Get the latest updates from us for free

Home » , » AISIIIII……….U KILL ME ( Sehemu ya 63 na 64 )

AISIIIII……….U KILL ME ( Sehemu ya 63 na 64 )

Written By Bigie on Monday, March 26, 2018 | 2:35:00 PM

MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWA-
0657072588   
ILIPOISHIA  

Nikafika katika hoteli ya Serena, walinzi wa getini walipo ona namba za gari langu hawakuhitaji kulikagua sana, nilicho kifanya ni kipita na kulisimamisha kwenye maegesho ya magari. Nikaacha bastola moja chini ya siti ya gari, nikajiweka vizuzri kofia yangu, hata sura yangu haikuonekana vizuri.
Nikashika kitasa cha mlango wa gari langu, kabla sijaufungua nikamuona K2 akitoka na mzee niliye mfwata wakaingia naye kwenye gari kisha wakaanza kuondoka jambo lililo nifanya nibaki nimeduwaa nisijue ninaanzia wapi kwa maana gari si chini ya nne zimeongozana na gari la K2 na zote zinatoka katika ofisi za N.S.S(Nation Securty Service)

ENDELEA   
Taratibu nikawasha gari langu na kuanza kuzifwatilia gari hizo huku nikiwa nimeziacha kwa umbali mrefu kidogo. Nikatoa simu mfukoni na kumpigia Babyanka ambaye alisha iingiza namba yake kwenye simu yangu.
 
“Ndio Dany?”
“Dili limeharibika”
“Kwa nini?”
“Kipindi ninafika tu, nimekuta K2 anatoka na mzee yule wa Kimarekani”
“Ohoo Gody sasa inakuwaje?”
“Hapo ndio ninaumiza kichwa kufikiria ninafanyaje kwa maana wana msafara wa gari kama nne hivi na zote zimetoka katika kitengo cha N.S.S.
“Mmmm kwa sasa wanaelekea maeneo ya wapi?”
“Maeneo ya Mwenge”
“Mwenge Mwenge…..”
“Hembu usikate simu nimpigie mama atushauri juu ya hili swala tufahamu ni nini cha kufanya”
“Sawa”
Nikaingiza namba ya mama kwa haraka kisha nikampigia, simu ya mama haikumaliza hata sekunde tano kuita ikapokelewa.
“Mama kuna tatizo”
“Tatizo gani?”
“Huyu mkuu wa watu wanao husika katika kuibinafsisha nchi yupo mkononi mwa K2 na hapa ninavyo zungumza nimeongozana nao na sifahamu wanampelekea wapi?”
“Upo eneo gani?”
 
“Tunaelekea Mwenge huku”
“Mwalimu”
“Kumbe Babyanka yupo”
“Ndio mwalimu, mimi nipo nyumbani ila unaonaje kama tukazi control trafick Light?”
“Wazo zuri, Dany munatokea upande gani?”
“Upande wa huku Morocco”
“Ok nafungulia gari zinazo toka Mlimani kuelekea Mbezi  Beach, nitawasimamisha hapo kwa dakika kum na tano, Dany hakikisha kwamba hii kazi unaifanya vizuri”
“Sawa mama”
“Dany mimi ninaelekea ofisini”
“Sawa”
Nikakata simu na nikaiweka pembeni, nikaanza kuyapita magri yaliyopo mbele yangu hadi gari za N.S.S. Lengo langu kubwa ni kuiwahi foleni na ninahitaji gari langu kuwa la kwanza. Kama nilivyo panga nivyo ilivyo kuwa. Nilipo fika tu kwenye foleni taa za kusimamisha magari upande wetu zikawaka na kufanya magairi yote kusimama.
 
“That cool baby”
Nilizungumza huku nikisimamisha gari langu, ambalo lipo mbele kabisa. Kwa kupitia kioo cha pembeni nikaona gari za N.S.S zikisimama nyuma ya mstari wa gari langu lilipo na nyuma ya gari langu kuna magari kama manne ya watu binafsi. Nikachukua bastola zangu nikazikoki vizuri nikazichomeka nyuma ya suruali yangu eneo la kiunoni kisha nikashuka kwenye gari. Nikaanza kutembea kwa mwendo wa madaha na kuwafanya baadhi ya madereva wa gari hizi binafsi kunitaza. Hata madereva wa gari za N.S.S wakabaki wakiwa wamenitumbulia macho ya uchu. Nilipo fika kwenye gari alilo pakizwa bwana Erick Donald Jr. Nikachomoa bastola zangu, na kuanza kushambulia gari hilo, milio ya risasi ikawachanganya hadi wana usalama wa N.S.S. Nikamuona K2 akishuka kwenye gari hili ninalo lishambulia akiwa na bastola mkononi. Nikafungua mlango wa nyuma wa gari hili, nikamshusha Bwana Erick Donald Jr, huku nikichukua na brufcase illiyopo pembeni. Kitu kilicho mshangaza K2 ni jinsi anavyo fyatua risasi zake kunijia mimi na risasi zote hazifikia karibu yangu, na zikifika mita chache tu hufa nguvu.
 
“Twende”
Nilimuamrisha `Bwana huyu wa kimarekanni huku nikiwa nimemuwekea bastola kichwani mwangu. Sikutaka kumuua mtu yoyote kwa maana wengi waliopo hapa walikuwa ni wafanyakazi wezangu. Nilipo ona K2 haitaji kukata tama katika kumuacha mzee huyu kwenda. Nikamtandika risasi mbili za kifua na akaanguka chini. Nikamuingiza kwenye gari mzee huyu mwenye upara, kisha na mimi nikaingia kwenye gari, kitendo cha gari kuwaka taa za kuruhusu magari upande wetu zikawaka na nikaondoka kwa kasi huku nikiwa na furaha kubwa sana moyoni mwagu. Kwanza nimemuua K2 pili nimempata huyu Mmarekani anaye hitaji kuifanya nchi yetu kuwa chini ya Marekani jambo ambalo linge waathiri watanzania wengi hususani vizazi vingine.
“Baby dili limekamilika”
“Umempata?”
“Ndio nimempata”
“Ok nitakujulisha kila kinacho endelea”
“Nahitaji kwenda kutulia naye kwako?”
“Sawa ukifika nitakufungulia geti”
“Powa”
Nikakata simu ya Babyanka na nikampigia mama.
“Ndio”
 
“Nimefanikiwa”
“Safi sasa unafanyaje?”
“Nitakuambia mama kila kitu kikikamilika”
“Sawa”
Nikafika nyumbani kwa Babyanka, nikamfahamisha kuhusiana na uwepo wangu. Akanifungulia geti lake alilo liunganisha na mitambo yake anayo ifahamu yeye mwenyewe. Baada ya gari kuingia ndani geti likajifunga. Nikashuka kwenye gari na kufungua siti ya nyuma na kumtoa Bwana Erick Donald Jr.
“Beba brufcase yako”
Akaichukua brufcase yake huku mwili ukimtetemeka sana. Nikampigia simua Babyanka kumuomba maelekezo ya jumba lake hili.
“Una stoo?”
“Ipo hapo ulipo nenda kulia utaiona”
“Ok usikate simu”
Nikamuelekea mzee huyo kuongoza njia hadi stoo, nikafungua mlango wa stoo kwa uzuri nikakuta kamba nyingi za manila pamoja na kiti kimoja. Nikaichomeka bastola yangu nyumba na kumuamrisha mzee huyu kukaa kwenye kiti. Akalete ubishi wa kunivamia, ila kabla hajafanya hivyo nikamuwahi kwa kumtandika teke moja la miguu lililo mkusanya mzima mzima na kuanguka chini kama mzigo wa kuni Nikamnyanyua kwa hasira na kumkalisha kweye kiti, nikaanza kumfunga kamba nilizo ziunganisha na kiti chini. Nilipo hakikisha kwamba yupo salama nikaiweka brufcase juu ya meza pamoja na bastola zangu zote mbili.
 
“Welcome Tanzania”(Karibu Tanzania)
Nilizungumza huku nikiivua kofia yangu niliyo ivaa. Nikachukua kiti kingine na kukiweka mbele yake, kisha nikaka huku nikiwa nimemkazia macho
“Ni nani aliye watu”
“I don’t understand Swahli”(Sielewi Kiswahili)
“Ahaa hujui kiswahili eheee”
Nikamtandika ngumi nzito ya kichwa, akatoa ukelele mmoja mkali ulio nifanya nimuongezee na kofi kali katika upara wake.
“Hapo nimekubariki, nilazima utakuwa unajua kuzungumza kiswali sasa”
“Yaeee yaaa”
“Ni nchi yako ndio imekutuma au kuna mchezo wa kijinga unao endelea hapa kati”
Bwana Erick Donald Jr, akaka kimya huku akinitazama kwa macho ya hasira. Wala sikujali hasira yake nilicho kihitaji kukifahamu ni kitu gani kinacho endelea.
“Nahisi unifahamu vizuri, huwa nina asilimia sifuri ya huruma kwenye moyo wangu”
Nikanyoosha mkono wangu kwenye meza na kuchukua bastola yangu, nikaigandamiza kwenye paja lake huku akinitazama kwa macho ya hasira. Sikuwa na huruma yoyote zaidi ya kufyatua risasi moja iliyo ingia kwenye paja lake na kutokea chini  na kuacha shimo linalo mwaga damu mfululizo. 
 
Bwana Erick Donald Jr akazidi kutoa makelele ya machozi. Nikamsogezea brufcase yake na kumuamrisha kuifungua namba za siri zilizopo.
“Moja, nane, tisa, mbili”
Akanitajia namba hizo nikaziingiza kwenye sehemu ya kuingizia namba za siri katika brufcase hiyo, ikafunguka. Nikaifungua na kukutana na karatasi zilizo pangwa vizuri. Nikaanza kuzipitia moja baada ya nyingine. Sikuamini macho yangu juu ya vitu vilivyo orozeshwa katika mkataba huu. Cha kwanza ni mbuga zote za wanyama zitakuwa chini ya wamarekani, milima, misitu karibia asilimia tisini na tisa ya mali za Watanzania zimebinafsishwa kwa hawa wamarekani.
Nikatulia kimya nikiendelea kumtazama Bwana Erick jinsi anavyo gugumia kwa maumivu makali sana anayo yapata. Nikampigia mama simu kumuomba ushari.
“Unanishaurije mama yangu?”
“Umemjeruhi sana?”
“Sio sana ni risasi nimepiga kwenye paja, ila imemtoboka hadi upande wa pili”
“Dany mwanagu hilo ni kosa kubwa sana, ni bora ungetumia njia nyingine ya kumuhoji kuliko kutumia risasi”
 
“Mama ndio imesha tokea”
Ukimya ukatawala kwenye simu mama hakuzungumza kitu chochote.
“Mama”
“Nafikiria kitu cha kukushauri, kwa maana huyo jamaa hapa nimetoka kusoma detail zake ni Chief Sectretary ya raisi Marekani kwa hiyo kitu ulicho kianzisha ni kikubwa sana, kama unavyo tambua Wamarekani hawapendi kiongozi wao kuingia kwenye matatizo”
“Kama vipi tumuue”
“Ehee ehee Dany, hapo ndio utaharibu kabisa, tutatafutwa familia nzima na tunauwawa. Kizazi chako hakito onekena maisha na maisha umeona Osma walicho mfanya?”
“Sasa hapo mama unanikatisha tama”
“Sio nakukatisha tamaa Dany nazungumza kitu ambacho kipo, ila vipi kwanza kuhusu K2?”
“Nimempiga risasi za kifua”
“Amekufa?”
“Nahisi atakuw aamekufa”
“Usihisi unatakiwa kuwa na uhakika na unacho kizungumza. Uhakika utakuwepo pale tu utakapo niiletea kichwa chake”
“Sawa mama”
“Nipigie picha hizo nyaraka kisha na mimi nizisome”
“Sawa”
Nikaanza kupiga picha karatasi moja baada ya nyingine iliyo na maandishi. Kisha nikamtumia mama picha zote kwa Whatsapp.
 
“Hei wewe malaya hujui unadilia na mtu wa aina gani, nilazima ufee”
“Ahaa kumbe unajua kuzungumza kiswahili vizuri?”
“Utakufaa na nchi tutaichuku…….”
Hata kabla hajamalizia kauli yake nikampiga kichwani kwa kutumia kitako cha bastola yake na hapo hapo akapoteza fahamu. Nikafunga brufcase na kutoka nayo stoo, nikaufunga mlango wa stoo na kusimama nje huku nikiwaza ni nini cha kufanaya
Simu yangu ikaanza kuita mfukoni mwa suruali hii, nikaitoa kwa haraka, nikakuta ni Babyanka ndio anaye piga.
“Haloo”
“Dany ondoka mara moja hapo nyumbani?”
“Kwa nini?”
“Kuna timu kubwa imetumwa, hakikisha unaondoka na mateka”
“Wa….waa….wamejuaje nipo hapa kwako?”
“Huyo mzee ana kifaa kinacho munyesha ni wapi anapo kwenda, hakikisha kwamba unamkagua kwenye viatu vyake kwa maana ndio sehemu wanazo pendaga sana kuficha”
 
“Poa”
Nikakata simu na kuirudisha mfukoni, kwa haraka nikakimbilia ndani ya stoo, nikaanza kumvuu mzee huyu viatu. Kiatu kimoja baada ya kingine nikaanza kukibandua soli yake na kweli kwenye kiatu cha mguu wa kulia nikakuta kifaa kinacho weza kumsaidia mzee huyu kuonekana kila sehemu anapo kwenda. Kwa haraka nikakiua kifaa hicho kwa kukisaga saga chini kwa kitako cha bastola. Nilipo hakikisha kwamba nimemaliza zoezi hilo kwa haraka nikamfungua mzee huyu kamba niliyo mfunga, kisha nikambeba hadi kwenye gari. Nikafungua nyuma ya buti na kumdumbukiza. Nikajaribu kufunga buti ila nikaona halifungi. Kwa haraka nikatoa bagi la pesa na kuliweka siti ya nyuma. Nikajaribu kufunga tena, buti likafunga vizuri.
Brufcase ya mzee huyu nikaiweka siti ya pembeni yangu kisha nikaingia kwenye gari. Nikatoa simu yangu mfukoni huku nikiwasha gari langu, nikimpigia Babyanka aliye ikata simu yangu.
 
“Isiwe kesi”
Nilizungumza huku nikilirudisha kwa kasi gari langu. Nikalilenga geti kati kati. Nikakanyaga mafuta kwa kasi, kitendo cha kulikariba geti, likafunguka. Ila nikajikuta nikifunga breki kali baada ya kukutana na gari si chini ya kumi kutoka kitengo cha N.S.S zikiwa zimeliziba geti, huku watu wote wakiwa wameshika bunduki zao wakinisubiria nitoke tu kwenye geti. Nikiwa katika kushangaa shangaa, ikaingia meseji kwenye simu yangu. Nikaifungua na nikakutana na ujumbe mfupi kutoka kwa Babyanka.
(AM SORRY DANY)
Ujumbe huu ukanifanya nibaki nikiwatazama wana N.S.S, wengine ninawafahamu ila wengine ni wapya. Nikiwa ninaendelea kushangaa nikamuona K2 akishuka kwenye moja ya gari huku akiwa na hasira kali usoni mwake na tukajikuta tukitazamana macho kwa macho kila mmoja akwia na hasira na mwenzake.
                                                                                 
                        AISIIIII……….U KILL ME 64

Taratibu nikaichukua simu yangu ya pemebeni na kumpigia mama. Simu yake ikaita kwa madu pasipo kupokelewa, nikarudia tena kuipiga simu ya mama. Ikapokelewa na Diana.
“Haloo”
“Diana mama yupo wapi?”
“Yupo bafuni anaoga”
“Mpelekee simu”
“Si usubiri atoke bafuni?”
“Nimekumbia mpelekee simu”
Nilizungumza kwa kufoka. Nikasikia jinsi Diana anavyo kmbizana, ndani ya dakika moja akawa amesha mfikia mama.
 
“Dany”
“Mama nimevamiwa?”
“What…..?”
“Nimevamiwa na watu wa K2, yule mzee alikuwa na GPRS kwenye kiatu chake”
“Ngoja”
“Mama mbona unatoka na mapovu”
Nilisikia Diana akimuuliza mama, ambaye sikujua anataka kufanya nini.
“Ok ok Dany nakutafuta ulipo”
Nikasikia jinsi vidole vya mama vinavyo minya minya laptop yake.
“Nimekupa”
“Sasa mama nafanyaje watanishambulia hawa”
“Tazama kushoto kwako, kuna gari mbili, zinaupenyo. Ukipita katikati yao hizo gari zitzosogea. Kumbuka gari lako haliingii risasi, si kwenye kioo wala tairi”
“Sawa mama”
“Wait kidogo, huyo ninaye muona hapo mbele si K2?”
“Ndio”
“Ohooo my God. Ok fanya nilicho kuambia”
“Sawa mama”
Nikaiweka simu yangu pembeni pasipo kukata mawasiliano. Kwa kujiamini, nikaanza kuendesga gari langu kwa kasi nikifwata upenyo ulio acha na gari mbili. Kama mama alivyo zungumza ndivyo ilivyo, nikagonga gari hizo na zote zikaniachia upenyo hiyo ikawa nafasi ya mimii kuwatoroka huku nikiwaacha wakipiga risasi nyingi.
 
Skuhitaji masihara kabisa katika kuhakikisha kwamba ninawakimbia hawa wana N.S.S, kwa maana wao ndio wanao niandama na kuniumiza kichwa changu na kunivurugia mipango yangu. Natambua wengi wao wanafwata amri ya bosi wao K2 laiti wangefahamu K2 ni mwanamke wa aina gani wala wasinge thubutu kuendelea kuwa katika hiyo kazi. Ikawa ni kama mashindano, kwa mtu wa kawaida anaweza kusema ni filamu fulani inayo igizwa ndani ya Tanzania ila sio hivyo. Kitu kilicho kuwepo hapa ni mimi kujitahidi kuyaokoa maisha yangu.
“Mama niambie naweza kuzikwepa vipi hizi foleni?”
“Nenda nenda, pita njia ya Mwenge”
“Ehee”
“Ulekee Tegeta hakuna foleni, kutoka hapo ulipo hadi Mwenge kwenye mataa hapo, ni dakika nne na sekunde thelethini. Dakika mbili kabla nitahakikisha ninaachilia magari ya upande unao tokea”
“Shukrani mama”
Sikuogopa wala sikuwa na wasiwasi, nilicho kihakikisha ni kuwa makini katika kukwepa magari na watu wanao katiza barabara pasipo uangalifu. Kwa kutumia kioo cha pembeni nikashuhudia jinsi gari za wana N.S.S, wakinifwata kwa kasi, baadhi yao wakiwa wamejichomoza kwenye vioo wakinishambulia kwa risasi.
 
“Moja mbili, tatu”
Niliisikia sauti ya mama ikizungumza nikiwa katika mataa ya Mwenge. Gari za upande ninao tokea mimi zikaruhusiwa, nikiwa katika kasi hiyo hiyo nikapita na kuzidi kuendesha gari kwa mwendo wa kasi sana.
“Yeahaa that is ma boy”   
Nilimsikia mama akizungumza kwa furaha. Kutokana njia hii haina magari mengi wakati huu wa mchana, ikawa ni rahisi kwa mimi kuendesha gari kwa jinsi ninavyo weza mimi mwenyewe. Wana N.S.S hawakukata tamaa kabisa ya kunifwatilia japo nimewaacha kwa umbali mkubwa ila niliwaona.
Simu yangu ikaanza kuita, nikaitazama na kukuta ni Babyanka. Nikaipokea kwa haraka na kuweka Loud Speaker.
“Hongera Dany”
“Hongera ya nini?”
“Mpango ambao umeniambia umekwenda kama tulivyo panga”
 
“Zungumza kitu cha kualeweka”
“Mikataba haijaweza kukamilika kutokana na muhusika mkuu upo naye”
“Ohoo sawa, asante kwa taarifa”
Niikakata simu na kuzidi kuendelea na safari yangu ya kuondoka kabisa mkoa wa Dar es Salaam. Nikiwa Bagamoyo, kwenye moja ya kona kali, gafla nikakutana na msichana aliye ificha sura yake kwa kutumia kitambaa cheusi huku na yeye amevaa nguo nyeusi, mwili mzima. Amesimama katikati ya barabara huku akiwa ameweka bomu tunayo yaita Rocket begani mwake. Kwa ishara akanionyesha sehemu ya kupita kwenye moja ya njia, iliyo ingia kushoto kwangu. Kwa kasi hiyo hiyo niliyo nayo, nikakunja na kuingia kwenye kinjia hicho cha vumbu huku nikifunga breki kidogo. Huku nyuma kupitia kioo cha pembeni yangu nikaona mlipuko mkubwa. Huku gari moja ya wana N.S.S ikirushwa juu na kutua chini kwa nguvu ikiwa matairi juu. Ikanilazimu kufunga breki za gari langu na kushangaa kitu kinacho tokea nyuma yangu. Nikamuona binti huyo akinifwata kwa kasi akiwa na pikipiki nyeusi kubwa. Kwa ishara akaniomba niendelee kuendesha gari. Nikaondoa gari langu kwa kasi huku nikiifwata barabara hii nyembaba ila ina uwezo wa gari kupita. 
 
    Kwa mwendo wa nusu saa, tukiwa tunakatiza kwenye huu msitu wenye hichi kijibarabara. Tukafika sehemu nikakuta, gar kubwa aina ya Scania likiwa na kontena kubwa lililo funguliwa nyuma. Kwa ishara watu wawili walio simama nyuma ya gari hili kubwa wakaniomba niigize gari langu kwenye kontena hilo ambapo wamaweka ngazi za gari kuweza kupanda. Binti aliye nisaidia akapitiliza moja kwa moja pikipiki yake ndani ya kontena hilo. Alipo isimamisha pkipiki yake ndani ya konteka akashuka na kusimama mbele ya kontena huku akivu kofia la pikipiki yake pamoja na kitambaa cheusi usoni mwake. Sikuamini kumuona ni Marima, kwa ishara akaniomba niingize gari langu kwenye kontena hilo. Nikarudisha gari numa na kuliweka sawa, kisha nikaliingiza kwenye kontena taratibu na watu walipo nje wakatufungia kwa ndani.
 
Taa zenye mwanga mweupe na mkali zikawaka ndani ya kontena nikashuka kwenye gari na Marima akanipokea kwa tabasamu pana sana.
“Karibu Dany wangu”
“Kumbe ni wewe?”
“Yaa, za tangu majuzi?”
“Safi, ulijuaje kwamba ninaandamwa na N.S.S?”
“Mkuu aliniambia nikusaidie”
“Mkuu”
“Ndio, alinipa taarifa hii, na amaniambia kwamba tuondoke nchini Tanzania twende mbali kidogo na hapa”
“Nahitaji kuzungumza na mkuu wako”
“Sawa”
Marim akachukua Laptop yake aina ya Mackbook iliyo juu ya meza iliyomo humu ndani ya kontena, ambalo lina urefu kuliko haya makontena ya kawaida. Na limewekwa vitu vyote muhim kama sofa, friji, Tv, pamoja na meza ya kufanyia kazi. Akawasha laptop yake, akaingiza namba za siri kisha akawasiliana na mkuu wake kupitia Skype.
 
Macho yakanitoka huku nikiwa siamini mtu ninaye muona mbele yangu. Taratibu nikainama na kuangalia vizuri kwamba ninaye muoana ni yule ninaye mjua mimi au laa.
“Dany mwanangu umekuwa sasa”
Sauti na sura vyote ni vya baba ambaye ninafahamu siku zote kwamba ni marehemu na tayari tulisha mzika. Nikabaki nikiwa na kigugumizi, sikuzungumza chochote zaidi machozi yakinilenga lenga.
“Naamini kwamba huamini kwamba nipo hai si ndio”
“Ba…baa”
“Yes son”
Machozi yakaanza kunimwagika usoni mwangu, kwenye maisha yangu hichi kitu sikukitarajia kabisa kama kinaweza kutokea. Simu ikaita kwenye gari, nikatazama nyuma.
“Nenda kaichukue tu simu yako”
Mariam akapiga hatua hadi kwenye gari, akafungua mlango na kuichukua simu, kwa haraka akaniletea hadi nilipo simama. Akanikabidhi, nikakuta ni mama anaye piga.
“Mama”
Nilita kwa sauti ya majonzi
“Ndio mwanangu”
 
“Nimemu….muona baba”
“Yes nafahamu mwanagu”
Baba akatabasamu huku akionekana kuyasikiliza mazungumzo yangu na mama.
“I…ina maana unafahamu kwamba baba yupo hai?”
“Ndio ninafahamu mwanangu, hii tuliifanya siri mimi na baba yako, ila Diana anafahamu kwamba baba yenu yupo hai”
Kigugumizi cha kuzungumza kikanikaba tena, japo baba amezeeka kidogo na kwenye nywele zake zina mvi kadhaa, ila sauti na sura yake havijanipotea kabisa kichwani mwangu.
“Pumzika, tutazungumza baadae”
Baba alizungumza huku akinitazama, nikajifuta machozi usoni mwangu huku nikishusha pumzi nyingi.
“Ukifika huko uwendapo baba yako atakueleza kila kitu kilicho tokea”
“Sawa mama, ila tunakwenda wapi?”
“Hilo swali utamuuliza baba yako, naamini anakuskia hapo”
“Unakuja nchini Korea ya kaskazini, ni safari itakayo chukua kipindi kirefu kidogo kwa njia ya baharini”
“Sawa baba”
“Maria mtunze vizuri kijana wangu”
“Sawa bosi”
Baba akakata mawasiliano, nikabaki na mama hewani kupitia simu.
 
“Dany nenda kajifunze mengi, acha sekeseke la huku liishe”
“Sawa na nyinyi?”
“Kuwa na amani hakuna kitakacho haribika”
“Sawa mama”
Nikakata simu huku nikiwa nimejawa na furaha.
“Vua sasa hilo umbo lako”
“Umeona ehee”
Nikavua tisheti, pamoja na suruali hii ya kike pamoja na umbo langu la Plastiki. Nikabakiwa na tisheti tu.
“Mmmm”
“Una guna nini?”
“Nina hamu na hiyo hapo mbele”
“Nini?”
“Hiyo iliyo lala”
Marima alizungumza huku akinisogelea. Taratibu akamshika jogoo wangu kwa mkono wa kushoto, akanitazama usoni mwangu kwa macho malegevu, taratibu nikakishika kiuno chake, tukaanza kunyonyana denda huku kila mmoja akiwa na hamu na menzake. Nikaanza kumvua Marim nguo zake, ni kwa muda wa miaka miwili sasa na zaidi tangu nilipo mvunja Marim bikra yake, kuanzi siku hiyo sikuiweza kuonana naye zaidi ya majanga kuandamana na siku niliyo kuja kuonana naye ni siku ambayo nayo tulikuwa na kazi ngumu sana. Marima akavua suruali yake, akabakiwa na bikini tu
 
Mkono wangu wa kulia nikaupeleka kwenye kitumbua chake, na kuanza kukichezea taratibu. Kwa kukuru kakara tukajikuta tukiangukia kwenye sofa, nikampanua Marima miguu yake, na kuendelea kucheza na kitumbu chake, hadi nilipo hakikisha kimelowana, jogoo wangu akaanza kazi ya kukila kitumba cha Marim kilicho nona vizuri. Kazi ikawa ni kugeuzana kwenye sofa hili, mara Marima akae juu, mimi nikae chini, mimi nikakaa juu yeye anakaa chini.
“Nakupenda sana Dany wangu”
“Nakupenda pia Marim”
“Unajua nini?”
“Ndio”
“Kwa mara ya pili leo ninakutana na mwanaume, katika maisha yangu. Tangu univunje ungo sikukutana na mwanaume kimwili hadi leo hii”
Marima alizungumza huku akikizungusha kiuno chake taratibu juu ya jogoo wangu.
“Kweli”
“Ya….”
Kabla Marima hajamalizia sentensi yake tukasikia kontena kiligongwa gongwa, kwa haraka Marima akajichomoa kwenye jogoo wangu, akatafuta rimoti ya Tv liyopo humu ndani, akawasha Tv ambayo inaonyesha mandhari ya nje. Tukawaona askari usalama barabarani wanne, wawili wakiwa pembeni ya kontena. Mmoja akizungumza na dereva akimuamrisha afungue kontena watazame ni mzigo gani walio upakiza, huku askari mmoja mmoja akiwa amesimama kwenye mlango wa kontena akitazama tazama tazama mlango, jambo lililo mfanya Marim kuchukua bastola yake na kuinyooshea kwenye mlango wa kontena tayari kwa shambulizi litakalo tokea mbele yake.
                                                                                  ITAENDELEA

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts