Get the latest updates from us for free

Home » , » AISIIIII……….U KILL ME ( Sehemu ya 61 na 62 )

AISIIIII……….U KILL ME ( Sehemu ya 61 na 62 )

Written By Bigie on Sunday, March 25, 2018 | 1:37:00 PM

MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWA
ILIPOISHIA  
“Mwanamke nani?”   
Nilizungumza katika sauti yangu ya uhalisia, huku nikipandisha mikono yangu kwenye kifua chake na kuendelea kuzitomasa chuchu zake. Nikamgeuza na kuanza kumnyonya denda, taratibu Babyanka akaanza kuvua koti lake la suti, huku mimi nikiwa na kazi ya kumfungua vifungo vya shati lake jeupe alilo livaa. Tukiwa katika mahaba mazito gafla dirishani likaingizwa bomu la machozi lililo anza kutoa moshi mzito ulio tufanya tuanze kukohoa, hata hatujakaa vizuri taa za chumba chetu zikazima na kuanza kusikia vioo vikipasuka na kuanguka kwenye sakafu jambo lililo zidi kutuchanganya mimi na Babyanka
   
ENDELEA   
Kwa haraka tukakimbilia bafuni, kitendo cha kuingia nikawahi koki ya bomba na kufungulia maji mengi na  kuanza kunawa nyuso zetu kukata sumu ya bomu hili la machozi linalo fanya mtu mwagikwe na machozi na hata mbele usione.
“Chukua”
Babyanka alizungumza huku akinipatia basolola, nikaishika vizuri tayari kwa mashambulizo yoyote yatakayo tokea. Tukajibanza kila mtu kwenye kona yake ya ukuta wa mlango tulio uweka kati na upo wazi. Japo kuna giza ila tupoa makini sana kuhakikisha kwamba kila kitu kinacho kuja mbele yetu tunakisambaratisha.
Tukaona miyale myekundu myembaba inayo fungwa kwenye bundiki maalumu, ikikatisha katisha ndani ya chumba. Kutokana hatuonani na Babyanka tukashindwa kabisa kupeana ishara, kitu ambacho tunatakiwa kukifanya sasa hivi ni kuhakikisha kwamba tunashambulia tu.
 
Mlio wa simu yangu uliyopo chumbani kwenye kipochi changu ndio ulio wapotezea umakini watu hawa wanao tuwinda, tulicho kifanya ni kuaza kufanyatua risasi mfululizo kuelekea walipo watu hawa ambao idadi yao wapo sita.
Miguno ya maumivu ndio ilisikika ikiambatana na vishindo vizito vya watu kuanguka. Ndani ya dakika mbili ukimya mkali ukatawala ndani ya humba huku bunduki zote zenye myale hii myekundu zikiwa zimelala chini.
“Psiii”
Babyanka aliita kwa sauti hiyo ya chini, taratinu nikamuona akiingia kwenye chumba akiwafwata watu hawa tulio waua, hata mimi nikamfwata kwa nyuma. Mlango wa hapa hotelini umefunguliwa, kwa haraka nikaufungua taratibu na kuchungulia kwenye kordo sikumuona mtu yoyote. Babyanka naye akachungulia kwenye dirisha hakumuona mtu wa aina yoyote.
“Ni kina nani hawa?”
Niliuliza huku nikiufunga mlango
“Sifahamu, ila hii sehemu sio salama kabisa”
Nikatafuta kipochi changu na kutoa simu yangu, nikawasha mwanga wa tochi iliyopo kwenye hii simu yangu na kuanza kuwamulika majambazi hawa walio valia vitambaa vyeusi machoni mwao na kubakisha macho tu.
 
Kila mmoja tuliye mkagua kifuani mwake ana tattoo ya pembe nne jambao lililo zidi kutuumiza kichwa na kujiuliza hawa wametumwa na nani.
“Sio watu wa K2”   
“Sasa wanaweza kuwa ni watu wa nani?”
“Inabidi kuanza kuchunguza hawa ni watu wa nani”
Nikaanza kuwapiga picha mmoja baada ya mwingine kwenye vifua vyao, nilipo jiridhisha picha zote nikamtumia mama kupitia Whatsapp.
“Inabidi tuondokea, kwa maana kama hadi sasa hivi hakuna polisi walio weza kufika eneo hili na milio ya risasi imesikika basi hii ishu polisi pia wanahusika”
“Poa”
Nikakushanya kila kilicho changu, tukatoka kwenye chumba hichi tukiwa makini sana cha kushangaza ni kwamba ni chumba chetu tu ndio kimekatiwa umeme ila sehemu nyingine za hii hoteli kuna umeme. Mapokezi hatukukuta muhudumu yoyote, moja kwa moja nikaelekea kwenye maegesho ya magari.
 
“Hilo ni gari lako?”
“Yaa ni langu?”
“Ngoja kwanza”
Babyanka akaanza kuinama chini ya gari langu, nikamuona akiingiza mkono kwenye gari na kutoa bomu lililo  tegwa na laliti kwamba ningeondoka na gari langu lingenilipukia na huo ndio ungekuwa mwisho wa maisha yangu.
“Umegunduaje kwamba kuna bomu chini ya gari langu?”
Babyanka akanionyesha maji yaliyopo chini ya gari langu ambayo ndio yamemsaidia kuona bomu lililo kuwa limetegwa, tukachunguza gari lote kwa kushirikiana tulipo ona lipo sawa. Nikafungua mlango na kuingia.
“Inabidi tueleke kwangu”
Babyanka alizungumza akiwa ameinama kwenye kioo cha gari langu akinitazama usoni mwangu.
“Sawa na hilo bumu vipi?”
“Hili natake kesho likafanyiwe uchunguzi ili tuweze kufahamu limetengenezwa nchi gani kwa maana mabomu ya aina hii Tanzania hayapo na kama yapo basi kuna watu wanayo yaingiza kwa siri sana na hata jeshi hawana”
 
“Umelitegua?”
“Yaa, nilisahau kukuambia kwamba mimi nilisomea maswala ya kutegua mabumu kwahiyo hili halinipi shida”
“Powa”
Babyanka akaelekea kwenye gari lake huku mimi nikifunga kioo, akalichunguza gari lake naye kuhakikisha usalama kisha akaingia na kuondoka katika eneo hili. Tukiwa njia tukapisha na gari za polsisi zikiwa zimewasha ving’ora wakielekea eneo la tukio jambo lililo nifanya nitabasamu kwa maana tuko limetokea zaidi ya nusu saa nyuma wao ndio tunapishana nao na isitoshe kituo cha polisi na hoteli tuliyopo ni karibu sana.
Tukafika katika jumba la Babyanka ambalo alikabidhiwa na raisi kama zaidi. Tukasimamisha magari yetu kwenye maegesho, kisha tukashuka huku mimi nikishusha begi langu la nguo nililo kuwa nimeliweka siti ya nyuma. Nikafungua buti ya gari na kukuta kila kitu changu kikiwa katika usalama. Nikalifunga gari langu na kuongozana na Babyanka hadi sebleni kwake.
 
“Unaishi na nani?”
“Naishi na mdogo wangu wa kike, ila ameondoka jana kwenda chuo hapo Nairobi ndio maana unapaona kimya hivi”
“Ahaaa haujategewa kamera kwa maana kwenye lile jumba langu washenzi walinitegea kamera, kila kitu nilicho kuwa ninakifanya walikiona”
“Ahaa chezea mimi wewe, hakuna kamera wala ushuzi wa kamera. Kamera zilizopo hapa nimezifunga mwenyewe kwa usalama wa nyumba yangu, na hata nikiwa mbali kupitia simu yangu ya mkononi ninaweza kuona kila kitu kinacho endelea.”
“Ahaa umendelea”
“Yaa unajua hii kazi yetu usipo jiwekea usalama wewe mwenyewe, basi unajiweza kujikuta unakufa kama kuku”
Babyanka alizungumza huku tukielekea ndani kwake, tukasimama mlangoni, akaingiza namba za siri kwenye kiboksi maalumu kilicho jaa namba, mlango ukafunguka na sote tukaingia ndani, mlango ukajifunga.
“Hizi program zote za kutengeneza milango kuiwekea namba za siri ulijifunzi wapi au kuna watu walikuja kukutengenezea?”
 
“Hapana nimetengeneza mimi mwenyewe. Mambo haya nilijifunza kwa mtu wako wa karibu sana”
“Mtu wangu wa karibu nani?”
“Mama yako”
“Mama yangu ndio amekufundisha haya mambo yote?”
“Yaa amenifundisha haya mambo yote ukimoigia hata simu sasa hivi ukumuuliza unamfahamu Baby, mwanafunzi wako atakuambia”
“Sasa mbona Tanga kipindi kile sikuona ukaribu wenu?”
“Ahaaa sote tulikuwa kazini, na kipindi nilipo kuwa nimeenda kwa upelelezi, mbona nyumbani kwenu nilikuwa nakuja sana”
Nikatoa simu yangu kwenye kipochi na kumpigia mama.
“Ndio, nimeona hizi picha hapa ndio najitahidi kufahamu hii alama inatumiwa na kundi gani la kigaidi”
“Sawa mama ila kuna jambo jengine nahitaji kukuuliza”
“Jambo gani?”
“Unamfahamu Baby mwanafunzi wako?”
“Ndio huyo anaye mlinda raisi?”
“Ndio”
 
“Yaa namfahamu, si yule uliye kuwa naye kipindi cha kumlinda raisi kwenye dhiara yake Tanga”
“Yaa ndio huyo huyo”
“Namfahamu ni mwanafunzi wangu sana, na nimemfundisha mambo mengi. Umekutana naye nini?”
“Yaa nimekutana naye na amenisaidia sana kwenye hili swala la kuwaua hao jamaa”
“Hembu mpe simu nimsalimie”
Nikampa simu Babyanka akaanza kuzungumza na mama, mazungumzo yao tu yanaonyesha ni watu wanao juana kwa muda mrefu sana.
“Haya mama usiku mwema”
Babyanka baada ya kuzungumza maneno hayo akanirudishia simu yangu, nikaagana na mama kisha nikakata simu.
“Unakumbuka siku tulipo kutana kwa mara ya kwanza pele nyumbani kwenu hadi Meya akawa anakukoromea, nikakukonyeza, hukujiuliza kitu?”
“Sikuwa na wazo la kujiuliza zaidi ya kuhisi kwamba umenizimikia”
 
“Mwehu wewee”
Babyanka akanisogelea na kunivuta karibu yake, mikono yangu nikiapitisha kiunoni mwake, taratibu takaanza kunyonyana denda.
“Twende tukaoge, hapa najihisi kunuka nuka damu tu”
“Sawa ni wewe tu, ila hapa ku** imesha anza kuwaka moto”
“Nifungue zipu”
Babyanka akafanya hivyo nikavua nguo zate na yeye akavua nguo zote kisha tukaingia bafuni. Ambako hata swala la kuoga halikukamilika kwani tukajikuta tukiingia kwenye dimbwi kubwa la mapenzi. Nikamgandamiza Babyanka ukutani na kuanza kuyanyonya maziwa yake yote mawili huku nikihakikisha ninayanyonya hadi Babyanka apagawe. Sikuishia hapo nikaushusha ulimi wangu hadi kwenye kitovu chake na kuanza kukinyonya taratibu jambo lililo zidi kumpagawisha Babyanka hadi ikafika hatua akaomba nizitulize nye** zake za muda mrefu.
 
Sikuwa na kipingamizi zaidi ya kuanza kukila kitumbua chake kilicho lainika kwa chai ya baridi. Uuzri wa Babyanka katika swala la kutom**a, ni mwepesi sana na anajua jinsi ya kujituma na nimwana mazoezi kila unavyo muweka anakaa.
    Mtanange ukachukua zaidi ya nusu zaa, ukaisha kila mmoja akiwa hajaridhika sana, tukaoga na kurudi kitandani, hata hazikupita dakika tano, tukajikuta tukirudi ulingoni, safari hii kila mmoja akiwa katika kasi ya ajambu kuhakikisha kwamba anamkomoa mwenzake kwa kumkamua hadi kamasi la mwisho litakapo timia. Japo sote ni wazoefu kwenye maswala ya kupambana, ila kwenye swala la kitandani nimemzidi Babyanka uzoefu. Tukamaliza mzunguko huu ambao umechukua muda zaidi ya lisaa. Babyanka kwa kuchoka akajikuta akinilalia kifuani mwangu na usingizi mzito ukampitia. Sikuchukua muda na mimi usingizi ukanipitia na kulala fofofo.
“Hei Dany amka ukanywe chai”
 
Niliisikia sauti ya Babyanka akiniamsha, nikafumbua macho yangu na kumkuta akiwa amekaa pembeni yangu huku amejifunga matenge mawili moja kifuani na jingine kiunoni.
“Saa ngapi sasa hivi?”
“Ni saa mbili”
“Huendi kazini leo?”
“Ninakwenda, nilizungumza na raisi kwamba nitachelewa na nikamuelezea kuhusiana na shambulizi tulilo fanyiwa jana, akanipa muda wa kupumzika hadi saa sita niwe nimefika ofisini”
“Ahaa sasa umemueleza ni wapi nilipo?”
“Yaa nilimuambia kwamba upo sehemu salama, akanishukuru kwa hilo ila sikumtajia kwamba upo kwangu”
“Ahaaa sawa”
“Unaweza kwenda kuoga, mwili ukaupa nguvu kidogo”
Nikashuka kitandani nikiwa kama nilivyo zaliwa, nikaingia bafuni na kuoga. Baada ya kuoga nikarudi chumban na kukuta Babyanka akiwa ameniandalia nguo za kuvaa.
“Nimeotea kukununulia saizi yako?”
“Kwani umeninunulia leo”
“Yaa niliamka saa kumi na mbili, kuna mchaga mmoja duka lake la nguo analifungua saa kumi na mbili kamili asubuhi, hapo ndipo nilipo kwenda kukununulia”
“Asante, nilijua kwamba ntavaa hilo jimwili la plastiki linachosha sana”
 
“Hivi ulilinunulia wapi hili?”
“Ahaa wee acha tu ni stori ndefu, twende nikanywe chai”
Tukaeleka jikoni ambapo kuna meza ya kulia chakula, Babyanka akaniandalia kifungua kinywa alicho kiandaa, taratibu tukaanza kunywa.
“Kuna siku flani kuna mabinti wawili nilikuwa ninawafwatilia usiku wakaja kwenye jumba moja maeneo ya Tegeta kule, katika kuchungulia nikakuona wewe na wewe ukaanza kunishambulia pasipo kunifahamu, mulikuwa mumefwata nini kule?”
“Ahaa kumbe ni wewe ndio ulikuwa unachungulia chungulia pale?”
“Ndioo”
“Kum**nina zako, tungekukamata naamini ungekufa ile siku”
“Kwa nini?”
“Bwana hawa viongozi wetu ni shida tupu kuna mambo mengine muda mwingine mtu unatakiwa ukiyaona unakaa kimya kama hujayaona vile”
“Ehee ni mambo gani hayo?”
“Aahaa Dany hilo swala nisinge penda kulizungumza kwa maana sihitaji maisha yangu wala maisha ya wazazi wangu kuwa kwenye matatizo”
“Unahisi ukiniambia labda ninaweza kuzungumza kwa watu au?”
 
“Dany nakuomba sana, katika hili mimi siwezi kuzungumza chochote, nakupenda na nilikuweka moyoni mwangu tangu siku ya kwanza ulipo nitom** ila kwa hili mmmmmm tutasameehana. Naamini unatambua kanununi na taratibu za kazi zetu. Hata kama kuna jambo baya umeliona mtu huruhusiwi kulisema hata kukikamatwa na kupewa mateso makali”
“Nalitambu hilo ila ni vyema ukanieleza kama ni jambo baya”
Babyakna akanyanyuka kwenye kiti chake, akapiga hatua hadi kwenye friji, akafungua na kutoa juisi ya kopo na kurudi nayo mezani. Akaweka kopo hili la juisi mezani huku akinitazama usoni mwangu, akashusha pumzi dhairi macho yake yanaonyesha kwamba ana wasiwasi wa kuzungumza kile anacho kifahamu.
“No Dany siwezi hii ni siri kubwa sana ambayo inapelekea taifa siku yoyote linaweza kuingia kwenye majanga makubwa zaidi ya haya tuuliyo nayo”
Babaynka alizungumza maneno hayo huku akinyanyuka kwenye kiti chake na kuondoka na kuniacha nikiwa ninamtazama tu kwa nyuma nikiyafikiria hayo majanga anayo yazungumzia.
                                                                                 
                        AISIIIII……….U KILL ME 62

Nikanyanyuka kwenye kiti changu na kuanza kumfwata Babyanka hadi kwenye sofa     alilo kaa. Nikakaa kwa pembeni yake huku nikimtazama Babyanka usoni mwake. Nikamkazia macho huku nikiyatazama macho yake yayo onyesha kuna kitu anatamani kuzikuzungumza sema woga ndio unao msumbua.
“Baby please tell me, ni kitu gani ambacho kinaendelea?”
Babyanka akafumba macho yake huku kifua chake kikionyesha jinsi mapgo yake ya moyo yanavyo kwenda kwa kasi. Taratibu akayafumbua macho yake na kunitazama.
“Dany”
 
“Naam”
“Ile siku uliyo tuona kwenye lile jumba pale, ilikuwa ni siku ambayo raisi alikwenda kuingia mkataba mzito sana ambao hata mimi inaniuma kuona anaingia makubaliano hayo ila ndio hivyo hakuna jinsi”
“Mkataba gani?”
“Ameibinafsisha nchi kwa miaka mia moja”
Nilihisi mwili mzima ukizizima kwa kuishiwa nguvu. Macho yakanitoka wasiwasi mwingi ukanijaa moyoni mwangu nikahisi kitu alicho kizungumza Babyanka kama sijakielewa vile
“Amebinafsisha nchi ana baadhi ya sekta za serikali?”
“Amebinafsisha nchi kwa shinikizo ila si matakwa yake”
“Si matakwa yake na nchi ameiweka mikononi sijui kwa kina nani?”
“Nchi ameiweka mikononi mwa Wamarekani, kupitia K2 ndio haya yote yametokea”
“Kusema kweli sielewi najionea mapicha picha Babyanka. Ina maana huyu raisi anaye imiza watu kwenda kwenye mstari amebinafsisha nchi”
 
“Yaa ila si kwa matakwa yake. Ile siku kwa mara yangu ya kwanza niliweza kumuona raisi akilia kwa uchungu asana anaipenda hii nchi ila sijui amewekewa nini na K2, laiti angekuwa ni mkewe basi ningesema amewekewa limbwata. Ila ni kaka na dada”
Nikajikuta nikishusha pumzi nzito huku sura ya K2 ikinijia jia kichwani mwangu kuanzia pale tulipo anza mahusiano yetu hadi alipo anza kunifanyia vitu vya kijinga baada ya kugundua mipango yake yote iliyopo juu ya kuhitaji kumuangamiza raisi.
“Raisi hata yeye mwenyewe anafahamu kwamba wewe sio gaidi, ila vyombo vya habari vilivyo kupamba wewe kuonekana kwamba gaidi”
“Sasa kwa nini asiweze kulizuia hilo?”
“Atawezaje kulizuia hilo wakati raisi hana kauli kwenye nchi. K2 amemkalia kisawas sawa”
“Sasa amefahamu uhalisia wangu?”
“Hapana bado hajafahamu na sitaki aweze kukufahamu uhalisia wako kwani hii inaweza kuwa hatari kwa maisha yako. Ona hapa hawajakufahamu mambo yenyewe ni kama jana usiku”
“Nahitaji kuonana na raisi”
“Wa nini?”
 
“Nahitaji kuhakikisha huo mkataba alio ingia na hao watu unafutwa haraka iwezekanavyo hata kama kunatatizo tuweze kumsaidia”
“Hilo sio wazo  zuri Dany. Angalia hali halisi, laiti kama ningeweza kumsaidia raisi si ningemsaidia, ila hilo unalo hitaji kulifanya wewe ni kuniharibia kazi wakati hii siri kati ya watu wote walio kwenda pale mimi raisi ndio tunao fahamu tu ukiachilia mbali huyo K2”
“K222222222222222222222222222222”
Niliita kwa hasira kwa maana mpumbavu mmoja anapelekea taifa kuingia katika wakati mgumu hata raisi anashindwa kufanya kile anacho takiwa kukifanya ndani ya majukumu yake. Ukimya ukatawala hapa sebeleni hapakuwa na mtu aliye zungumza kitu chochote.
Babyanka akanyanyuka na kuelekea chumsbani kwake na kuniacha nikiwa nimekaa sebeleni nikitafakari ni nini cha kufanya. Simu yangu ikaita na nikaitoa mfukoni taratibu.
“Mama”
“Nimefanikiwa kufahamu watu walio wavamia jana wanahusika na nani”
“Ehee niambie”
“Kuna vikosi viwili vikubwa vinavyo jihusisha na ugaidi. Vikosi vyote vipo chini ya K2, na vikosi hivi vinapata msaada mkubwa wa pesa, silaha, magari na nguo kutoka nchini Marekani”
 
“Hapo hapo mama kuna ishu nahitaji unisaidie”
“Ehee zungumza”
Nikaanza kumuelezea mama kwa sauti ya chini kabisa kila kilicho tokea kwa raisi.
“Mungu wangu sasa hapo inakuwaje?”
“Mama hata mimi mwenyewe sielewi”
“Unakumbuka muda wa wao walio kutana na tarehe pamoja na eneo?”
“Ndio”
“Nitumie”
Nikakata simu, nikamtumia vitu vyote alivyo vihitaji kwa njia ya Whatsapp, nikanyanyuka na kuelekea chumbani kwa Babyanka, nikakukuta umlango ukiwa wazi kidogo, nikausukuma na kuingia ndani, sikumuona ndani, ikanibidi kuingia bafanuni, nikamkuta akiwa amekaa kwenye sinki la kuogea huku ameshika bastola yake aliyo jiwekea kichwani. Jasho linamtirika huku uso mzima umajaa machozi.
“Nooo baby unataka kufanya nini?”
Nilimuwahi Babyanka na kumpora bastola yake.
“Dany nimetoboa siri kubwa sana na nilikula kiapo mbele ya raisi kwamba sinto izungumza”
 
“Shiti huu ni ujinga unao taka kuufanya. Raisi ni nani yako. Tazama maisha yako, tazama maisha ya watanzania, yanaingia matatizoni kwa ajili ya mjinga mmoja K2 kwa tama zake za mali ninacho kihitaji ni wewe kuamka, kuhakikisha kwamba kila kitu tunakitatua”
“Dany siwezi mpenzi wangu ni bora mimi kufa”
“Sihitaji ufe nitazame usoni mwangu”
Nikamshika Babyanka kwa mikono yangu miwili mashavuni mwake na nikamkazia macho huku machozi yakinilenga lenga.
“Bado wewe ni mdogo na siwezi kukuruhusu kufa kwa kujitakia. Hakikisha kwamba tunalifanikisha hili. Pia sihitaji uondoke karibu yangu, ninakupenda sana Babyanka”
Nilizungumza huku machozi yakianza kunimwagika
“Tazama tulivyo pambana na Wasomali wengi walio hitaji kumuu raisi mika ile, tazama kile tulicho kifana kwa pamoja kwa nini unahitaji kukirudisha nyuma wakati bado ni mapema”
“Dany naogopa?”
“Noo huu siio muda wa kuogopa, sijali damu zetu zitachukuiwaje katika hili taifa ila nahitaji damu zetu zimwagike kwa ajili ya nchi yetu”
 
Ujumbe ukaingia kwenye kwenye simu yangu kwa haraka nikaufungua, nikakuta mama akiwa amenitumia picha nne za watuy walio jumuika katika mkataba, huu wa kuibinafsisha nchi. Watatu wakiwa wazungu na mmoja akiwa ni raisi. Nikasoma na maelezo ya mama aliyo yatuma pamoja na majina yao. Nikampigia mama simu huku nikimtazama Babyanka usoni.
“Ndio mama”
“Watu hao wote wapo bado nchini Tanzania. Na leo saa mbili usiku wanaondoka kurudi Marekani na watakua na mkutano wa mwishokatika jumba hilo hilo saa kumi na mbili kamili jioni”
“Asante mama”
“Kuwa makini kama unahitaji kudili na hili swala”
“Sawa mama”
Nikakata simu na kumgeuzia Babyanka picha za hao watu wanne. Babyamnka akachukua simu yangu huku akiwa ameyatumbua macho.
“Dany umezipata wapi hizi picha?”
“Kazi imeanza, hakikisha unafwata kile ninacho kuambia. Sihitaji woga sihitaji upuuzi katika hili ni bora kufa ili kuhakikisha kwamba inchi inakuwa katika mikono ya watanzania sawa”
 
Nilizungumza kwa ukali hadi Babyanka akaniogopa.
“Sawa”
“Upo pamoja na mimi au utanisaliti?”
“Nipo pamoja nawe, ila kuna jengine hulifahamu?”
“Lipi?”
“Mtoto wa raisi wa kwanza wa kiume alishikwa na madawa ya kulevya nchini Marekani, tena ameshikwa na madawa mengi tu, kwa maana K2 ana kiwanda cha kuzalisha hayo madawa ya kulevya. Kwa kutumia kigezo cha mtoto wa raisi kutekwa ndio wakamshinikiza raisi kukubali kuibinafsisha nchi hii ili mwanye kuwa huru na leo ndio wanakwenda kuingia mkubaliano ya mwisho”
“NNalitambua hilo muda si saa kumi na mbili usiku?”
“Umejuaje hayo yote?”
“Nijibu swali?”
“Ndio na mimi nitakuwepo katika msafara wa kumlinda raisi”
“Basi nahitaji kuingia katika jumba hilo pasipo mtu yoyote kufahamu?”
 
“Itakuwa ni ngumu kwa maana jumba hilo linaulinzi mkali sana”
“Kati ya hawa unavyo hisi wewe ni nani anaye ushikilia huo mkataba?”
“Huyu mzee mwenye upara na yeye ndio kiongozi”
“Sawa, unaweza kufahamu ni wapi walipo fikia, I mean hoteli walizo zifikia unazifahamu?”
“Ndio wote wapo Serena hoteli”
“Kuanzi sasa nitahiji tusaidiane katika hili”
“Sawa”
Babyanka akanyanyuka kwenye sinki la kuogea, tukarudi chumbani huku Babyanka akiwa anajifuta futa machozi yake.
“Huyu mzee nitakuja naye leo, nahitaji kutumia mbinu yangu ya kike kuhakikisha kwamba anaingia mwenyewe kwenye mtego”
“Na tukilifanya hili mtoto wa raisi inakuwaje?”
“Acha afe, ujinga wake wenyewe unataka kuigharimu nchi miaka na miaka mia moja”
“Ila Dany hujui ni jinsi gani raisi anampenda mwanaye huyo”
“Huo ni ujinga ichi iteketee kwa mtu mmoja. Amsha akili yako Babyanka wakimuua yeye zaidi ya watanzania milioni arobaini wanakwenda kunufaika”
 
Babyanka akaka kimya huku akinitazama usoni mwangu, sikuwa na muda wa kupoteza zaidi ya kuanz akuvaa nguo zangu, nikitanguliza tisheti ambayo mama alinipatia. Nikavaa mwili wa plastiki, Babyanka akanifunga zipu kwa nyuma.
“Huna gauni ambalo litanifanya niwe huru?”
“Labda suruali ya kike ambayo inavutika, ila magauni yangu hayatoweza kukuingia na hilo umbo”
“Hembu niione hiyo suruali”
Babyanka akafungua kabatini kwake na kutoa suruali ambayo inavutika. Nikaijaribisha cha kushukuru Mungu inaingia vizuri mwilini mwangu, akanipatia na tisheti kubwa ambayo imekaa vizuri mwilini mwangu.
“Huna mawigi mawingi?”
“Yapo mengi tu njoo uchague”
Babyanka akanifugulia kabati lake jengine analo hifadhi mawigi tu. Nikachagua wigi moja la nywele zilizo chambuka chambuka. Nikalivaa na Babyanka akaniweka vizuri wigi hilo kichwani mwangu.
 
“Hapo ngoja nikupatie na kofia nina imani itakufaa”
Babyanka akanipatia kofia nyeusi nikaivaa kichwani mwangu, kisha akaanza kunipara uso wangu kwa vipodozi vya kike, alipo maliza Nikajitazama kwenye kioo, kusema kweli mtu huwezi kuamini kwamba mimi ni mwanaume kwa kuniangalia mara moja. Akanipatia na kijicheni cha dhahabu kidogo nikakifunga mguu wa kushoto, akanipa na vijindala wanavyo penda kuvaa wasichana wengi hapa mjini.
“Nipe bastola zangu”
Babyanka akanipatia bastola zangu na kuziweka kwenye pochi kubwa kidogo alilo nipatia Babyanka
“Mmmm kitu gani kingine nimesahau?”
“Saa ya mkononi, vaa hii ili twende sawa na muda na sasa hivi ni saa tano. Tuna masaa matano mengine mbele kuhakikisha kwamba hili jambo linaeleweka”
“Nimekupata, mimi ngoja nieleke huko serena, nahitaji funguo ya gari langu?”
“Gari lako sasa hivi wame lifahamu inaweza ikakuletea shida tena”
“Njoo nje nikuonyeshe”
Tukaongozana na Babyanka hadi nje nikiwa nimebeba funguo ya gari langu pamoja na pochi hilo kubwa. Nikafungua mlango wa gari na kuminya batani ambayo mama aliniambia niiminye na namba za gari zitabadilika.
“Tazama nyuma umeona nini?”
 
“Waooo namba zimebadilika, sasa mbona umeweka ya ikulu?”
“Yaaa hiyo ni moja ya dili”
“Mmmm take care”
“Don’t worry. Fungua basi geti”
“Getilangu linajifungua, lina sensi moja hatari ukilisogelea tu karibu basi linafunguka”
“Sasa wakija watu wengine na mikweche yao si litafunguka?”
“Weee halifunguki mimi mwenyewe ninajua jinsi ya kulifanya hadi lifunguke kwa gari za namna hiyo”
“Haya mwanye”
“Nakufungulia kutumia simu yangu hapa”
“Powa”
Taratibu nikafunga kioo cha gari langu na kufika getini, taratibu likajifungua, na nikaondoka. Njia nzima ninafikiria jinsi gani ya kumfanya mzee huyu kuingia kwenye kumi na nane zangu. Nikachukua simu yangu na kusoma maelezo yake. Anaitwa Erick Donald Jr. Jina lake likanitosha kabisa kuweza kufahamu ni wapi nitaanzia.
 
Nikafika katika hoteli ya Serena, walinzi wa getini walipo ona namba za gari langu hawakuhitaji kulikagua sana, nilicho kifanya ni kipita na kulisimamisha kwenye maegesho ya magari. Nikaacha bastola moja chini ya siti ya gari, nikajiweka vizuzri kofia yangu, hata sura yangu haikuonekana vizuri.
Nikashika kitasa cha mlango wa gari langu, kabla sijaufungua nikamuona K2 akitoka na mzee niliye mfwata wakaingia naye kwenye gari kisha wakaanza kuondoka jambo lililo nifanya nibaki nimeduwaa nisijue ninaanzia wapi kwa maana gari si chini ya nne zimeongozana na gari la K2 na zote zinatoka katika ofisi za N.S.S(Nation Securty Service)
                                                                                  ITAENDELEA

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts