Get the latest updates from us for free

Home » , » AISIIIII……….U KILL ME ( Sehemu ya 65 na 66 )

AISIIIII……….U KILL ME ( Sehemu ya 65 na 66 )

Written By Bigie on Tuesday, March 27, 2018 | 5:38:00 PM

MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWA-
0657072588  

ILIPOISHIA   
Kabla Marima hajamalizia sentensi yake tukasikia kontena kiligongwa gongwa, kwa haraka Marima akajichomoa kwenye jogoo wangu, akatafuta rimoti ya Tv liyopo humu ndani, akawasha Tv ambayo inaonyesha mandhari ya nje. Tukawaona askari usalama barabarani wanne, wawili wakiwa pembeni ya kontena. Mmoja akizungumza na dereva akimuamrisha afungue kontena watazame ni mzigo gani walio upakiza, huku askari mmoja mmoja akiwa amesimama kwenye mlango wa kontena akitazama tazama tazama mlango, jambo lililo mfanya Marim kuchukua bastola yake na kuinyooshea kwenye mlango wa kontena tayari kwa shambulizi litakalo tokea mbele yake.

ENDELEA
Nikamuona dereva akishuka kwenye gari huku akizungumza na askari aliye muamrisha kushuka. Uzuri wa gari hili limetegwa kamera nje ambazo s rahisi kwa mtu kuweza kuziona na ndizo zinazo tusaidia kuona kila knacho endelea nje.
Dereva akarudi nyuma ya gari na kumkuta askari mwengine aliye kuwa anatazama tazama nyuma ya hili gari. Taratibu dereva akaanza kufungua kufuli la kwanza, jambo lililo nifanya niichukue bastola yangu, huku nikiwa makini san.
“Ngoja kwanza tuzungumze”
Askari mmoja alizungumza huku akimzuia dereva kufungua nyuma ya gari, ikambidi dereva kumuangalia askari huyo, wakanong’onezana kwa muda kisha dereva akatoa waleti yake mfukoni na kuto noti tano za shilingi elfu kumi kisha akamkabidhi askari mmoja aliye tazama kila sehemu kisha pesa hiyo akaiweka mfukoni mwake. Akamruhusu dereva kufunga kufuli la gari kisha, akamruhusu  dereva kuendelea na safari yake. Sote tukarudi kukaa kwenye sofa huku tukitabasamu kwa maana mchezo wetu ulikatishwa katikati.
“Hii nchi bwana”
Marim alizungumza huku akiniwekea mguu wangu mmoja kwenye paja langu. 
 
“Ina nini?”
“Rushwa inanuka bado, japo raisi anajitahidi kupambana nayo”
“Yaa ndio hivyo, ila Mungu akibariki itakuja kuisha”
“Sio kwa nchi hii”
“Ok. Tuendelee”
“Ahaa stimu wala sina kabisa, wamenichefua hawa askari”
“Poa, ehee hembu niambie ilikuwaje kuwaje hadi ukawa kama ulivyo kuwa?”
“Ahaa ni stori ndefu sana, yaani ile simu uliyo niachia ilbadilisha maisha yangu yote”
“Kivipi?”
“lle simu nyuma si kulikuwa na kijidue kimebandikwa”
“Ndio”
“Basi mim nilikitoa kwa sasababu nikaona kama kinanichafulia pozi. Nakumbuka siku ile niliyo tekwa nilikuwa nimekwenda chuo kuna maswala nilikuwa ninayafwatilia. Sasa nilipo kuwa ninatoka, ikaja gari moja kali. BMW X6, akashuka dada mmoja mrembo akaniita, akiomba aniulize kitu”
 
“Ehee”
“Najuta hata kwa nini nilimfwata, nilistukia kitu chenye ncha kali akinigusa nacho, nakumbuka kalikuwa ni kajisindano. Kalinipa usingi nikajikuta nikiingia ndani ya gari hilo mimi mwenyewe, kuanzia hapo sikujua hata ni wapi ninapo elekea”
“Huyo dada ulendelea kumuona?”
“Huyo aliye nichoma kisindano?”
“Ndio”
“Si Yudia, mamaee zake yule dada, alinivurugia ndoto zangu zote”
“Ehehee ikawaje?”
Marima akamaa vizuri huku kwenye sofa, huku akinitazama usoni mwangu.
“Mimi kuja kuzinduka nilijikuta nipo kwenye moja ya bonge la meli. Humu ndani kuna viwanja vya kufanyia mazoezi yaani kusema kweli hakuna kutoroka, na hiyo sehemu hilo limeli lilipo kumezungukwa na papa wakali, yaani wale wanao kufa mazoezini, wala hakuna haja ya kuzika, wanatupwa tu baharini, ndani ya sekunde tu unaona jinsi anavyo gawanyishwa gawanyishwa vipande vipande”
 
“Mmmm hiyo meli inatembea?”
“Haitembei, kufika kwenye hiyo meli ni lazima uje na Helcopter, ukiwa na kijiboti kidogo sijui nini, ahaaa jamaa wanakufanya msosi”
“Mmmmm, hayo maisha ya humo ndani yapo vipi?”
“Humo ndani, ni mwendo wa mazoezi ya kivita, watu wanatengeneza bunduki, wanatengeneza mabomu. Kuna wasichana wengi wadogo wadogo humo, hadi kero”
“Mungu wangu?”
“Ahaa unashangaa wasichana wadogo, kuna watoto wachanga kabisa wa kike wanaletwagwa kila wiki tena ni wengi hao, wanachumba maalumu. Wanalelewa na kukuzwa kwenye mazingira ya kijasusi wakitoka hapo ni wauaji wa kuogopesha”
 
“Kwa hiyo huwezi kutambua kwamba ni wapi hiyo meli ilipo?”
“Kusema kweli katika eneo hilo la meli ilipo, ni katikati ya bahari, sifahamu ni bahari gani. Pili eneo zima lina ulinzi wa kupindukia, meli au ndege inayo jaribu kupita eneo hilo usawa wa maili moja. Inatunguliwa. Yaani hiyo meli nilikubwa, na kuna watu wengi na sote tunavaa sare.”
“Kuna wanaume?”
“Hakuna wanaume, humo kuna wanawake tu, kuanzia waalimu, wanafunzi. walinzi sote ni jinsia ya kike. Humo kuna usagaji wa kufa mtu”
“Mmmmmm”
“Wee acha tu, ilikuwaje ukaungana na baba yangu?”
“Baba yako, anajuana na mwalimu mmoja ambaye pale ni mkubwa wa yake mafunzo. Kuna siku alikuja kuchukua mabinti wawili wa kuifanya kazi yake mmoja hivi alitupa. Kuanzia pale alitokea kunipenda sana, basi akaumuomba mwalimu wangu aninunue nifanye kazi chini yake, mwalimu hakukubali, ila mzee aliniambia kwamba nikipewa kazi moja nchini Tanzania basi hiyo ndio itakuwa safari yangu ya kuondoka katika utawala wa hawa majasusi wa kike”
 
“Stori yako inanisisimua mwili”
“Ahaaa wee acha, mule unapandikizwa roho ya kikatili, ukitoka pale unapelekwa kwenye moja ya kambi ya Wasomali, hapo unapata mafunnzo ya wiki moja kisha unaelekea kwenye mission mahususi ukwa umeongozana na vijana wengine. Ndio ile siku ambayo nilipewa ile kazi na wale vijana, cha kumshukuru Mungu wewe ndio ukatokea”
“Katika kuishi kwako ulifahamu mmiliki wa kile kikundi?”
“Mmiliki ni mwanamama mmoja anaitwa K2, sikuwahi kuiona sura yake sijawahi kuiona zaidi ya kusikia jina lake na hata sare tunazo zivaa zimeandikwa jina lake tu K2”
“Huyu mwana haramuuuuu”
“Unamfahamu?”
“Ndio ninamfahamu alikuwa ni bosi wangu, tena kama unakumbuka siku nyumbani pale nilitoka naye chumbani kwagu……”
“Yule niliye wakuta munafanya mapenzi ndani kwako”
“Ewalaaa ndio huyo huyo”
“Ahaaa kumbe ni Mtanzania?”
“Yaa ni mtanzania”
“Jamanii mbona yule mama haonyeshi kama ni katili cha kumiliki kundi kubwa la wasichana kama wale kwenye meli kule”
 
“Ahaaa usimuangalie mtu kwa macho, ana roho mbaya sana yule mwana mama na ana mtandao mkubwa sana”
“Mmmmm”
Kupitia kwenye Tvi iliyomo humu ndani ya kontena, tukaona madhari ya bandarini.
“Tutaondoka na meli saa tatu usiku”
“Hawata tustukia kwamba ndani ya gari kuna watu?”
“Haoana, huku pesa ilisha tembea, hawa vijana wawili ni vijana wa baba yako, wapo vizuri kwenye maswala ya kupambana, kwa hiyo hapa ulinzi mzuri tunao”
“Hapo sawa”
“Meli ambayo tunaondoka nayo ni meli ya mizigo, ambayo inamilikiwa na shirika la baba yako”
“Unataka kuniambia kwamba mzee ana pesa nyingi hadi anamiliki meli?”
 
“Yaa baba yako ni tajiri”
Kwenye buti ya gari tukasikia mitikisiko nikakumbuka kwamba Bwana Erick Donald Jr atakuwa amezinduka kutoka katika usingizi wa kupoteza fahamu.
“Kuna nini kwenye gari lako?”
“Kuna mjinga mjinga mmoja nilimteka”
“Nani tena”
Nikanyanyuka kwenye sofa na kupiga hatua hadi lilipo gari langu, nikafungua buti kwa nyuma, Bwana Erick Donald Jr, akanyanyuka huku akipepesa macho yake.
“Nipo wapi?”
“Karibu tena duniani”
Marima akanifwata sehemu nilipo huku nikiwa nimeshika bastola yake.
“Ehee hawa wazungu nao wametokea wapi?”
“Nitakuambia, ila huyu anatakiwa kufa”
“Usiniue usiniue, kama ni mikataba basi hatuingi tena na Tanzania”
 
“Anazungumzia mikataba gani huyu mbona haelewiki”
“Nitakuambia Marima, hembu mzimishe, tuje tutulie huku tukiingia kwenye meli ndio tutajua cha kuzungumza naye”
Nilizungumza huku nikiondoka, nikasikia kishindo nyuma yangu huku buti likifungwa kwa nguvu. Marima akanifwata kwenye sofa nililo kaa.
“Huyu mzungu vipi?”
“Hao ni miongoni mwa watu walio panga kuichukua nchi, kisa wamemkamata mtoto wa raisi, na master plan ni K2”
“Kuichuku nchi?”
“Ndio kuna mikataba ipo humo ndani ya gari ambayo inaonyesha kwamba raisi ameibinafsisha nchi kwa miaka mia moja”
“Mmmm hembu niione?”
Nikafungu mlango wa gari na kutoa brufcase, nikaifungua na kutoa karatasi hizi za mikataba na kumpa Marima moja baada ya nyingine.
“Mungu wangu kumbe kuna ushenzi mkubwa unao endelea hapa nchni?”
“Yaa yote ni kwasababu ya K2”
“Ohooo kuna mpango mwengine mkubwa zaidi ya huu juu ya Tanzania”
 
“Mpango?”
“Yaa, nakumbuka kipindi nipo kule kwenye ile meli, mwalimu aliniambia kwamba baada ya mpango wa kwenda kulipua uwanja wa taifa kwenye mechi ya Simba na Yanga, mpango mwengine ni kuifanya Tanzana kuwa giza”
“Kuwa giza kivipi?”
“Kuna mabomu makubwa matatu ya Nyuklia, moja litapiga Dar es Salaam, la pili litapigwa Dodoma na la tatu litapigwa Mwanza na mabomu hayo yataifanya Tanzania kuwa giza kweli na mbaya zaidi sifahamu ni siku gani yanakwenda kupigwa kwenye hizo sehemu tatu nilizo kutajia”
Maeno ya Marima yalinifanya niduwae tu huku sijijue ni nini  cha kuzungumza, kwa maana endapo mabomu hayo yatakosa mtu wa kusababisha mpango huo kuzuiliwa basi Tanzania inakwenda kufutika katika ramani ya dunia

                           AISIIIII……….U KILL ME 66

“Ni nini tutakacho kifanya?”
“Sifahamu, japo K2 ndio muongozaji wa hicho kikundi ila kuna tukio nasikia kaka yake alilifanya nyuma, la kuwaua baadhi ya Wasomali, sasa lile tukio ndio linapelekae wasomali hao kuamgeuka na kulipiza kisasi kitakatifu na hicho wanasubiria pale tu, K2 atakapo ichukua nchi ndio wanapiga hayo mambomu”
“Ahaa hadi K2 atakapo ingia madarakani?”
“Yaaa”
 
Kupitia Tv nikashuhudia gari letu likiingia kwenye meli kubwa ya mizigo yenye makontena mengine mengi yanayo safarisha kwenda nchi mbalimbali ikiwemo Korea Kaskazini. Ukimya ukatawala ndani ya kontena hapakuwa na mtu aliye weza kumsemesha mwenzake zaidi ya kutazama jinsi gari linavyo simamishwa sehemu maalumu.
“Hapa kuna nchi kama mbili tutapita kisha ndio tufike Korea Kaskazini”
“Kumbe ni safar ndefu”
“Yaa ni ndefu itatachukua hata siku ishirini na kitu, inategemea na nchi hizo tutakazo pita kutakuwa na usumbufu wa aina gani”
“Sawa sawa, ila nitahitaji nguo za kiume”
“Utaoata ngoja meli ianze kuondoka usiku, kwa sasa hivi hatuwezi kupata nguo kama wewe mwenyewe unavyo yaona mazingira yetu haya”
“Ok hakuna shida”
Nikajifikiria kwa muda kisha nikaichukua simu yangu juu ya meza na kuanza uitafuta namba ya simu ya mama, nilipo ipata nikampigia.
 
“Ndio nina ondoka hivi mama”
“Sawa nakutakia maoumziko mema”
“Ila mama kuna jambo jipya nimelisikia”
Marima akanitazama kwa macho makali huku akitaman kuzungumza kitu fulani ila akashindwa na kusubiria ni nini ntakacho kizungumza. Ila kutokana nimeisha isoma akili ya Marima nikabadilisha kile nilicho kuwa nimekusudia kuzungumza na mama kinacho husiana na mabomu pamoja na hiyo meli, na nikazungumza jambo jengine tofauti.
“Jambo gani?”
“Nasikia baba ana kampuni, hata hii meli niliyopo sasa hivi ni ya kwake?”
Baada ya kuuliza swali hilo nikamuona jinsi Marim akishusha pumzi nyingi, huku taratibua akiachia tabasamu pana
“Yaa ana kampuni kubwa sana tu, hata hizo gari yeye ndio alikuwa ananitumia pamoja na pesa”
“Ahaaa, ndio maana nikawa ninajiuliza pesa nyingi umezitoa wapi?”
“Ndio hivyo”
“Vipi kina Diana hawajambo?”
“Wapo poa kabisa, na leo wanampango wa kwenda kutembea huko mjini na wifi yake”
“Mjini wapi?”
 
“Bado hawajaniweka wazi ni mjini wapi ila wanakwenda kula bata wenyewe wanasema”
“Waambie wawe makini sana, mtoto wamuache nyumbani”
“Mjukuu wangu hawawezi kwenda naye popote”
“Sawa mama, ngoja sisi tusubirie ni muda gani ambao tunaweza kuianza safari”
“Haya”
Nikakata simu na kuiweka pambeni, nikastukia Marim akinikalia mapajani mwangu huku akinitazama usoni mwangu kwa macho malegevu.
“Nini?”
“Nataa dud**”
Sikuhitaji kuuliza mara mbili zaidi ya kuanza kumnyonya maziwa yake, jambo lililo mfanya Marima kuanza kujikunja kunja mwili wake huku akiwa amejawa na furaha. Kwa vituko hivi jogoo wangu hakuchukua muda, akasimama kwa haraka. Marima akampaka mate kidogo, kisha taratibu akamuingiza kwenye kitumbua chake huku akimsikilizia vizuri huku akiyafumba macho yake.
 
“Yaani ku** yangu ipo kama mara ya kwanza ulivyo itoa bikra”
“Kweli?”
“Yaa, kwani huisikii jinsi inavyo bana”
“Naisikia”
Mariam alizungumza maneno hayo huku akizidisha kasi ya kumkalia jogoo wangu anaye ifanya kazi yake kikamilfu pasipo kuhofia chochote kitakacho weza kutoka. Ikafikia hatua Marim akaanza kutiririkwa na machozi ya furaha.
“Asante Dany, mb** yako siwezi kuruhusu mwanamke mwengine aikalie”
“Ehee!!”
“Ndio, nitakuwa tayari kumuua yoyote nitakaye fahamu ana kutamani wewe, naweka ii ahadi na ikae kichwani mwako”
Maneno yote ya Marima anayo yazungumza, anaonekana amedhamiria kweli kwa maana hadi machozi usoni mwake yanamwagika sana. Mechi haikuchukua muda mwingi sana ikamalizika huku Marim akiwa amajawa na furaha sana baada ya waarabu weupe kuingia moja kwa moja kwenye kitumbua chake.
 
“Bado ladha ya sha*w** zako ni ile ile, ni za moto tumboni hadi raha”
“Umejuaje ni za moto?”
“Si ninazisikia zinavyo ingia tumboni mwangu”
“Ahaa sawa”
Mariam akajinyanyua kwenye mapaja yangu, taratibu akanigeukia na kuyatingisha makalio yake kwa mtindo wa kuyachezesha moja kwenda juu, jengine kuja chini.
“Una maana gani sasa kucheza hivyo”
“Yaani Dany najisikia rah asana kuwa karibu na wewe. Wewe ni mwanaume uliye nivunja bikra, pili umekuwa ni mwanume uliye dumu moyoni mwangu kwa miaka yote hii sasa. Kusema kweli ninajisikia mwanamke mwenye bahati sana kupata mwanaume kama wewe”
Marim baada ya kuzungumza maneno hayo, akapiga hatua hadi kwenye friji na kufungua malngo wa juu wa friji hili lenye milango miwili, akatoa chupa mbili za bia na kurudi nazo kwenye sofa. Akafungua chupa zote na kunipatia chupa moja taratibu tukaanza kuznywa.
 
“Hivi Dany unanipenda kweli?”
Swali la Mariam likarudisha kumbukumbu zangu nyingi za nyuma zilizo nifanya nikumbe kipindi ninampenda na kumuhitaji kwenye maisha yangu. Nikakumbua hata busu la kwanza nililo mpiga kisha akalikataa. Kusema kweli moyo wangu una mapenzi na yeye, japo kina Asma wameingilia kati na nimezaa nao mtoto ila kusema kweli ninampenda bado Mariam.
“Dany”
“Mmmmm”
“Unanipenda kweli?”
“Ndio ninakupenda, tena sana Marim wangu”
“Nashukuru kwa hilo Dany, natambua wewe ni mwanaume katika miaka hii hujaweza kukaa hivi hivi, ni lazima ulipata mwamke wa kumtomb** kama K2”
“Ahaa usimzungumzie K2 unaichefua nafsi yangu”
“Ooohoo sorry. Dany maisha yangu na yako ni lazima yakauwa kwenye hatari sana ya kuuwawa. Ninakuomba usije ukaja ukaniacha hii vita nikaipigana mwenyewe. Nilipata pia nguvu ya kuungana na baba yako baada ya kufahamu kwamba wewe ni mwanae, na nilijitahidi sana kukutafuta ila sikukupata”
“Nilifungwa jela ya siri, na K2”
“Jela?”
 
“Yaa kwa miaka kama mmoja na miezi yake. Tuseme ni maika miwili hivi”
“Jamani pole Dany”
“Ahaa pole wewe uliye pelekwa huko kwenye mmeli huo”
“Ni kweli, ila ilikuwaje ukafungwa?”
Taratibu nikaanza kumuadisia Marima visa vilivyo tokea maisha yangu ya nyuma, sikumficha juu ya mahusiano niliyo anzisha na Asma hata kazi yangu, japo moyoni Mariam anaonyesha kuumia kusikia kwamba nilikuwa na mahusiano na Asma, ila hakuwa na jinsi zaidi ya kukubaliana na ukweli uliopo. Mariam hakuweza kuimalizia hadithi ninayo msimulia, akajikuta akipitiwa na usingizi mzito. Tartiu nikamlaza kwenye sofa, kisha nikanyanyuka na kuchukua Laptop yake na kuingia nayo kwenye gari huku nikiwa pia na simu yangu.
Uzuri wa hii laptop ya Mariam haina namba za siri, ambazo ningetakiwa kuziingiza. Nikaanza kutafuta ni kitu gani cha muhmu kinacho weza kunisaida kufamu ni wapi kambi yao hiyo ipo. Ila sikupata chochote na inavyo onekana ni Laptop mpya kabisa.
 
Nikampigia mama simu na kumuelezea kila kiytu ambacho Marima ameniambia, nikamuomba mama anisaidie kutafuta ni wapi ilipo hiyo meli. Baada ya dakika tano mama akanipigia tena simu.
“Hakuna kitu kama hicho, nimejaribu kutafuta mabomu hayo, pamoja na hiyo meli ila hakuna kitu kinacho onekana”
“Hivi inaweza kuto kuonekana?”
“Yaa watakuwa wameua Satelait, kwa hiyo hakuna Satelaiti yoyote nayo weza kuitafuta hilo eneo, ila ngoja niendelee kutafuta”
“Sawa mama”
Nikatoka ndani ya gari na laptop nikairudisha sehemu nilipo itoa. Nikakaa kwenye sofa, nikiwa na kazi ya kutazama saa yangu ya mkononi mara kwa mara ili kufahamu saa tatu usiku itafika muda gani. Masaa hayakusimama japo niliyasubiria kwa hamu saa tatu kufika. Taratibu meli ikaanza kuondoka katika bandari ya Dar es Salaam, jambo lililo nifanya nitabasamu sana kwa maana ninakwenda kuishi maisha ambayo sio ya kuandamwa na kina K2.
 
“Mariam, mariam”
“Mmmmm”
“Amka safari imeanza”
Mariam taratibu akaamka huku akiwa machovu sana. Akayaelekezea macho yake kwenye Tv hii inayo onyesha mandhari ya nje kutokana na kamera ndogo zilizopo nje ya hili kontena. Mariam akanyanyuka na kusogelea Tv na kuminya batani moja iliyo badilisha picha zinazo onekana na kuwaonyesha dereva na msaidizi wake.
“Tukifika umbali wa maili kumi kutoka usawa wa bahari ninaomba munifahamishe tutoke”
“Sawa mkuu”
“Ila hakuna chochote cha kutarisha maisha kilicho tokea?”
“Hakuna mkuu”
“Basi musisahau, kwa maana tumechoka kukaa humu ndani”
“Sawa”
Mariam akaminya batani hiyo hiyo na kurudisha picha zinazo onyesha mandhari ya nje. 
 
“Kwenye friji hakuna chakula cha kueleweka, hapa inatubidi kuvumilia kama masaa matatu au manne wakitufungulia humu, utakwenda kuona uzuri wa meli hii, japo ni meli ya mizgo ila ina uzuri wake.
“Hakuna tabu mama”
Mariam akatabasamu huku akianza kuvaa nguo moja baada ya nyingine.
“Sitamani hata kuvaa hilo umbo la plastiki”
“Utavaa la nini wakati upo sehemu salama kabisa”
“Naomba tishet yako”
“Hii tishet huwa namuoga sana baba yako akizivaa, sasa ni tisheti za ukoo au?”
“Hahaaa”
“Unacheka, kwa maana baba yako hata aende wapi hii tisheti ni lazima kwa ndani ya shati lake aivaa. Sema yeye anazo za kila rangi”
Sikutaka kumueleza Mariam kitu chochote kuhusiana   na hii tisheti, japo nipo naye pamoja ila bado sijamuamini kwa sana, kwa maana ndani ya miaka hii michache tuliyo achana Mariam amebadilika sana.
“Ulionana na mama?”
“Yaa nilionana na mama ile siku nilipo toka uwanjani, nikamtafutia nyumba nyingine maeneo ya Mbezi Beach, nimenunulia na gari pamoja na kumfungulia duka kubwa la kuuza vitu vya ndani, kama redio, tv”
“Umemfungulia maeneo gani?”
 
“Pale Mlimani City”
“”Ahaa umefanya la maana.”
Masaa yakazidi kukatika, baada ya msaa aliyo yazungumza Mariam hapo nyuma, mlango wa kontena hili ukafunguliwa. Mariam akatembea hadi mlangoni na kuzungumza na dereva, kisha dereva akaondoka, haukupita muda sana akarudi na nguo mpya pamoja na viatu. Mariam akachukua na kuniletea, nikaanza kuvaa, nguo hizi nikianzia na suruali kisha nikafwatia na tisheti nyingine niliyo ivaa juu ya tishetu. Cha kumshukuru Mungu, nguo hizi zimenitosha vizuri, unaweza kusema kwamba dereva alinipima umbo langu. Tukatoka kwenye kontena hili tulilo kaa kwa masaa mengi kiasi. Moja kwa moja tukaelekea kwenye sehemu ambayo watu wote kwenye meli hupata chakula hapo. Mariam akaanza kunitambulisha kwa wafanyakazi wa hii meli kwamba mimi ndio mtoto wa tajiri wao.
Kila mmoja akatokea kuonyesha furaha sana, kutokana na uwepo wangu. Tulipo maliza kupata chakula hichi cha usiku, moja kwa moja tukapandisha kwenye gorofa ya tau ambapo kuna chumba maalimu cha manahodha wanao ongoza hili meli la kifahari. Akaanza kunitambulisha kwa manahodha hawa walio changanyikana kwa asili, wapo Wakorea, Waafrika na Wazungu.
 
“Karibu sana kwenye hii safari”
“Asanteni sana”
Tukiwa katika hali ya kutambulishana, alama nyekundu kwenye hichi chumba iliyo kwenye ukuta ikaanza kupiga.
“Nini?”   
Nilimuuliza Mariam kwa wasiwasi, aliye anza kuchomoa bastola yake.
“Kuna meli ya maharamia wa Kisomali wanao teka meli za mizigo inatusogelea, sasa leo hawa wameingia choo cha kike”
Mariam alizungumza huku akitoka katika chumba hichi na kuniacha na hawa manahodha ambao nao pia kila mmoja akaanza kuchomoa bastola yake tayari kwa mashambulizi ambayo kwa haraka haraka yanaonekana ni mashambulizi makubwa, kwa maana kila mmoja yupo tayari kufa au kupona.
                                                                                  ITAENDELEA

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts