwa wa kwanza, ila hujafanya kitu cha kunifanya nikuweke wa kwanza”
 
“Unataka nikufanyie kitu gani?”
Nikacheka sana kimoyo moyo, japo usoni mwangu nimekunja ndita za hasira, nikatamani kuonyesha tabasamu langu hadharani ila inanilazimu kuonyesha hasira niliyo nayo.
“Unataka kujua?”
“Ndio Dany niambie mimi nipo tayari kufanya”
“Ok nahitaji unipikie chakula kizuri kisha uniletee, hasira yangu ndio itakuwa imeisha”
“Kweli mpenzi wangu?”
“Ndio fanya hivyo”
Mama Mariam akanyanyuka kwa haraka akiwa amejawa na furaha moyoni mwake. Akanipiga busu la mdomoni, akatafuta chupi yake ilipo, akavaa, akachukua na kitenge chake kisha akavaa na kutoka chumbani kwangu. Nikanyanyuka kwenye sofa huku nikiwa nimeishia chupi ya Asma, nikafungua kabati, nikaiweka pamoja na bastola zangu nilizo zificha katikati ya nguo. Nikalifunga kabati vizuri, nikavua nguo zangu, nikachukua taulo na kuelekea bafuni.
 
    Nikiwa bafuni, akilini mwangu nikawa nina waza ni kitu gani cha kufanya ili kumpata Yudia. Kazi niliyo kuwa nayo mbele yangu ni kubwa sana kwani kucheza kwangu vibaya kutapeleka maisha ya familia yangu kuwa katika hatari kubwa. Nikamaliza kuoga, huku  nikikichunguza kidonda cha mbavuni mwangu, ninamshukuru Mungu kimefunga japo kina maumivu kwa mbali. Kila ninapo kitazama kidonda hichi, sura ya Asma inanijia kichwani mwangu, ninakumbuka ni jinsi ya penzi zito alilo nipa. Nikakumbuka historia ya maisha yake aliyo nieleza, pia nikakumbuka ushirikiano mkubwa alio nipatia wa kunionyesha namba ya simu ya K2, akidai ni miongoni mwa wakuu wa majambazi wanao kiongoza kikosi cha majambazi hapa Tanzania.
 
‘Imekuwaje na yeye kuwa jambazi?’
Swali hili sikulipatia jibu akilini mwangu, nikatoka bafuni na kueleka chumbani kwangu, nikawasha Tv na kuanza kupitia pitia baadhi ya vituo vya televishion ili niweze kufahamu ni kitu gani kinacho endele. Kupitia chaneli ya Clouse Tv, nikaona taarifa ya habari inayo husiana na msimama wa mkuu wa mkuo wa Tanga kudhamiria kupambana na ujambazi na mji wake utakuwa mji wa raha kama hapo awali na sio mji wa karaa kama ilivyo kuwa katika kipindi hichi kifupi.
 
“Nawahakishia wana wa Tanga, mji huu sasa hivi nitahakikisha hakuta ujambazi, wala wizi hata wa kuku. Mimi na jeshi la polisi tumejipanga vizuri, na tunatoa namba za dharura ukihisi mtu umuelewi elewi mtaani kwako, wewe tupigie simu tutahakikisha kwamba anakamatwa na kuwekwa ndani haraka iwezekanavyo”
Maneno ya mama yakanifanya niweze kutabasamu sana, kati ya wanawake majasiri mama yangu ni mmoja wapo, ana maamuzi magumu kama mwanaume na huwa hajali wala kuhofia mtu pale anapo amua jambo lake, hapo ndipo nikakumbuka maamuzi ya nyaraka halali alio yaamua kuyachukua ili kumfikia raisi na meya pamoja na wajinga wezake wakawa wanatizata ili kufanya maamuzi yao ya kijinga.
Taarofa hili ilipo weza kuisha, nikabadilisha chaneli nikiwa nimejawa na faraja kubwa. Nikaendelea kutazama vipindi mbalimbali vya televishion hadi ilipo timu majira ya saa saba mchana, mlango wangu ukafunguliwa, akaingia mama Mariam akiwa ameshika hotpot kubwa. Akaliweka mezani huku akiwa amtabasamu.
 
“Nakuja”
Alizungumza hivyo na kutoka chumbani kwangu, baada ya muda akarudi akiwa ameshika jagi lililo jaa juisi, akachukua sahanu moja sehemu ninapo ziweka, kisha akaandaa chakula ambacho ni biriani iliyo pikwa vizuri na nyama ya kukaanga.
“Unapenda biriani?”
“Umejuaje?”
“Kweli Dany?”
“Kweli ninaipenda tena sana”
Mama Marima na yeye akanawa mikono na tukaanza kula kwa pamoja. Kwenye swala la chukula huwa mama Marim ana jitahidi sana. Tukamaliza kula na kunywa, nikamshukuru kwa chakula chake kitamu.
“Usijali nitakuwa ninakupikia kila siku kama utakuwa unahitaji”
“Kweli”
“Yaa”
Akatoa vyombo mezani na kuvipeleka nje. Akarudi chumbani kwangu huku sura yake ikiwa na wasiwasi kidogo.
 
“Vipi?”   
“Dany unamgeni wako”
“Mgeni wangu?”
“Ndio amevalia suti nyeusi pamoja na miwani?”
Nikafikiria kwa haraka haraka kichwani mwangu ni mgeni gani ambaye anavaa kwa staili ya suti na miwani. Sikupata jibu la kuweza kumfahamu mgeni huyo. Kwa haraka nikafungua kabati na kuchukua pensi pamoja na tisheti nikavaa mbele ya mama Mariam. Nilipo hakikisha nipo vizuri nikatoka na kueleka nje. Nikakuta gari kutoka ikulu pamoja na jamaa aliye kuja kunichukua wiki iliyo pita akiwa ananisubiria.
“Habari yako kaka?”
“Salama”
“Nimekuja kukuchukua raisi anakuhitaji ikulu”
“Ikulu?”
“Ndio, nilikwenda kukutazama kwenye ile nyumba aliyo kupatia sikukuona, ila nikafikiria kuja hapa nnashukuru Mungu kukuta hapa”
“Ok sawa naomba basi unipe muda niweze kwenda kujiandaa”
 
“Sawa kaka dakika tano”
“Poa”
Nikarudi ndani kwa haraka, nikamkuta mama Mariam amekaa kwenye sofa.
“Naomba nijiande kuna sehemu ninaelekea mara moja”
“Dany yaani hata kiu yangu haijaisha unataka kuondoka?”
“Nakuomba sana, hili swala ni muhimu sana, nakuomba unipishe nivae”
“Si uvae tu mbele yangu”
“Mama Mariam tambua hili swala ni muhimu usitake nikasirike”
Nilizungumza kwa hasira kidogo na kumfanya mama Mariam kustuka, taratibu akaanza kutoka pasipo kuzungumza kitu cha ina yoyote.
“Hei”
“Mmmmm”
“Nakuachia funguo yangu, naomba ufanye usafi humu ndani kama huto jail”
“Sawa mpenzi si utarudi leo”
“Yaa nitarudi kwa nini umeuliza hivyo?”
“Kwa maana huwa ukiondokaga wewe kurudi ni kwa mashaka, sijui una mwanamke huko nje?”
 
“Acha kufikiria hayo”
Mama Mariam akatoka chumbani kwangu, nikaufunga mlango kwa ndani, nikafungua kabati, nikatoa moja ya suti yangu ya rangi ya kijivu. Nikatoa na shati jeupe na kuviweka kitandani. Kutokana hazijajikunja, nikaanza kuvaa kwa haraka, nilipo maliza kuvaa nguo pamoja na viatu nikaanza kuchomeka bastola zangu kwenye sehemu ambazo huwa ninazoea kuchomeka. Nikajiweka koti vizuri nikajitazama kwenye kioo, nywela zangu ndogo ndogo zimekaa vizuri, usoni sina haja ya kupaka mafuta. Nikaiweka wallet yangu mfukoni ambayo ina vitambulisho vyangu pamoja na kadi za benki. Nikajinyunyizia pafyumu kidogo kisha nikatoka chumbani kwangu. Nikamkuta mama Marim kwenye kordo akinisubiria.
“Mmmm umependeza honey”
“Kweli?”
“Yaa”
Akaniweka vizuri kola ya shati langu, akanipiga busu la mdomo kisha nikatoka nje. Nikaingai kwenye gari, safari ikaanza huku kichwani mwangu nikiwa ninawaza kuna jambo gani ambalo limetokea hadi raisi ananiitaji.
“Kuna ishu gani ikulu?”
“Kusema kweli sifahamu kaka, si unatambua muheshimiwa huwa sio muongeaji sana, huwa anatoa amri tu”
“Yaa nalitambu hilo”
Hatukuchukua muda mrefu, tukafika ikulu moja kwa moja nikaelekea katika ofisi ya raisi. Nikamkuta akwia yupo na Babyanka wakiwa wanazungumza.
 
“Shukamoo muheshimiwa”
“Marahaba habari yako Dany”
“Salama muheshimiwa”
“Ulikuwa umejificha wapi, tangu jana hupatikani”
“Kweli muheshimiwa, nimefanya uzembe wa kuto kuwa na simu tangu nitoke hospitali”
“Kweli aisee nilikosa muda wa kuja kukuangalia, ila vipi jeraha lako linaendeleaje?”
“Ahaa kwa sasa lipo vizuri ninia weza kufanya kazi”
“Safi”
Tukasalimiana na Babyanka kwa ishara kwa maana muheshimiwa raisi ametawala sana mazungumzo. Nikaka kwenye kiti cha pembeni akatutizama kwa sekunde kadhaa kisha akachukua moja ya faili na kuliweka mezani.
“Nyinyi ni vijana wangu ninao waamini. Katika safari ya kutumbua majipu ya wajinga wajinga, nyinyi ndio mutakao nisaidia.”
“Hili faili hapa juu lina husiana na upotevu wa madini yenye thamani ya zaidi ya dola bilioni mia moja, hizo ni trionio za shilingi. Wahusika walio hujumu hizo pesa, wamekwenda kujiweka huko Marekani na wengine kujidai wamekufa na serikali isiwatambue. Ila mimi ndio raisi wa kuwatambua na kuwafufua huko walipo.”
 
“Sasa nataka kuwatuma huko Marekani, kuna hili jikiongozi linaitwa Bahati na hili jengine hapa linaitwa Kaniki. Haya yanavyo julikana kwamba eti yamekufa, ila mtandao wangu wa kitelejensia umegundua yapo na yanakula maisha huko Las Vegas na yanamwaga pesa za watanzania kwa wadada wanao cheza uchi uchi tuu. Hii hapa ndio video zao”
Raisi akatupatia simu yake, akatonyesha video inayo waonyesha viongozi hawa wakiwa kwenye moja ya kumbi kubwa ya starehe wakimwaga dola kwa wasichana wenye makali makubwa huku wakijitamba kwamba wana pesa.
“Sasa hiyo yote imejitengenezea ngome za uhakika, ila ninacho kitaka ni wao kuwarudisha hapa Tanzania na kuifunga hapa hapa Tanzania, ni tutaifilisi kila kitu”
“Sawa muheshimiwa tumekuelewa, tutaifanya hii kazi kwa siku chache na itakamilika”
“Nitashukuru sana vijana wangu, ila munakwenda kule kama watalii, na wala sijawasiliana na ubalozi wa huko kama nina watuma vijana wangu. Nitawapa muongozo wa rafiki yangu mmoja yupo kule atawapokea na kila kitu kitakwenda kama tulivyo panga”
“Sawa muheshimiwa ila mimi nina ombi moja”
“Ombi gani?”
 “Alitekwa na nani?”

“Ni miongoni mwa watu walio hitaji kuweza kukuvamia msafara wako na kukuua. IIla tuliweza kuwadhibiti wachache, na mkuu wao aliweza kunipigia simu na kunipa ahadi ya kuiteketeza mafilia yangu. Ila ndani ya serikali yako katika watu wa ulinzi kuna kiongozi wa hilo kundi la watu wanao hitaji kukuua”
Kwa maneno yangu, yakamfanya raisi kuweza kuvua miwani yake na kunitazama kwa mshangao.
“Ninakuomba muheshimiwa kuanzia sasa, vunja kamati yako ya ulinzi na uwachuje au uwape mtihani mdogo hapo ndipo utakapo tambua msaliti ni nani”
“Nimekuelewa Dany, huyo kiongozi wa hilo kundi ni nini?”
Nikashusha pumzi nyingi huku picha ya K2 ikinijia kichwani mwangu, ninawaza nimtaje au nisimtaje.
“Dany ni nani huyo nitajie sasa hivi nimfukuzee kazi na kumuweka ndani”
“Msaliti ni K2 mkuu wa NSS na yeye ndio master plan wa maangamizi yako”
Raisi taratibu akanyanyuka kwenye kiti huku akiwa amejawa na mshangao mkubwa sana, hata Babyanka akanitazama kwa mshangao kwa maana K2 jinsi anavyo aminika nina amini hakuna ambaye anaweza kuamini kitu ninacho kizungumza kwa sasa.

                            AISIIIII……….U KILL ME 44

Ukimya ukatawala ndani ya ofisi huku raisi akionekana kutafakari jambo fulani kichwani mwake. Akatingisha kichwa huku akikaa kwenye kiti chake.
“Dany kwa hapo umekosea tena umekosea sana. K2 ninamuamini na ndio mtu aliye simamamia kampeni zangu tangu ninaanza harakati za kugombania uraisi, laiti angekuwa msaliti asinge nilinda hadi leo kufika hapa”
Raisi alizungumza kwa kujiamini na kunifanya nivunjike moyo kabisa kwa kitu ambacho nilihisi yeye ndio atakuwa msaada mkubwa.
 
“Ninaomba unipatie muda katika kulifwatilia hili mkuu”
“Hilo siwezi kukuachia ulifwatile kwa maana halina ukweli ndani yake sawa”
Raisi alizungumza kwa ukali kidogo huku akinikazia macho.
“Sawa muheshimiwa”
“Sasa turudi kwenye point. Tiketi zenu na hati za kusafiria zipo tayari, ndege itaondoka saa tano usiku leo, pesa za matumizi kila mmoja zimeingizwa kwneye akaunti yake ni dola laiki moja moja kwa kila mtu”
“Asante muheshimiwa”
“Sasa muna masaa kujiandaa, niwaruhusu mukajiandae”
“Sawa”
“Chukueni na hili faili, taarifa nyingine mutapewa mukifika Marekani”
Tukanyanyuka kwenye viti vyetu na kuanza kueleka mlangoni, ila kabla hatujaufika raisi akamuita Babyanka, ikanibidi mimi kutoka nje. Kitendo cha kufunga mlango nikashusha pumzi nyingi sana kwa maana kali niliyo itoa na mtu ambaye nimeeleza ukweli juu yake anaonekana kuaminika sana kwa muheshimiwa raisi. Nikatoka nje na kumsubiria Babyanka kutoka. Baada ya dakika tano akatoka na kunifwata sehemu nilipo simama.
 
“So tunaanzia wapi?”
“Nikupeleke kwako, kisha nielekee home nikajiandea na kuzungumza na mama nimuage”
“Utakuwa umefanya jambo la maana vipi hati za kusafiria?”
“I hope tutapewa muda si mrefu na sektretari wake, kidogoa metoka”
“Tumsubirie”
Tukaingia kwenye gari la Babyanka, akawasha mziki wa taratibu na kaupepo ka A/C(Air condition) kikaendelea kuiburudisha miili yetu kwa maana joto la Dar es Salaam kwa kipindi hiki limezidi mara dufu tofauti na hata miaka ya nyuma.
“Dany”
“Naam”
“Hivi uliyo yanzungumza pale kwa raisi ni kweli?”
“Nimeongea mengi, lipi moja wapo?”
“Kuhusiana na K2, kwa maana umemfanya hadi raisi kuanza kuweka wasiwasi na wewe”
“Weeee!!”
“Yaaa nikaona ni vyema kukuambia wasiwasi alio kuwa nao juu yako, mpaka ameniambia kwamba nikutazame nyendo zako”
Nikashusha pumzi huku kwa mbali mapigo ya moyo yakidunda kwa kasi, ikiwa kama binadamu kuwa na wasiwasi ni jambo la kawaida tena wasiwasi huo unataka kwa mtu mwenye mamlaka yote katika nchi yangu.
 
“Kwa hiyo kuwa makini Dany na uyasemayo siku nyingine”
“Nipo makini ila kama haniamini, ipo siku na msaa atakuja kuniamini tu”
“Nimetambua ni kwa nini hakuamini na ulicho kizungumza kwake kimemchefua sana”
“Ni kwa nini?”
“K2 ni mdogo wake, mama mmoja ila baba tofauti”
“Weeeee!!!”
“Hiyo ndio habari uipate japo kwa Watazania haijafunguka sana, kupuka yale maneno sijui kaweka ndugu sikui kimenda kimeshuka”
Taratibu moyoni mwangu nikajikuta nikianza kuingiwa na roho ya kukata tamaa, hata kazi ambayo umeagizwa nikaanza kuifikiria kwa upande mwingine ambao ni mbaya sana kwa watu tunao fanya kazi hii ya upelelezi.
“Ila usife moyo, kama uliyo yazungumza yana ukweli ndani yake, ipos siku mambo yatakuja kudhihirika”
“Kweli”
Kioo cha dirisha la upande wa Babyanka likagongwa kidogo na kutufanya wote tugeuke, tukamuona dada aliye valia suti nyeusi akitutazama, taratibu Babyanka akafungua kioo cha gari.
“Habari zenu wapendwa?”
“Salama tu”
“Hizi ni baasha ya kila mmoja wenu. Dany ya kwako hii hapa, humo ndani kuna hati ya kusafiria, kuna bank sleap pamoja na kadi ya bank itakayo kuwezesha kutoa pesa ukiwa nchini Marekanani. Husasni na kwako Babyanka kila kitu kipo humo kama nilivyo taja kwa Dany”
 
“Asante sana”
“Mimi niwatakia safari njema na kazi njema. Kikubwa kuweni makini na muifanye kazi kwa ufasaha kama anavyo penda muhesimiwa”
“Mungu atutangulie katika hilo”
“Haya kwaherini”
Dada huyo akaondoka, Babyanka akapandisha kioo cha gari, kila mtu akafungua bahasha yake na kukuta kile tulicho elezwa, nyuma ya kirisiti kinacho onyesha pesa kuingizwa kwenye akaunti zetu kina namba za siri.
“Huyu mzee tuienda naye vizuri, hadi mwisho wa madaraka yake ujue tumekuwa matajiri mskaji wangu”
“Umeona ehee, mimi nitaacha hii kazi, nitafute chochote cha kufanya”
“Huyu akistaafu tunamuomba hata atupe ukuu wa wilaya tukae na sisi maofisini sio kila siku kwenda kuyaweka maisha yetu rehani”
“Umeona ehee hilo wazo zuri Babyanka”
“Haya tuondoke zetu”
Babyanka akawasha gari lake, akageuza na taratibu tukaeleka getini, akasaini kwenye kitabu maalumu cha watu wanao ingia na kutoka ikulu, kisha tukaondoka.
“Usielekee Masaki twende Sinza”
“Sinza kufanya nini?”
“Ndio ninapo ishi?”
“Kwani bado hujahama tu?”
“ Bado rafiki yangu, ile lile jumba tangu nipewe sijawahi kulala”
“Unaogopa nini?
“Hapana, matatizo ya hapa na pale”
“Mimi nimesha zoea kabisa yaani najisikia vizuri nikikaa kule kuliko hata kwa wazai”
 
“Nitaanza kuishi nikirudi”
Tukafika nyumbani kwangu tukaagana akaniahidi saa mbili usiku atakuwepo nyumbani kwangu. Nikaingia ndani, nikakutana na Mariam akitoka kwenye kordo yake.
“Dany mambo”
Alinisalimia kwa furaha kubwa sana kiasi cha kushindwa kuzuia hisia zake, akaja kunikumbatia.
“Savi vipi bi mkubwa yupo?”
“Hayupo ametoka”
“Amekwenda wapi?”
“Kwenye maswala yao ya vikoba huko”
“Funguo yangu hajakuachia?”
Nilimuuliza hivyo Mariam huku nikiwa nimesimama mlangoni mwangu.
“Hajaniachia, labda niangalie chumbani kwake”
“Ok hembu namomba uniangalizie”
Mariam akaanza kualekea kwenye chumba chake, huku suruali aliyo ivaa ikilishikilia vizuri kalio lake lililo jaa vizuri. Baada ya dakika mbili akarudi akiwa ameishia funguo yangu, hakutaka kunipatia mkononi moja kwa moja akaichomeka kwenye kitasa na kufungua chumba. Akataka kutangulia ila nikamzuia.
 
“Mbona unatangulia kama kama chumbani kwako?”
“Mmm Dany hembu acha hizo, ni mara ngapi ninaingia chumbani kwako pasipo wewe kunizuia?”
“Sawa, ila umesahau mimi ndio nimerudi natakiwa kuingia chumbani kwangu kwanza hata kama kuna mabomu niweze kuyategua”
“Hahahaa mabomu yatokee wapi Tanzania hii, hembu niache bwana”
Mariam akanisukuma kidogo na kuingia ndani na mimi nikafwata nyuma yake. Harufu nzuri manukati ndio imetawala ndani kwangu huku chumba kikiwa kimepangwa vizuri sana.
“Mmmm Dany sio wewe uliye panga hivi?”
“Kwani siwezi?”
“Huu upangaji sio wa mwanaume hususani Dany wewe ninaye kujua nikiingia ndani kwako nakuta mashuka yamechanguka changuka”
“Ni mimi bwana”
“Tuyaache hayo, ya siku nyingi?”
Mariam alizunumza huku akiipitisha mikono yake kiunoni mwangu, sikuwa na haja ya kumzuia kufanya hivyo kwani chembechembe za upendo juu yake bado zipo.
 
“Safi”
“Nimekusubiria Dany kwa muda mrefu, leo sasa naomba haki yangu tafadhali”
Nikatabasamu huku nikimtazama usoni, akanisogelea na kunibusu mdomoni mwangu, msisimko ambao niliupata siku ya kwanza nilipo mpiga busu la mdomoni ndio msisimko ninao upata kwa sasa. Mariam akaanza kutoa miguno ya kimahaba nuku akianza kunivua koti langu. Mkono wangu wa kushoyo ukazidi kumvuta karibu sana, huku nikihakikisha mkono wa kulia ukiwa unayatomasa maziwa yake.
“Dany ngoja nifunge mlango”
Marim akaniachia huku akisukumiza mlango vizuri na kubana, akafunga kwa funguo kabisa na kuvua tisheti aliyo ivaa na kubakiwa na siridia. Akanirudika, pasipo hiyana nikamdaka vizuri mapaja yake aliyo yapitisha kiunoni mwangu na mikono yake akiipitisha mabegani. Tukazidi kunyonyana midomo yetu huku hisia kali zikiendelea kutawala miili yetu.
 
    Nikamlaza kitandani huku nikianza kuvua nguo zangu, sikuhofia kuhusiana na bastola zangu kama anaweza kuziona au laa. Kwa kuchangayikiwa na wingi wa hisia wala hukushangaa kuziona bastola zangu nikiziweka mezani. Nikavua suruali pamoja na boksa kisha na yeye nikamvua suruali yake pamoja ya bikini niliyo mkuta nayo. Tukabaki kana tulivyo zaliwa, nikayapanua mapaja yake na kuanza kukinyonya kitumbua chake ambacho ni kwa muda mrefu nina kitamani sana. 
 
Mariam akazidi kutoa miguno ya raha hadi nikawasha redio ili kama kuna mtu atapita dirishani asiweze kutusikia, nikazidi kuuchezesha ulimi wangu kwenye kitumbua chake huku nikihakikisha ninamnyonya hadi apagawe kabisa kwa maana alisha wahi kuniambia kwamba ni bikra.
“Dany ooooooo, na piz……”
Nikamuachia, kwa haraka akaka kitako kitandani na kuanza kumnyonya jogoo wangu aliye simama, vizuri na ujazo wa kutosha anaye weza kula kitumbua cha msichana yoyote hata awe na kitumbua kikubwa ataweza kukila na kukimaliza kisawa sawa. Mariam akatosheka kumnyonya jogoo wangu ambaye kwa mara kadhaa alikuwa akimpigisha pisha kwenye mashavu yake. Akalala chali na kuipanua miguu yake, taratibu nikaanza kumuingiza jogoo wangu, hata kabla kichwa hakijazama Mariam akakunja sura akionyesha anapata maumivu makali sana.
 
“Vipi?”
“Naumia Dany”
“Taratibu naingiza”
Akatingisha kichwa kunikubali, kitendi cha kicha cha jogoo wangu kuzama, kikapelekea damu kuanza kutoka katika kitumbua cha Mariam aliye ikunja sura yake akionekana kujitahidi kuvumilia maumivu. Kusema kweli kwenye maisha yangu yote nimepitia wasichana wengi ila sijawahi kubahatika hata kumpata mmoja mwenye bikra. Mariam ndio msichana wangu wa kwanza kumvunja bikra. Nikaendelea kula kitumbua kipya cha Mariam, kadri dakika na muda unavyo zidi kwenda ndivyo jinsi anavyo zoea utamu wa jogoo wangu, taratibu akaanza kukizungusha kiuno chake.
“Ongeza kasi honey”
 
“Huto umimi?”
“Mmmm najikaza hivyo hivyo”
“Sawa”
Nikavuta pumzi ya kutosha kabisa ya kukaa kifuani mwangu, nikaanza kukila kitumbua kwa kasi iliyo mfanya Mariam kutoa vilio ambayo sikufahamu kama ni vilio vya raha au vilio vya maumivu. Nikajaribu kupunguza kasi ila akaniomba nizidi kuongeza kasi, ikanibidi kufanya hivyo, japo jogoo wangu ametawaliwa na damu ila sikulijali hilo, kadri muda ulivyo zidi kwenda ndivyo nilivyo zidi kumuona Mariam akilegea, kwa mara ya kwanza nikajua ni mapozi ya mapenzi, ila dakika tano mbeleni macho yakambadilika, kitu kilicho nitisha na kuniogopesha ni jinsi mboni za macho yake zilivyo potea na kutawalaliwa na rangi yeupe tu. Nikajikuta nikimchomoa jogoo wangu kwenye kitumbua cha Mariam, huku jasho likinimwagika kisawa sawa na mapigo ya moyo yakinienda kasi.
“Mariamuuuuuuuuuuu”
Niliisikia sauti ya Mama Marim iliyo zidi kunichanganya na kujikuta nikikaa chini sakafuni huku machozi yakinilenga lenga. Nikanyanyuka taratibu na kumtazama Mariam, jinsi alivyo lala hajabadilisha hata mkao, mapigo yake ya moyo yamesimama kabisa jambo lililo zidi kunichanganya maradufu na saa yangu ya ukutani inaonyesha ni saa mbili kasoro usiku na muda si mrefu Babyanka atakuja kunipitia kwa ajili ya kwenda Marekani kuifanya kazi ya muheshimiwa riaisi.

ITAENDELEA

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts