Get the latest updates from us for free

Home » , » AISIIIII……….U KILL ME ( Sehemu ya 51 na 52 )

AISIIIII……….U KILL ME ( Sehemu ya 51 na 52 )

Written By Bigie on Tuesday, March 20, 2018 | 12:10:00 PM

MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWA                       
ILIPOISHIA      
  Nikasikia Monica akimuambia mzee huyo anahitaji hati, mzee huyo akampatia bahasha, Monica huku simu akiwa ameibana sikioni mwake, akatoa hati ya nyumba.
“Ni hati yenyewe?”
“Ndio ni hati nyenyewe?”
“Ina jina gani?”
“Raja Bahamuz”
“Ok mpatie mtoto wake”
Nilipo hakikisha Monica amekabidhiwa kila kitu nikasimama sehemu niliyo kuwa nimelala nikilifwatilia tukio hilo.
“Nyoosha mikono yako juu na bastola yako itupe pembeni”
Niliisikia sauti ya K2 nyuma yangu, jambo lililo nifanya mwili mzima kunisisimka kwa hasira kali
   
ENDELEA
Taratibu nikanyoosha mikono yangu juu, huku bastola yangu nikiitupia pembeni.
“Geuka nyuma”
Alizungumza kwa ukali, nikafanya kama alivyo hitaji niweze kufanya. Taratibu nikageuka huku nikimtazama usoni. Alipo niona ni mimi akabaki akiwa ameduwaa, macho yamemtoka, nikahisi hata nguvu za mwili zimemuishia.
 
“Halloo K2”   
Nilizungumza huku nikimtazama kwa macho ya dharau. Nikaitazama mikono yake nikaiona jinsi inavyo tetemeka kwa woga, nikatambua kwamba hii ndio nafasi yangu ya kuweza kumshambulia. Pasipo kufikiria kwa maya ya pili nikajituma hewani huku nikirusha teke lililo elekea maeneoa ya mikono ya K2 na bastola yake ikaangukia pembeni. Hapo ndipo K2 alipo jipanga kwa kukabiliana na mimi woga na wasiwasi ukamtoka. Akaanza kurusha ngumi za huhakikia ambazo nyingi katika hizo niliweza kuzikwepa japo kuna baadhi ya ngumi hizo zilinipiga kwenye baadhi ya mwili wangu.
‘Hakikisha unarudi na kichwa cha K2 hapa’
Kauli ya mama ikanirudia kichwani mwangu, roho ya kinyama ikaniingia moyoni mwangu. Nikaanza kujibu mashambulizi ya K2 kwa kasi kubwa na nguvu. Ngumi zangu kwa wakati huu ninaimani zimeongezeka uzito, kila ngumi niliyo mpiga iliweza kumyumbisha.
 
    Gafla nikaanza kusikia milio ya risasi ikitokea uwanjani, nikageuza macho yangu na kuona kundi la wana kikosi cha NSS, walio valia suti nyeusi wakija kwa kasi. Nikampiga mtama mmoja K2 na kuanguka chini, na kuanza kubingiria kwenye ngazi za uwanja huu. Kwa haraka nikaifwata bastola yangu ilipo huku nikiwa ninaruka sarakasi zilizo nisaidia sana kuweza kukwepa risasi za wezangu hawa ambao kwa sasa tumekua kama maadui.
Nilipo hakikisha bastola yangu nimeishika vizuri mkononi, sikuwa na haja ya kuanedelea kukaa katika eneo hili, kwa kupitia sehemu niliyo ingilia katika uwanja huu, ndio njia ninayo tumia kutoka. Nikashuka kwenye ukuta huo kwa haraka na kusimama nje. Nikatazama gari langu sehemu lilipo sikuliona hapo wasiwasi ndipo ulipo anza kunikabili.
 
“Ingia kwenye gari”
Niliisikia sauti ya Monica akizungumza pembeni yangu huku akiwa amesimamisha gari langu pembeni yangu,    nikamtazama kwa sekunde kadhaa kisha nikaingia kwenye gari, na akaliondoa kwa kasi katika eneo hili.
“Ulikuwa umekwenda wapi?”
Nilizungumza huku nikiwa ninatazama nyuma kuangalia kama kuna gari ambazi zinatufwata.
“Nilichukua gari kuliweka sawa kwa maana nilisha kuona umewekwa kwenye ulinzi”
“Ulijuaje kama ningeweza kutoroka eneo lile?”
“Unaonekena ni kijana shupavu, sio mtu wa kukamatwa kiurahisi rahisi kiasi kile, tena na mwanamke”
Manano ya Monica kidogo yakanitatanisha akilini mwangu, nikawaza labda alihitaji kuondoka na gari langu na kubadilisha mawazo yake, ubaya niliufunga mlango na kuondoka na funguo zangu.
 
“Funguo za gari ulizipatia wapi?”
“Nilizikuta nje ya gari zimeanguka”
Nikajipapasa sehemu nilipo kuwa nimeziweka na ni kweli sikuzioona.
“Sasa tunaelekea wapi?”
Nilimuuliza Monica ambaye yupo makini barabarani akizidi kuongeza mwendo kasi wa gari.
“Tunaelekea nyumbani kwangu”
“Ni wapi?”
“Wewe twende utapaona”
Monica hakusimamisha gari, tukafika maeneo ya Jaje, akazidi kusonga mbele kueleka maeneo ya Pangani. Katikati ya msitu akakunja kushoto mwa barabara ambapo kuna barabara ndogo inayo ruhusu gari kuweza kupita. Tukazidi kusonga mbele, kidogo wasiwasi ukaanza kunipata, bastola yangu nikaishika vizuri endapo kutatokea jambo lolote la hatari basi ninaweza kujitetea.
 
Tukafika kwneye moja ya nyumba ndogo ambayo kwa haraka haraka ndio imemalizwa kujengwa hata nje rangi haijapakwa. Akasimamisha gari nyuma ya nyumba hii.
“Tumefika, hapa ni nyumbani kwangu, nimejitahidi tahidi na kujenga hapa”
Monica alizungumza huku akigeuka nyuma na kuchukau brufecase pamoja na bahasha yenye hati ya yumba. Tukashuka kwenye gari, nikazunguka nyuma ya gari na kufungua buti la gari, kila kitu changu nilicho kiweka hususani begi la pesa, nikavikuta vipo humo. Nikafungua zipu ya begi na kukuta pesa yangu ipo kama nilivyo iacha. Nikafunga buti la gari, Monica akanikabidhi funguo ya gari, nikalifunga kiuhakika, kisha tukaingia ndani ya yumba yake.
 
    Akawasha taa, hapo ndipo nilipo weza kuona uzuri wa nyumba hii kwa ndani. Ni nyumba ambayo imepangika vizuri, kuna thamani za garama huwezi kuamini kama Monica ambaye anajiuza mwili wake anaweza kuwa na nyumba nzuri kama hii, japo ni ndogo ila inamtosha kwa mtoto wa kike kama yeye.
“Nikupe kinywaji gani?”
“Ahaa kwa sasa sihitaji kinywaji”
Nilizungumza huku nikikaa kwenye sofa. Monica akanikabidhi brufcase pamoja na bahasha, kitu cha kwanza kukito ni hati ya nyumba kwenye bahasha. Nikaaanza kuikagua neno moja baada ya jingine, nikakuta ndio hata halali ambayo mama alipokonywa nyumba yake na kuuziwa huyu mjinga muarabu. Nikatoa simu yangu mfukoni na kuanza kupiga picha ya hati hii kisha kwa haraka nikamtumia mama. Monica akakaa kwenye sofa jingine huku akinitazama, nikafungua brufcase na kukuta vibunda vya shilingi elfu kumi kumi.
 
“Nashukuru sana Monica kwa msaada wako ulio weza kunisaidia”
Nikatoa kibunda kimoja cha pesa, kisha nikamsogezea brufacse hiyo Monica.
“Nini?”
“Zote ni zakwako”
“What? Dany your not seriously?”
“Am serious”
Monica kwa haraka akanyanyuka kwenye sofa na kunifwata nilipo kaa, akanikumbatia kwa nguvu huku akiwa amejawa na furaha sana. Kwa haraka akaanza kuvua nguo zake alizo zivaa, huku akininyonya midomo yangu, msisimko mkali wa mapenzi ukaanza kutawala mwilini mwangu. Monica akaisogeza meza ya kioo pembeni kisha akanivua suruali yangu pamoja na boksa.
 
Jogoo wangu tayari alisha simama, kutokana na msisiko huo ninao upata. Akamshika vizuri na kuanza kumnyonya taratibu huku akiwa anamchua kwa umakini wa hali ya juu.
“I miss this mb**”
“Kweli?”
“Yeah”
Monica akaendelea kuinyonya, alipo ridhika, akajipaka mate kidogo aliyo yatemea kwenye kiganja chake kwenye ikulu, kisha taratibu akanikalia mapajani mwangu na jogoo wangu akamkalia huku akiyafumba macho yake kwa utamu anao upata.
Mikono yake nikaipitisha kiunoni mwake, na shuhuli ya kupeana burudani ikaanza, ubora wa Monica bado upo pale pale, kiuno chake bado ana kihimili katika kumkatikia jogo wagu. Monica akamchomoa jogoo wangu kwenye kitumbua na kumchomeka mkund**i mwake, nikataka kumchomoa ila akajikaza na kunifanya nizidi kusikia utamu.
Mtanange wa kukata kwa shoka ukaendelea hadi sote tukajikuta tunafikia tamani tukiwa tumechoka, na jasho linatumwagika.
 
“Bado utamu w ambo** yako ni ule ule”
“Real?”
“Yeaahh”
Monica alizungumza huku akichukua rimoti ya A/C na kuwasha. Akasimama na kutembea hadi friji lilipo kuwepo, akafungua na kutoa mzinga wa whyne na kurudi nao mezani.
“Dany nikuulize kitu?”
“Uliza tu”
“Kwa nini umeamua kunipa pesa zote hizi?”
“Kwa kitu ulicho nifanyia kina umuhimu mkubwa kuliko hata pesa ambayo ipo hapo mezani. Na wewe nikuulize kitu?”
“Uliza?”
“Kwa nini uliamua kuhatarisha maisha yako kwa ajili yangu?”
“Dany ninatambua kila kinacho endelea, natambua kwamba unatafutwa na dau nono limetangazwa kwa atakaye fanikisha kukamatwa kwako. Ningeweza kukusaliti ila nikakumbuka maneno yako uliyo wahi kunieleza kuhusiana na maisha ndio hadi leo yaliishi kichwani mwangu, na kupitia mawazo yako ndio leo yalinifanya niwe na hii nyumba”
 
Monica alizungumza huku akikilaza kichwa chake kwenye bega langu la mkono wa kushoto.
“Dany ni bora ukakutana na mwanaume akakupa mawazo kuliko mwaname atakaye kupa pesa na kuandelea kukutumikisha katika utumwa wa ngono.”
Monica alizungumza huku machozi yakimwagika.
“Nilitamani hata siku moja niweze kukuona, ili niweze kupata mawazo mengi kutoka kwako. Nilitamani hata siku moja uje kuwa mwanaume wa ndoto zangu. Sisi malaya sio kwamba hatuna mioyo ya kupenda, tunayo Dany, ila ndio hiyo watu wanatuchukulia kwamba sisi ni watu ambo sijui ni kama kitu gani kibaya tuona kwenye jamii hii.”
 
“No Monica usilie mamy”
Nilizungumza huku nikianza kumfuta machozi, hata mzinga wa Wyne alio uweka mezani hapakuwa na mtu ambaye anatamani kuunywa.
“Monica”
“Bee”
“Pesa niliyo kupatia hembu jaribu kuhakikisha kwamba unatengeneza maisha yako na biashara zako. Hata kama unaweza kuihama hii Tanga hama, nitakuongezea na pesa nyingine ili uweze kuyafanya maisha yako kuwa bora”
“Asante sana Dany, ila kuna jambo nahitaji kukuomba”
“Nakusikiliza”
“Naomba tuwe pamoja maishani, nakuomba uwe mume wangu, nakuomba unipende, wewe ndio mwanaume mwenye moyo wa kujali hisia za mwanamke, sinto jail kwamba wewe wanakuita gaidi, sinto angalia hilo, ninacho kihitaji ni wewe kuwa wangu maishani mwangu”
Nikajikuta nikishusha pumzi nyingi sana, sikutaka kumueleza kuhusiana na mahusiana yangu na Asma ambaye hadi sasa amenizalia mtoto mmoja wa kike.
 
“Dany nipo tayari kufa ili niwe na wewe, hii pesa haina thamani kwangu endapo utakuwa si wangu. Sinto mvulia mwanaume yoyote nguo aweze kunitomb** wala kunifi**. Nakupenda Dany”
Maneno ya Monica yakazidi kunifanya niwe kimya huku ninamtazama usoni. Sikuwa na jinsi ya kufanya zaidi ya kumkubalia tu Monica, kabla sijazungumza kitu cha aina yoyote simu yangu ikaita. Nikaichukua nilipo iweka juu ya meza na kuipokea na kukuta ni mama ndio anaye piga.
“Ndio mama”
“Umefanya kazi nzuri sana mwangu”
“Asante mama”
“Hii hati ni sahihi kabisa, ila ulinzi kwa sasa umezidi kuongezwa na unazidi kutwafutwa”
“Usijali mama nipo  salama hakuna anaye weza kunikamata”
“Kwanza upo wapi?”
“Nipo nje ya jiji la Tanga kabisa”
“Ahaa sawa sawa, kikubwa uwe makini, hakikisha unaifanya kazi yako kwa usahihi kabisa, usimuamini mtu hata kama anakulilia kwa machozi ili umkubali”
 
Maneno ya mama yakanistua kidogo, nikamtazama Monica anye weka wyne kwneye glasi.
“Kivipi mama?”
“Naamini ya kwamba wewe sio mtoto mdogo, hakikisha kwamba kila kitu unakifanya wewe kama wewe”
“Sawa mama nimekuelewa”
Nikakata simu na kuirudisha mezani. Monica akanipatia glasi ya wyne inayo tengenezwa Dodoma, taratibu tukaanza kunywa huku Monica akiwa amekaa pembeni yangu.
“Dany wewe ni mzuri”
“Hahaa hata wewe ni mzuri”
Monica akawasha Tv iliyopo katika eneo hili, huku tukiendelea kunywa mvinyo huu taratibu. Tukamaliza kunywa chupa ya kwanza, akaleta chupa ya pili nayo tukaimaliza, kidogo nikaanza kuwa na mashaka na Monica na kujiuliza ni kwa nini anahitaji mimi kulewa kwa kisi hiki.
“Usiniongezee kinywaji?”
“Tumalizie tuu hichi honey”
Monica alizungumza kwa sauti ya kilevi huku akinitazama usoni mwangu. Akaniwekea kiasi kidogo kilicho baki kwenye chenye chupa, na kunilazimisha kuanza kunywa. Sikukataa nikaknywa kwa haraka na glasi nikaiweka mezani. Nikanyanyuka huku nkiwa ninayumba yumba.
 
“Glasi po wapi?”
“Glasi…..!!?”
“Ahaa no sio glasi ni choo kipo wapi?”
“Kipo kule”
Nikaichukua bastola zangu zote mbili, simu pamoja na funguo ya gari, nikainga chooni, kwa bahati nzuri nikakuta kuna sinki la kunawia mikono. Nikaweka vitu nilivyo vishika pembeni sehemu ambayo haviwezi kuinga maji. Nikafungua bomba la maji na kuanza kusokomeza vidole mdomoni. Kichefuchefu kikali kikanikamata, nikaanza kutapika pombe yote ambayo nimekunywa. Nilipo hakikisha kichefuchefu chote nikasukutua maji ya kutosha na kukisafisha knywa changu. 

Nikasimama wima huku nikvuta pumzi nyingi na taratibu nikaiachia. Wenge loto la pombe kichwani mwangu likawa limeondoka. Tishet ambayo mama amenipata sikuhtaji kabisa kuivua kwa maana ndio ulizi wangu namba moja. Nikachukua vitu vyangu nilivyo inga navyo na kutoka chooni huko, nikafika sebleni sikumuona Monica, ila kila kitu kipo.
“Nimesema sikuhitaji kuanzia sasa hivi, na sitaki tena kazi ya umalaya”
Niliisikia sauti hiyo ikitokea chumbani kwake, nikausogelea mlango na kusikiliza kitu anacho kizungumza.
“Nina mume wangu nimekuambia, si kila siku unahitaji kuichezea kum** yangu sawa”
Nikasikia vishindo vikija mlangoni, Monica akafungua mlango na kunikuta nikiwa nimesimama huku nimemkazia macho, jambo lililo mfanya mwili mzima kumtetemeka kwa woga hadi machozi yakaanza kumlenga lenga

                                       AISIIIII……….U KILL ME 52

Monica akanikumbatia huku machozi yakimwagika, sikujua ni kwa nini analia au ni kitu gani kmemsibu hadi analia.
“Unalia nini?”
“Ni yule mwanaume niliye kuambia kwamba tulipanga kuonana leo, hapa amenipigia na kunitukana matusi ya nguoni, ina niuma sana Dany”
“Shiiii usilie upo na mimi”
“Kweli?”
“Ndio, nipo karibu yako hakuna kitakacho kuumiza”
Monica akazd kulia huku akiendelea kunikumbatia kwa nguvu, tukainga ndani kwake. Akanivua tisheti yangu, vtu vyangu nikaviweka juu ya meza iliyopo ndani ya chumba chake. Tukainga bafuni na kuanza kuoga.
 
“Dany nisamehe kwa kuzungumza na mwanaume mwengine kwa wakati huu wa usiku”
“Usijali nimekuelewa, unatakwa kuabadilisha namba ya siri”
“Usijali, hata kesho nitabadilisha”
“Vipi mdogo wako anaendeleaje na masomo?”
“Kwa sasa yupo A level, yupo shule za bweni”
“Ahaa sawa sawa, anafahamu kuhusiana na hii nyumba?”
“Ndio, anafahamu na yeye ndio alinisaidia katika kusimamia ujenzi wa hii nyumba”
“Ahaaa sawa sawa”
Tukamaliza kuoga na kutoka bafuni, moja kwa moja tukapanda kitandani. Kutokana na uchovu mwingi  tulio upata tukajikuta tukipitiwa na usingizi mzito. Nikiwa usingizini nikahisi hatua za watu wakitembea nje ya hii nyumba jambo lililo nifanya ninyanyuke taratibu kitandani, nikamtazama Monica na kumuona akiwa amelala fofofo, nikachukua bastola yangu moja nikaikoki vizuri, nikachukua taulo na kujifunga kiunoni na kuanza kutoka kwa mwendo wa tahadhari. Nikafungua mlango wa chumbani, nikatoka sebleni, mwanga wa mbaramwezi unao ingia hapa sebleni kupita madirisha haya makubwa, inaonyesha ni saa kumi na moja kasoro asubuhi.
 
Taratibu nikalisogelea moja ya dirisha na kuchungulia nje, sikuamini macho yangu nilipo ona kundi kubwa la askari na wanakikosi cha NSS, wakiwa wameizunguka nyumba hii. Kwa haraka nikaifwata boksa yangu sehemu ilipo, nikavaa kwa haraka, kisha nikafwatia na suruali yangu, nikarudi chumbani na kumkuta Monica akiwa bado amelala hatambui ni kitu gani kinacho endelea.
    Niichukua tisheti yangu na kuivaa, simu yangu nikaiweka mfukoni mwa suruali. Nikamuamsha Monica, aliye kurupuka kwa haraka.
“Shiiiiiiiiiiiiii, kuna askari hapo nje wanajiandaa kuvamia hii nyumba vaa haraka haraka tuondoke”
Monica alitngisha kichwa kwa kukubaliana na mimi kwa kile nilicho kizungumza. Akavaa suruali yake nyeusi pamoja na tisheti nyeusi alipo hakikisha kweye mavazi yupo vizuri akavaa raba nyepesi ztakazo msaidia katika varangati hili lililopo mbele yetu.
 
“Ujavaa viatu”   
Monica alizungumza huku akiniangala miguuni mwangu, sikulijali hilo tukatoka sebleni, tukiwa makini sana, nikachukua viatu vyangu sehemu vilipo nikavivaa kwa haraka haraka sana. Nikarudi dirishani alipo simama Monica anaye chungulia nje, hadi jasho linamwagika usoni.
“Unaweza kutumia bastola?”
“Hapana siwezi”
“Ohooo ok”
Katika kundi la askari na wana NSS, nikamuona K2 akiwa amesimama mbele ya gari moja, huku usoni mwake akiwa na plasta. Mkono wake mmoja ameshika kipaza sauti huku mkono mwengine ameshika bastola yake. Akatazama saa yake ya mkoni na kunifanya na mimi uyatupia macho kwenye saa ya ukutani ambapo inaonyesha n saa kumi na moja kasoro dakika mbili. Moja kwa moja nikatambua ya kwamba ikifika saa kumi na moja kamili ni lazima waweze kuvamia katika eneo hili. Nikaitoa simu yangu mfukoni na kumpigia mama, simu haikumaliza hata sekunde mbili katika kuita, ikapokelewa.
 
“Mama”
“Mbona mapema yote hii vipi?”
“Nipo kwenye matatizo, nyumba niliyopo imezingirwa na askari na wana kikosi cha NSS”
“Mungu wangu, sasa kuna njia yoyote ya kutokea?”
“Hakuna mama na wala sielewi inakuwaje mama yangu”
“Ngoja”
Nikamsikia mama akishuka kitandani na sikujua ni wapi anapo elekea.
“Ok una funguo ya gari?”
“Ndio”
“Ok kwenye hiyo funguo ya gari kuna batani nyekundu, minya hiyo huku ukiwa umeziweka karibu na simu yako, itakapo kuna signal itatokea kwenye simu yako ila hakikisha kwamba unawasha Bluetooth ya simu yako”
“Sawa baada ya hapo mama?”
“Gari lako litawaka, kwa kupitia simu yako utaona video chini ya gari lako mbele na nyuma kuna kamera inayo onyesha ni wapi unatakiwa kuelekea. Kupitia simu unaweza kuliendesha gari lako sawa”
 
“Sawa mama ngoja nijaribu”
“Fanya hivyo lisogeze hata karibu na mlango na kumbuka kwamba gari lako halingii risasi”
“Sawa”
Nikakakta simu, nikawasha bluetooth ya simu yangu, kisha nikaiminya batani nyekundu uliyopo kwenye kishkizo maalumu cha funguo za gari langu na kuna batani nne ambazo kila moja ina simu yake. Ni kweli alama aliyo nieleza mama kwenye gari langu ikatokea, video hiyo ikaniletea maandishi yanayo nihitaji nitumie kamera ipi ili kuendesha gari langu. Nikachagua kamera ya mbele, na ikajitokeza katika simu yangu, taratibu nikaanza kuliendesha kulielekezea mkononi muda wote huu, Monica alisha chukua brufcase ya pesa pamoja na hati ya nyumba na kuvishika tayari kwa kuondoka katika eneo hili. Milio ya risasi ikaanza kurindima nje, nikajua moja kwa moja askari hao wanalipiga gari langu risasa. 

Tukasogea hadi mlangon gari lilipo fka tu, nikafungua lango na kumuaomba Monica awe wa kwanza kutoka ndani, akafanya hivyo na kuingia kwenye gari, na mimi nikajitosha ndani ya gari na kufunga milango yote. Nikamkabidhi simu Monica, kisha funguo ya gari nikaichomeka katika sehemu yake. Nikamuona K2 jinsi anavyo wazuia vijana wake kushambulia gari langu kwa maana wanamaliza risasi zao tu na hakuna wanacho faidika. Tukatazamanana K2 huku nikikanyaga mafuta na breki na kulifanya gari langu kuserereka, likihitaji kuondoka eneo hili kwa kasi ya ajabu sana. K2 kwa kujiamini akaka mbele kidogo usawa wa gari langu huku akinitazama kwa hasira, kwa dharau nikamnyooshea kidole cha kati, kisha nikausogeza mguu wangu ulio kamata breki na kulifanya gari langu kuanza kuondoka eneo hili kwa kasi ya ajabu sana. K2 nilipo mkaribia, akajirusha pembeni na askari wake wakaanza kufyatua risasi huku wengine wakianza kunifukuzia.
 
    Monica muda wote amekaa kimya, akiwa amepatwa na bumbuazi hata mkanda wa siti hakuufunga, nikamfunga na kumfanya anitazame uson mwangu.
“Dany naota bado au nimelala?”
Monica alinitazama kwa macho ya mshangao sana, nikabaki kutabasamu tu huku nikizidi kuendesha gari langu. Simu yangu ikaita na nikaichukua kutoka mikononi mwa Monica na kuipokea.
“Vipi umefanikiwa?”   
“Ndio mama na hapa ndio nawatoka hata wao wenyewe hawaamini”
“Safi sasa unaelekea wapi?”
“Sijajua, kwa sababu nipo porini na sijafika barabarani nitajua ni wapi nitakapo elekea”
 
“Ohoo sawa, hao polisi walikupata kutokana na namba ya usajili wa gari aliitafuta kupitia GPRS”
“Sasa si watanipata tena hata nkikimba?”
“Nimeifuta kwenye system yao, so hakuna anaye weza kukukamata”
“Shurkani mama”
“Poa take care”
“Okay””
Nikakata simu na safari ikazidi kuendelea, nilipo tazama nyuma kupita kioo cha pembeni, sikuona gari hata moja ya askari wala kutoka katika kitengo changu cha NSS. Sikulishangaa hilo kwa manaana wana kikosi cha NSS, wengi ni waoga sana hususani kwenye mswala ya ambushi, na kati yao nimewaona rafiki zangu wengi ambao wameingizwa kwenye bifu la mapenzi lililopo kati yangu na K2 ana wala hakuna kitu kingine ambacho kinapelekea mimi kuteseka na kuishi kama gaidi ndani ya nchi yangu na familia yangu imepokonywa kila kitu na mama yangu amavuliwa ukuu wa mkoa.
    Sikuhitaji kurud tena Tanga mjini, moja kwa moja nikaendelea kuifwata njia inayo elekea Pangani, nikifika huko ninaweza kujua ni nini cha kufanya. Monica alipo geuka nyuma na kuona hakuna gari lolote linalo kuja, akakaaanza kuzungumza huku sura yake ikiwa na tabasamu kwa mbali.
“Dany upo vizuri?”
 
“Asante”
“Sikuamini kama tunaweza kutoka katika eneo lile”
“Ndio hivyo tumewatoka, washenzi wale”
“Nilihisi nipo ndotoni, au natazama filamu, kumbe ni kitu ambacho kinaendelea hapa hapa”
“Yaaa ndio maisha ambayo tumechagua kuyaishi. Kuanzia sasa maisha yetu yapo hatarini”
“Dany”
“Mmmmm”
“Naogopa mpenzi wangu”
“Usijali nitakulinda””
Simu yangu ikaita, Monica akanipatia, nikaipokea na nikaiweka sikioni mwangu.
“Dany mume wangu nasikia upo kwenye hatari?”
Nilisikia sauti ya Asma liyo nifanya nianze kupunguza mwendo kasi wa gari, huku kwa macho ya kuiba nikiwa ninamtazama Monica anaye nitazama, ikanibidi kutabasamu kidogo ili kumuondoa wasiwasi Monica.
“Yaa polisi walivamia kwenye nyumba niliyo kuwepo, ila kwa sasa nipo salama”
“Ohoo asante Mungu, nakupenda sana mume wangu”
“Nami pia, nakuomba ukate simu nipo barabarani”
“Sawa”
 
Asma akakata simu mimi nikaendelea na safari. Ndani ya masaa mawili tukawa tumefika mji wa Pangani, moja kwa moja tukatafuta moja ya duka la nguo, Asma akashuka kwenye gari huku akiwa na kiasi cha pesa cha kutosha, akaingia kwenye duka hilo, ndani ya dakika saba akawa amesha maliza kununua nguo ambazo alihitaji kuzinunua na kurudi kwenye gari.
“Kot hili nah ii kofia zitakusaidia kuto kujulikana haraka kwa watu”
“Shukrani, ni wapi kuna hoteli ya kitali ambayo tunaweza kukaa kwa muda kidogo”
“Twende huku mbele kuna hoteli moja imejificha ficha, nilisha wahi kuja kama mara mbili hivi”
“Sawa”
Monica akanielekeza hadi ilipo hoteli hiyo ya kitalii yenye mandhari nzur ya kupendeza, ipo pembezoni mwa fukwe za bahari ya hindi na imezungukwa na miti mingi. Mlinzi mwenye asili ya kimasai akatufungulia geti, taratibu nikaliendesha gari hadi sehemu ya maegesho ya magari huku nikiwa makini sana kuangala hili eneo kama lina hatari yoyote kwangu.
“Ngoja nikachukue chumba kabisa nitakuja kukustua”
“Poa”
 
Monica akashuka kwenye gari na kueleka mapokezi, nikachukua simu yangu mfukoni na kuanza kukagua kagua huduma za simu hiii. Siikuona chochote cha maana nikaamua simu yangu kuiweka mfukoni. Monica akarudi kwenye gari na kukaa.
“Hawa vyumba vyoa gharama kama nini?”
“Bei gani”
Laki mbili na hamsini”
“Kwa usiku mmoja?”
“Yaa kwa usku mmoja”
“Sio mbaya”
“Kabla ya kushuka vaa koti kwanza, na hiyo kofia kwa maana kuna habari nimeiona nikiwa pale kaunta ikionyesha kutafutwa kwako”
“Poa”
Nikavaa koti hili lenye rang nyeusi pamoja na kofia nyeusi, nikajitazama kwenye kioo kilichomo ndani ya gari langu, nikana jinsi nilivyo badilika na kuwa sharobaro. Tukashuka kwenye gari, Monica akanifwata na kunishika mkono wa kushoto, tukaelekea kwenye vijumba vingi vilivyo jengwa katika hili eneo. 
 
“Kijumba chetu ni namba mia moja na ishirini”
“Kwa maana hivi vijumba ndio vyumba?”
“Yaa vina chumba, seble jiko bafu choo kila kitu muhimu katika nyumba hapa vipo?”
“Duu kweli hii ni hoteli ya kitali”
“Yaa wanaingiza pesa nyingi sana, hapa kuna siku unaweza kukuta vyumba vimeisha, na kuna vyumba zaid ya mia tano, wazungu wanatoka huko makwao wakiwa wamesha weka oda kabisa ya vyumba”
Tukafika katika kijumba chetu ambacho nacho pia kimejengwa katika mfumo wa nyumba za msonge zilizo kaa mduara. Monica akafungua ndani na kuingia, chumba kina madhari mazuri sana hadi mwenyewe nikajikuta nikipapenda.
“Kupo vizuri”
“Yaa niliamini tukifika hapa utapapenda”
Monica akaanza kuvua nguo moja baada ya nyingine alipo maliza akanisogelea na kunivua nguo zangu, taratibu tukajikuta tukiingia kwenye mahaba mazito sana, yaliyo fwatiwa na mtanange mkali wa kusisimua.
“Dany nakupenda sana”
“Nakupenda pia”
Maneno hayo yalitutoka baada ya kumaliza mechi, nikasimama na kuichukua simu yangu kwenye mfuko inayo ita na kuiweka sikioni.
 
“Ndio mama”
“Unaweza kupata Laptop?”
“Hapa nilipo sidhani kama ninaweza kuipata”
“Kwani upo wapi?”
“Pangani kwenye moja ya hoteli”
“Sasa kuna ushahidi mmoja nimetumiwa na mtu utakusaidia katika kujisafisha na kuwa mwema”
“Sasa inakuwaje?”
“Hakisha unapata Laptop”
“Sawa mama”
Nikakata simu na kuiweka simu mezani, Monica akanikumbatia huku akinitazama usoni mwangu.
“Kuna nini?”
“Mama anahitaji nitafute laptop”
“Laptop kwenye lile duka la pembeni pale nilipo chukulia nguo kuna laptop mpya nimeziona zinauzwa”
“Sasa nitafanyaje?”
“Fanya uende ukanunue kama utakuwa unahitaji kununu”
Nikaka kimya kwa dakika kisha nikaelekea bafuni, nikaoga na kurudi sebleni, nikaanza kuvaa nguo zangu moja baada ya nyingine huku Monica akinisaidia kuniweka sawa. 
 
“Hapa siwezi kugundulika ehee?”
“Yaa hii kofia na hili koti vimekubadilisha sana”
Nikambusu Monica mdomoni, nikatoka chumbani na kueleka kwenye gari huku silaha zangu nikiwa nimezificha sehemu mbalimbali za mwili wangu. Nikaondoka hotelini hapa na kueleka kwenye duka Monica alilo nieleza, sikuchukua muda sana kufika, nilipo fika gari langu nikalisimamisha pembeni kidogo ya barabara na kuvuka upande wa pili. Nikaingia kwenye duka hili na kuanza kuchagua Laptop ambayo inaweza kuwa nzuri katka matumizi yangu. Nikaipata latop moja aina Macbook. 

Nikalipa kiasi walicho hitaji kulipwa kwa Laptop hiyo, wakaniingizia kila program muhimu kisha nikaondoka, nikavuka barabara na kuingia kwenye gari langu, moja kwa moja nikarud hotelini. Nikachuka na brufcase yenye pesa huku hati ya nyumba nikiiweka kwenye buti la gari ndani ya begi lenye pesa. Nikaelekea kwenye kijumba chetu.  Nikagonga mlango, Monica akanifungulia mlango, nikaingia ndani na kuiweka Laptop mezani na kuiwasha.
 
“Unaelekea wapi?”
“Napika chakula huku jikoni, niliagizia msosi”
“Aaahaa sawa unapika chakula gani?”
“Kuku, chispi na maini”
“Ok”
Monica akaondoka na kuingia jikoni, nikachukua simu na kumpigia mama.
“Nimeipata”
“Ok kuna video ninakutumia, ipitie kisha uniambie tuisambaze au laa”
“Sawa mama unaitumia kwenye nini?”
“Kwenye emal yako”
“Ok”
Nikakata simu, kwa bahati nzuri hii sehemu kuna huduma ya inteenet ya bure, hazikupita hata dakika mbili email kutoka kwa mama ikaingia, nikaifungua email hiyo kisha video hiyo. Video hii inaonyesha K2 akiwa katika moja ya jengo kubwa ambapo humo ndani kuna kiwanda cha kutengeneza madawa ya kulevya jambo lililo nifanya nibaki nimeduwaa nisijue ni nini cha kufanya.
 
  ITAENDELEA

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts