Home » , » AISIIIII……….U KILL ME ( Sehemu ya 53 na 54 )

AISIIIII……….U KILL ME ( Sehemu ya 53 na 54 )

Written By Bigie on Wednesday, March 21, 2018 | 2:33:00 PM

MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWA    
ILIPOISHIA  
Monica akaondoka na kuingia jikoni, nikachukua simu na kumpigia mama.
“Nimeipata”       
“Ok kuna video ninakutumia, ipitie kisha uniambie tuisambaze au laa”
“Sawa mama unaitumia kwenye nini?”
“Kwenye emal yako”
“Ok”
Nikakata simu, kwa bahati nzuri hii sehemu kuna huduma ya inteenet ya bure, hazikupita hata dakika mbili email kutoka kwa mama ikaingia, nikaifungua email hiyo kisha video hiyo. Video hii inaonyesha K2 akiwa katika moja ya jengo kubwa ambapo humo ndani kuna kiwanda cha kutengeneza madawa ya kulevya jambo lililo nifanya nibaki nimeduwaa nisijue ni nini cha kufanya.
   
ENDELEA
Ikanibidi kuirudia tena video hii aliyo nitumia mama ambayo inaonyesha kama imerekodiwa na simu kwa maana mrekodiji mwenyewe mikono yake inacheza cheza. Uzuri wa mchukuaji video hiyo aliweza kuivuta sura K2 karibu sana.
Monica akarudi sebleni akiwa ameshika sahani yenye vipande vya kuku, akaviweka mezani huku akiitazama video hiyo.
 
“Huy…u si ndio yule aliye kuja kutuvamia na watu wake?”
“Ndio yeye”
“Hembu”
Monica akaigeuzia Laptop upande wake na kuitazama vizuri video hiyo, nikamuona anavyo shusha pumzi nyingi huku akinitazama usoni mwangu.
“Sasa hii video s uisambaze kwenye mitandao ajulikane kwamba yeye ni adui wa hii nchi kwa maana huu n unga kabisa wa kuvuta”
“Bado mapema, nahitaji ateseke kidogo kidogo hadi kufa kwake”
“Ila Dany hapo utakuwa unakosea, tazama maisha yetu kwa sasa yanavyo andamwa, afadhali mimi ninanafuu, wewe kila muda unatangaza kwenye vituo vya habari”
“Nimekuambia ninajua ni nini cha kufanya sawa”
Nilizungumza kwa ukali huku nikiifunga Laptop na Monica akatulia tuli. Ukimya ukatawala ndani ya chumba huku nikijaribu kuumiza akili juu ya kulipiza kisasi changu kwa K2 pamoja na kaka yake ambaye ndio raisi wa hii nchi. Monica akachukua kipande cha paja la kuku na kunilisha, sikuona hata ladha ya nyama hiyo japo ameipika vizuri sana.
“Usiku wa saa mbil tunaeleka Dar”
“Dar!!”
“Ndio, panga nguo zako na tunaondoka kama utakuwa tayari kuandamana na mimi katika hili”
“Sawa mimi sina tatizo”
 
Nikanyanyuka kwenye sofa na kuigia kwenye chumba, nikakisogelea kioo kilichopo humu ndani nikajitazama kuanzia chini hadi juu, nikatazama nguo za Monica alizo zimwaga kitandani pamoja na mawigi. Nikachukua moja ya gauni na kujipimisha kipimo cha mwili wangu, nikaona linananitosha.
“Ehee na hilo gauni unataka kufanya nini?”
“Nahitaji kulivaa, nataka uniweke na hili wigi”
“Hahahaaa Mungu wangu, Dany hembu acha vituko vyako”
“Vituko vya nini sasa, nahitaji kubadilika muonekano niwe mtoto wa kike, kuna watu wangu kupitia muonekano huu nitaweza kuwapata”
“Mmmm hembu livae nikuone”
Nikavua nguo zangu na kubakiwa na tisheti pamoja na boksa, nikalivaa gauni hil jeusi lililo jaa vimetometo vya dhahabu.
“Waoooo it’s so amaizing”
Monica alizungumza huku akinisogelea, akanifunga zipu kwa nyuma, kwa jinsi nilivyo nyoa upara na ndevu si rahisi mara moja kwa mtu kunigundua kwamba mimi ni mwanaume pale nitakapo vaa wigi.
 
“Hembu jaribisha wig hili”
Monica akanipatia wingi la nywele ndefu, huku likiwa na nywele kadhaa zilizo kuja mbele. Nikalivaa, kama nilivyo fikiria ndivyo ilivyo, sura yangu ya kiume ikaondoka kabisa. Monica akaaza kuniweka vizuri wigi hilo huku akinichana katika mfumo anao utumia msanii maarufu duniani Rihana, kwa kuziba jicho moja mbele. Akanipaka rangi yamdomo pamoja na wanja hapo ndipo muonekano wa kisichana ulipo kamilia kwa asilimia mia moja.
“Hapa kifuani sasa naweka nini?”
“Mmmmm kuna maziwa ya bandia na makalio ya bandia yanauzwa kwenye lile duka pale, tunaweza kuyanunua na ukayavaa”
“Kweli?”
“Ndio, kwani ni saa ngapi saa hizi”
Nikachukua simu yangu na kutazama saa, na kukuta ni saa kumi na moja na robo.
 
“Kumi na moja na robo naweza kuwahi kwenda kununua”
“Kanunue basi”
“Poa”
Monica akachukua funguo ya gari na kutoka ndani na kueleka dukani. Taratibu nikajikuta nikianza kujawa na furaha kwa muonekano huu ambao kwa sasa unaweza kuikamilisha kazi yangu na kuifanya iwe rahisi kupita maelezo. Nikarudi sebleni huku nikijifunza miondoko ya kutembea, ili kusiwe na utofauti wowote na wasichana pale ninapo onekana mbele za watu.
    Katika zoezi la kutembea nikafanikiwa kufaulu kwa asilimia mia moja. Baada ya robo saa, Monica akarud akiwa na begi jeusi la wastani yanayo tumika katika kuwekea nguo.
“Honey nimepata”
Monica alizungumza huku akifungua begi hilo, akatoa umbo la plastiki lililo na maziwa ya kike pamoja na makalio makubwa kiasi.
 
“Umbo hili nina imani litakufaa”
“Hembu ngoja nijaribu”
“Hili unavaa kabisa na unafunga na zipu yake, na nimekuchagulia rangi inayo kwendana na wewe kabisa”
Nikavua gauni na kulivaa umbo hili la plastiki ambalo lina zipu  kwa mgongoni, monica akanifunga vizuri, nikasimama kwenye kioo na kujiangalia.
“Ahaa kum**maeee lazima wanikome mwaka huu”
Nilizungumza huku nikiwa nimejawa na furaha sana moyoni mwangu, nikavaa na gauni hli, hapo ndipo nilipo jipatia asilima zote za uzuri unao onekana kama mwanamke.
“Haya maziwa unayapandisha juu kidogo unayabania hapa”
Monica akanirekebisha maziwa haya ya bandia, kwa jinsi yalivyo chora mstari mzuri wa kugawanyika kwa kujaa kwake ni lazima mtu atanitamani pale ayakapo nitazama. Monica akaniweka sawa kila kitu kikakamilika.
 
“Viatu vaa hivi virefu ili hata mtu asiweze kukugundua”
Nikajaribisha viatu hivi vya Monica, hapo ndipo nilipo pata shuhuli mpya ya kujifunza kutembelea viatu hivi kwa mara kadhaa nikajikuta nikiyumba yumba ila, Monica akaendelea kunifundisha pasipo kukata tama hadi nikafanikiwa kujihimili katika kutembela viatu hivi.
“Sema Hiii….”
“Haiiiii”
“Punguza jibesi lako bwana, sehem Hiiiiii”
“Hiiiiii mambo Monica”
“Ewalaaaa hapo upo vizuri my huby”
“Tukiwa na watu utaniita jina gani sasa?”
“Mmmmm Latifa, kwa maana hilo ndio lililo nikaa kichwani”
“Sawa, jiandae na wewe tuondoke, ila ngoja kwanza. Nipige picha nimtumie mama”
“Ehee yamekuwa hayo”
“Nipige picha nina maana yangu”
“Haya”
Monica akachukua simu yangu na kuanza kunipiga picha moja baada ya nyingine, kila picha anayo nipiga nikaweka mkao wake kama mwanamke kweli.
 
“Zinatosha, hembu nizione”   
Monica akanipatia simu na tukawa tunazitazama kwa pamoja
“Dany hapo umekuwa kama mwanamke aisseee”
“Kweli duu kumbe wengine tuna sura za kike?”
“Yaaa”
Nikaka kitandani na kumtumia mama picha tatu kupitia whatsapp na kumuuliza kama anaweza kumfahamu mtu wa kwenye picha hiyo. Hazikupita hata dakika tano simu yangu ikaanza kuita, nikaipokea na kuiweka sikioni.
“Mama”
“Huyu uliye ntumia picha ni nani kwani?”
“Hujaweza kumfahamu?”
“Ndio maana nikakuuliza, sijamfahamu kabisa”
Nikajikuta nikicheka sana, hadi Monica aliyopo bafuni akatoka na mapovu yake kutazama ninacheka nini.
“Unachocheka ni nini?”
“Nacheka kwa maana hata wewe umeshindwa kunitambua kwamba ni mmi”
 
“Ni wewe?”
“Ndio mama”
“Mmmm hembu ngoja”
Mama akakata simu na nikabaki ninacheka tu, haukupita muda akanipiga simu kwa mfumo wa video, ikanibidi kupokea, mama akabaki kuangua kicheko alipo niona sura yangu.
“Eheee wewe mtoto una matatizo aiiseee ahaaa”
“Kwa nini mama?”
“Ya nini kujibadilisha na kuwa msichana mrembo hivi”
“Ahaaa ndio hivyo mama, kazi imeanza rasmi”
“Kama mimi mama yako mzazi niliye kuzaa sijaweza kukufahamu, basi hata mtu mwengine hato weza kukufahamu”
“Kweli mama?”
“Nakuapia mwanangu, hakuna anaye weza kukufahamu”
“Ndio hivyo nahitaji kuifanya kazi kwa umakini mkubwa sana”
“Sawa, ehee vipi kuhusiana na hiyo video?”
“Hii nitabaki nayo, muda wake bado nataka wafe katika kifo cha taratibu na maumivu makali”
 
“Sawa as you wish”
“Ehee mama hivi ninaweza kubadilisha namba za gari?”
“Ndio kwenye gari lake pembeni kwneye mskani hapa upande wa kulia kuna batani hiyo, ukiminya gari namba za gari lako zinabadilika na kuwa nyingine”
“Ahaaa”
“Na hilo gari lina namba zaidi ya tano, moja ni namba ya ikulu kwa hiyo ukiitumia hiyo sidhani kama unaweza kusimamishwa na polisi”
“Sawa mama”
“Haya jioni njema”
Mama akakata simu hii aliyo piga katika mfumo wa video na tulikuwa tunaonana. Nikachukua bastola zangu, moja nikaiweka kwenye kipochi ambacho nitakitumia kukishika kwa kila wakati, huku nyingine ninafikiria ni wapi kwa kuiweka.
“Unawaza nini?”
“Nafikiria ni wapi kwa kuiweka hii bastola?”
“Iweke mapajani?”
“Ninawekaje?”
 
Monica akafungua begi akatoa mkanda mmoja ambao si mgeni sana kwangu kwa maana natumiwa na wasichana wanapo ficha bastola zao maeneo ya mapaja. Nikafunua gauni hili lenye mpasua karibia na mapajani, nikaufunga mkanda huu maalumu, kisha bastola yangu nikaichomeka kwenye mkanda huo na si rahisi kuanguka hata nikiwa nina harakati nyngi. Monica akaanza kuvaa nguo zake taratibu, akajipamba vya kutosha na yeye kwa asilimia kubwa muonekano wake ukabadilika tofauti na tulivyo kuja hapa Pangani.
    Akaanza kuzikunja nguo na kuziweka kwenye begi, nikamsaidia kwa haraka haraka tukamaliza kuweka nguo hizo. Tukarudi sebleni, nikachukua laptop nikamkabidhi Monica akaiweka kwenye jipochi lake kubwa. Monica akatoa kibunda cha pesa kwenye brufcase na kukiweka kwenye pochi hiyo. Tulipo hakikisha tumekabilika tukakata kutoka ila Monica akanizuia.
 
“Nini?”
“Kuku wangu, wee njiani ninaweza kupatwa na njaa”
“Sasa utawaweka wapi?”
Monica hakunijibu zaidi ya kukimbilia jikoni baada ya dakika tano akarudi akiwa ameshika kifuko cheusi, akanyanyua begi lake la nguo.
“Sasa tutoke”
Nikabaki nikitabasamu huku tukiondoka chumbani hapa, tukaelekea nje tukiwa katika hali ya umakini mkubwa hususani mimi, ninaye jitahidi kutembea kwa mwendo wa kike. Tukafika kwenye gari, na beg la nguo nikafungua buti na kuliingiza na kuliweka pembeni katika begi lenye pesa, nikafungua begi la pesa, nikazikuta zipo kama zilivyo, pia hati ya nyumba ipo pembeni. Nikafunga begi pamoja na buti la gani na kuingia kwenye gari, nikawasha gari na kuminya batani aliyo niambia mama. Kwenye kitv kidogo kilichomo humu ndani ya gari kaka nionyesha kwamba namba zimebadilika.
 
Safari ya kurud Tanga mjini ikaanza, njia nzima tukawa tunapiga stori za hapa na pale na Monica, pia tukazungumza mipango ya maisha ya hapo mbeleni pale hili sekeseke litakapo malizika.
“Ila kusema kweli Dany umebadilika, umekuwa mwanamke halis kabisa”
“Hivi ndivyo inayo takiwa”
“Sasa kama polisi wakitukamata na kuhitaji lesin yako si itakuwa tabu”
“Tena hapo umenikumbusha, kuna mtu yoyote unaye mfahamu anaye weza nitengenezea lesini au kitambulisho”
“Mmmm…..Yaa yupo yupo. Kuna kaka anaitwa Amdala Maleseni, anaishi barabara ya kumi na mbili pale, ni muhindi fulani huyo jamaa ni balaa katika kutengeneza leseni na vyeti bandia”
 
“Ahaa inachukua muda gani?”
“Kama una pesa ya kutosha, hata robo saa hamalizi”
“Tukifika Tanga mjini tutaanzia kwake”
“Sawa hakuna shida”
Mwendo wa masaa matatu kwa mwendo wa kasi, tukafanikiwa kufika Tanga mjini, cha kumshukuru Mungu hatukukuta na polisi wa aina yoyote. Moja kwa moja tukaeleka kwa Amdala Maleseni. Monica akawa wa kwanza kushuka kwenye gari akaingia kwneye moja ya ofisi, baada ya dakika tano akatoka na kunifwata kwenye gari.
“Yupo twende”
Nikazima gari na kushuka, nikaongozana na Monica hadi ndani ya ofisi hiyo, nikakuta na kijana mmoja wa kihindi aliye valia miwani, miwani kubwa.
“Mambo”
Alinisalimia kijana huyo kwa sauti ya matamanio huku akinitazama kuanzi chini hadi juu.
“Powaa”
Nilijubu kwa sauti ya kike, hadi Monica akanikazia macho ya mshangao.
 
“Dada ake hapa alinielezea tatizo lako, sasa unahitaji leseni yenye maharaja gani?”
“Yote tu”
Nilizidi kuzungumza kwa sauti nyororo hadi Monica akaachia tabasamu pana
“Moni huyu rafik yako wa ukweli umemtolea wapi?”
“Ehee babu wee acha umalaya wako, fanya kazi uliyo pewa wengine wake za watu”
“Mmmm hutaniwi Monica”
“Kwani sikujui wewe”
“Haya yaishe. Dada yangu njoo ukae hapa nikupige picha”
Nikatembea kwa mwendo wa maringo hadi kwenye kiti hichi ambacho nyuma yake kuna pazia la rangi ya blue, akachukua kamera yake aina ya Canon D5 na kuanza kunipiga picha kadhaa ambazo ni passport saizi. Akamaliza na kuziingiza kwenye Laptop yake kwa haraka haraka akaanza kudili na kazi yake ya kushuhulikia lesini yangu ya udereva.
“Jina nani dada”
“Latifa Rashidi”
“Ok, mwaka wa kuzaliwa?”
“Themanini na nane”
“Tarehe”
“Kumi na sita, December. Alafu kaka unaweza kunitangenezea na cheti ya kura?”
“Yaaa naweza ni kazi ndogo ila itabidi muniongeze dau”
“Shilingi  ngapi?”
“Milioni”
“Milioni”
 
Monica alizungumza huku kijiziba pua yake na kuyarudia maneno ya Amdala Maleseni
“Nyoo hiyo miloni unaizungumza kiurahisi tu”
“Kwani wewe ndio muhusika?”
“Mimi ndio nimemleta, ungesikia kwamba ni malaya ungeomba ku*** ukafanya bure. Umejua ni mke wa mtu unaanza kuropoka eti milioni”
Nilibaki kutabasamu, kijaa huyo kazi akaifanya kwa haraka na vitambulisho akavitolea kwenye chumba kingine ambacho Monica ameniambia ndipo ilipo mitambo yake ya kutolea vyeti. Amdala Maleseni akarudi akiwa na kitambulisho cha kupigia kura chenye picha yangu pamoja na leseni. Akanikabidhi kuviangalia, kusema kweli hakuna tofauti ya iana yoyote vyote vina fanana na uhalisia.
“Hapo hata wapitishe kwenye mashine ya ukaguzi kitu kinasoma kile kile”
“Kweli?”
“Ndio nina tumia mfumo wao kabisa wa makao makuu”
“Mpenzi mpe milioni yake”
Niliendelea kujikaza na kuzungumza kwa sauti ya kike, Monica akafungua pichi na kutoa laki tano na kumkabidhi Amdala Maleseni aliyo ipokea huku akitabasamu.
“Acha utapeli siku nyingine”
 
Monica alizungumza huku akismama na mimi nikasimama na kuweka vitambulisho vyangu kwenye pochi yangu na tukatoka katika ofisi hii na kuingia kwenye gari.
“Aisee umejitahidi Dany”
“Ahaa hapa koo linaniuma kwa kuigiza sauti ya kike”
Nikawasha gari na kuondoka eneo hili, tukafia kwenye moja ya sheli iliyopo maeneo ya Chumbageni Fire, tukajaza mafuta tanki zima, tukalipa kiasi walicho kihitaji na safari ikaanza. Tukiwa maeneo ya Kange jeshini, tukakutana na kizuizi cha askari polisi, wanajeshi pamoja na wana SNN. Gari letu likasimamisha, taratibu nikapunguza mwendo nikiwa sina wasiwasi kabisa. Nikamuona K2 akilifwata gari letu pamoja na askari wake wawili wa kikos chake.
“Usitemeke namalizana nao”
Nilmuambia Monica aliye jikausha kimya kwenye siti yake, K2 akafika kwenye kioo changu, sikuhitaji agonge nikafungua taratibu huku nikitasamu jambo lililo mfanya K2 kunikazia macho makali uson mwangu.

                                    AISIIIII……….U KILL ME 54

Ukimya ukatawala kwa dakika moja huku nikitazamana na K2 pasipo kuwa na wasiwas wowote, nikakiona kifua cha K2 jinsi kinavyo hema taratibu huku  akishusha pumzi kubwa.
“Habari zenu”
“Salama tu”
Sauti yangu ya kuigza kama mwanamke ndio ilyo zidi kumchosha K2, kwa maana ninahisi kwamba nilazma kwamba atakuwa na wasiwasi na mimi.
“Munaelekea wapi usiku wote huu?”
“Tunaishi hapo Saruji ndio tunaelekea nyumbani”
“Ahaa sawa safari njema”
 
“Asante”
Taratibu nikafunga kioo cha gari, nikaachia breki taratibu huku nikikanyaga mafuta na kuondoka eneo hl huku nikiwa ninacheka sana moyoni mwangu kwa vituko nilivyo mfanyia K2 kwa kujibadilisha muonekano wangu.
    Safari ikazidi kusonga mbele huku Monica akiwa amelala kwenye siti yake, sikuwa na wasiwasi wowote kwa maana ninatambua uchovu alio kuwa nao kwa maana siku nzima ya leo imekuwa ni ngija ngija ambazo kwenye maisha yake hakuwa kukutana nazo kabisa. Hadi inafika saa sita kamili usiku nikawa nimefika maeneo ya Segera. Sikuhitaji kusimama kabisa zaidi ya kundelea na safari, maeneo ya Mkata nikakutana na kizuizi cha Polisi, kama kawaida wakatusimamisha, polisi mmoja akanifwata, kama ilivyo kuwa kwa K2 nikafungua kioo.
 
“Habari yako dada?”
“Salama tu”
“Habari za Safari?”
“Salama, munaelekea wapi usiku huu?”
“Tunaelekea hapo Chalinze tu?”
“Ohoo, kusema kweli sasa hivi sheria za usalama barabarani zimebadilika kabisa, mwisho wa gari ndogo kusafiri pasipo kibali chohote, mwisho wake ni saa saba usiku na ukiangalia sasa hivi ni saa nane usiku, kwa hiyo ningeomba dada yangu safari yako iishie hapa”
“Ohoo samahani kaka yangu, hii safari hata mimi kwangu haikuwa ya kupanga, ila nimeambiwa mama yangu hali yake ni mbaya, ninahitaji niwahi kufika, ili kesho alfajiri na mapema nimuwahishe India kwa vipimo zaidi”
Nilizungumza kwa saui ya unyonge iliyo jaa mahaba ya kike ya kuigiza yaliyo mfanya askari huyu kukaa kimya kidogo huku akinitazama.
“Muamshe huyo mwenzio wa pembeni hapo”
“Moni, moni”
“Mmmmm Dany vipi bwanaaa, nimechoka mwenzio”
Monica aliropoka maneno hayo huku akifumbua macho yake, maneno yake sikutaka yatengeneze mstuko kwangu, nikabaki nikitabamu tu.
 
“Anamuwaza mpenzi wake”
“Ni nani yako huyo?”
“Tumefika wapi?”
Monica aliuliza huku akipiga miyayo ya uchovu wa usingizi.
“Mkata, tupo kwenye kizuizi cha polisi”
Monica akamtazama askari huyu aliye kaa kimya kwa muda akisikilza mazungumzo yetu. Monica akatabasamu kwa askari huyo kisha akajifikicha macho na kukaa vizuri.
“Naomba leseni yako”
“Ohooo sawa nilijisahau”
Nikatoa leseni yangu kwenye kipochi changu na kumpatia askari huyu aliye ipokea na kuitazama vizuri hukua akisoma kilicho andikwa kwenye leseni hii kisha akanirudishia.
“Dada yangu kitu cha kukushauri hapo mbele kama kilomita moja kuna Moteli, mungepumzika kwanza kisha kesho alfajiri mukaendelea na safari. Kwa maana kwa sasa hali ya usalama katika hii nchi imekuwa ni mbaya sana”
 
“Sawa sawa kaka yangu, asante sana”
“Sawa fanyeni kama nilivyo waambia, isitoshe nyote ni watoto wa kike inaweza kuwa shida kidogo linapo tokea tatizo hapo mbele”
“Kweli afande, asante ehee”
“Sawa”
Nikafunga kioo na kuondoka katika eneo hili, sikujali wala kuyafikiria maneno ya askari huyu, lengo langu ni kufka Dar es Salaam usiku huu huu wa leo. Safari yangu ikazidi kusonga mbele, nikafanikiwa kupita daraja la Wami salama salmini huku nikikumbuka siku ambayo tulishambuliwa tulivyo kuwa na raisi feki. Hadi ninafika Chalinze sikukutana na kizuizi cha askari, safari ikazidi kuendele, had inafika saa kumi kamili Tayari nikawa nimefika Dar es Salaam.
“Sasa usiku huu wote tutapata chumba kweli?”
“Yaa zipo hoteli zinapoke watu masaa ishirini na nne”
“Mmmm”
“Yaaa huku mimi mwenyeji, sio Tanga hapa hotel zinapokea watu mwisho saa sita”
“Kweli huwa wanaoboa kishenzi. Zile za uchochoroni ndio wanapokea watu masaa ishirini na nne”
 
    Tukafika kwenye moja ya hoteli kubwa, tukashuka na kuelea ndani, kwa bahati nzuri wahudumu tukawakuta, tukapangisha chumba kimoja kwa muda wa siku mbili. Wakatukabidhi funguo na kueleka ndani. Si mimi wala Monica, sote tumechoka kisawasawa, tukapanda kitandani hivyo hivyo tukiwa na nguo zetu na suingizi mzito ukatupitia.
Kitu kilicho nistusha na kufumbua macho ni mwanga mkali wa juu aulio piga kwenye macho yangu, taratibu nikajikuta nikikaa kitandani huku nikitazama pembeni yangu sikumuona Monica, nikashuka kitandani kwa haraka, kabla sijapiga hata hatua nikamuona akitokea bafuni, akiwa amejifunga taulo.
“Umeamka mume wangu?”
Nikashusha pumzi taratibu huku nikimtazama Monica uson, akanifwata na kunikumbatia huku akinipiga mabusu ya mdomoni.
“Inabidi uvue haya madude ukaoge, mimi nilijisikia vibaya hadi nikaamua kukimbilia kuoga”
“Ahaa umenistua sana, nikajua labda kuna kitu kibaya kimetokea”
“Ahaa hamna si ningepiga kelele na ungefahamu”
Monca akazunguka nyuma ya mwili wangu, akanifungua zipu ya gauni, nikalivua kisha akafwatia kunifungua zipu ya mwili huu wa plastiki nilio uvaa. 
 
“Huko bafuni kuna maji ya moto na maji ya baridi kwa hiyo yale unayo yahitaji ndio unaweza kufungua na kuoga”
“Ahaa sawa”
Nikaitoa bastola yangu sehemu nilipo kuwa nimeichomeka, nikafungua na kijimkanda nilicho kuwa nimejifunga kwenye mapaja, nikavua boska pamojana tisheti yangu hii ambayo haiingii risasi.
“Hapa najisikia mwepesi kishenzi”
“Ukiogo ndio utazidi kuwa mwepesi”
Nikaeleka bafuni, nikaoga haraka haraka na kurudi chumbani, nikamkuta Monica akiwa amebong’oa kitandani huku mguu mmoja akiwa amekanyaga chini na mguu mwengine amakanyaga kwenye kitanda akiupaka mafuta. Taratibu nikamsogelea na kumshika kalio lake huku nikilitingisha tingisha.
“Jamani Danyyyy, acha uchokozi wako banaaaa”
“Uchokozi gani, wakati unanitamanisha sana”
“Mmmm jamani”
 
Nikaendelea kuliminya minya kalio la Monica, taratibu akaushusha mguu wake na kusimama wima, akanigeukia na tukaanza kunyonyaa denda. Akanisukumia kwenye kitanda akanifwata na kunikalia kiunoni, tukaendelea kunyonyana denda huku tukiwa katika hisia kali za mapenzi. Taratibu Monica akamuingiza jogoo wangu kwenye kitumbua chake, na taratibu akaanza kumkatikia huku kifua chake akaiwa amekila kifuani mwangu.
Nilipo ridhika, nikamlaza kitandani nikamlaza kifudifudi na kuendelea na mtanange hadi sote tukajikuta tunamaliza pamoja.
“Dany kusema kweli, nimetembea na wanaume wengi ila sijapata ona anaye weza kumiliki kiuno cha manamke kama wewe”
“Kweli?”
“Yaa yaani unajua kona zote za Kum**, kuna wanaume wanatomb** tu moja kwa moja hawajui kwamba kuna kuta ambazo mwanamke anatakiwa kugusa, ukiona moja anapata utamu endelea kupasugua hapo hapo”
“Hahaaaa”
 
“Weee acha tu, yaani wanakerajee, utakuta mtu mapenzi hajui, kitandani hajiwezi yaani ni shida tupu alafu anajiona mwanaume kidume kumbe chok** tu”
“Mmmm huko simo, ila najisikia njaa mbaya”
“Ngoja nipige simu niagizie kifungua kinywa”
“Itakuwa ni vizuri kama ukienda kuchukua huko chini”
“Mmmm bana honey hapa nilipo nimechokaje, miguu haina yata nguvu yaani ukinit**b**ga huwa nguvu za miguu zinaniishia wala sifahamu ni kwa nini”
“Pole mamyto wangu, basi ngoja nikachukue”
“Sasa si utatakiwa kuvaa hili jiumbo la plastiki?”
“Yaa ninalivaa, huwa napendaga chakula nikisimamie mimi mwenye”
“Sawa”
Nikashuka kitandani, nikalichukua mwili wa Plastiki na kuuvaa, Monica akanisaidia kuufunga zipo yake kwa nyuma kisha nikatafuta gauni jengine la Monica la rangi nyekundu, nikavaa wigi langu lililo badilisha muonekano wa mwili wangu kabisa, kisha kwa juu nikavalia na kijisweta chepesi kwa juu.
“Dany yaani ungekuwa mtoto wa kike ungepagawisha wanaume wengi”
“Acha zako”
 
“Haki ya Mungu vile, aliti kama ungekuwa mwanamke sijui ingekuwaje kwa wanaume”
Nikafungua brufcase na nikachukua kiasi cha pesa cha kutosha, nikatoka chumbani humu na kutembea kwenye kordo hadi kwenye lifti, nikafungua na kuingia ndani.
Nikaminya batani ya kueleka chini, taratibu lifti ikaanza kushuka hadi chini, nikatoka na kueleka mapokezi.
“Samahani dada ninaweza kupata kifungua kinywa?”
“Ndio dada yangu, sijui unahitaji kifungua kinywa gani?”
“Mmmmm si kuna watu wa jikoni?”
“Yaaa”
“Naomba nionane naye anitengeneze kile ninacho kihitaji”
“Ok sawa tuongozane”
Nikaongozana na muhudumu huyu wa kike anaye hisi kwamba mimi ni mwamke mwenzake kumbe ni kidume cha mbegu. Tukafika katika sehemu maalumu ya kulia chakula, akanikaribisha kwenye viti na kueleka kwenye jiko llilopo katika sehemu hii.
Muhudumu niliye kuja naye eneo hili akatoka akiwa ameongozana na mpishi wa kiume aliye valia mavazi meupe.
“Msikilize dada hapa”
“Sawa karibu dada yangu”
“Asante, munapika chakula gani hapa kwenu?”
“Tunapika vyakula vingi sana, seme chochote tunakupikia katika ubora ambao haujautegema dada yangu”
“Waooo”
 
Nilizid kuongeza mikogo ya kike jambo lililo nifanya nizidi kujipa maksi kwamba mimi katika sekta ya uingizaji nina kipaji kikubwa kuliko hata waigizaji wenyewe wa hapa Tanzania.
“Kwanza chai, nahitaji mayai manne ya kuchemsha, soseji hata nusu kifoko kile pamoja na chapat za maji. Kama ninaweza kupata na chai ya maziwa itakuwa vizuri”
“Hakuna shida dada yangu katika hilo”
“Kwa chakula cha mchana nahitaji unitengenezee pronsi rost, kuku pamoja na chispi kavu”
“Hilo tu pia halina shida”
“Muna juisi gan?”
“Ahaa juisi sio kitengo changu dada labda nikuite mama anaye dili na utengenezaji wa juisi”
“Hakuna tabu naomba uniitie”
“Sawa na hiyo itakuwa ni bei gani?”
“Ahaa kwa haraka haraka kama elfu stini hivi, ukijulisha chakula cha mchana na hichi kifungua kinywa ulicho hitaji wewe”
 
“Sawa hakuna shida, na utatengeneza sahani mbili kwa hicho chakula cha mchana”
“Sawa hakuna shida”
Nikamkabidhi pesa aliyo ihitaji na nimuongezee, akaondoka na kueleka jikoni, baada ya muda akatoka na mama ambaye ninamfahamu vizuri. Nikabaki nimeduwaa nikimtazama mama huyo anaye kuja kwenye meza yangu akiwa amevalia na yeye nguo nyeusi. Akaka kwenye kiti cha pembeni yangu huku akinitazama. Kimoyo moyo nikahitaji kuita mama Mariam ila mdomo ukawa mzito sana kwa maana ni muda mrefu tangu niachane naye.
“Dada nakusikiliza”
Kwa mbali machozi ya furaha yakaanza kunilenga lenga, pale nilipo isikia sauti ya mama Mariam.
“Na wewe umeweka nini hapo makalio yako, kazi umalaya tu hembu yanyua matak** yako ukatengeneze juisi”
Kijana mmoja aliye valia suti nyeusi alizungumza huku akija kwenye meza yetu kwa haraka mama Mariam akanyanyuka akataka kuondoka nikawahi kumshika mkono.
“Ona ona umeshatongozwaa sasa unataka kwenda kuachia ku** ehee”
 
Kijana huyo alizidi kuzungumza maneno yaliyo nikera na kuniumiza moyoni mwangu.
“Samahani dada yangu, naomba nikaendelee na kazi huyu meneja wangu ana shida sana”
Nikanyanyuka huku nikiwa nimeushika mkono wa mama Mariam, nikasogea taratibu hadi sehemu alipo simama mama Mariam, neneja huyo akanitazama kwa macho ya dharau huku akinipandisha na kunishusha na macho yake.
“Na wewe dada mzima unamtongoza jimama kama hili, unataka mukasaganeee eheee?”
Nikashusha pumzi nyingi huku nikimtazama meneja huyu.
“Nakuuliza usinikodolee macho kama umechomekwa mb** ya mkun………”
Sikumruhusu kumalizia sentensi yake, nikamtandika ngumi ya pua, iliyo muangusha chini mzima mzima na kutoa kishindo kizito hadi wapishi wwalipo jikoni wakatoa kushangaa ni kitu gani kinacho endelea huku nje.
                                                                                  ITAENDELEA

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts