Home » , » AISIIIII……….U KILL ME ( Sehemu ya 67 na 68 )

AISIIIII……….U KILL ME ( Sehemu ya 67 na 68 )

Written By Bigie on Wednesday, March 28, 2018 | 3:35:00 PM


MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWA-
0657072588                                    

ILIPOISHIA   
Tukiwa katika hali ya kutambulishana, alama nyekundu kwenye hichi chumba iliyo kwenye ukuta ikaanza kupiga.
“Nini?”   
Nilimuuliza Mariam kwa wasiwasi, aliye anza kuchomoa bastola yake.
“Kuna meli ya maharamia wa Kisomali wanao teka meli za mizigo inatusogelea, sasa leo hawa wameingia choo cha kike”
Mariam alizungumza huku akitoka katika chumba hichi na kuniacha na hawa manahodha ambao nao pia kila mmoja akaanza kuchomoa bastola yake tayari kwa mashambulizi ambayo kwa haraka haraka yanaonekana ni mashambulizi makubwa, kwa maana kila mmoja yupo tayari kufa au kupona.

ENDELEA   
Sikuona haja ya mimi kuendelea kukaa katika eneo hili, nilicho kifanya na mimi ni kutoka katika chumba hichi cha manahodha na kuanza kumfwata Mariam kwa nyuma.
“Ni mpango gani unafanyika?”
Nilumuuliza Mariam kwa sauti ya juu kwa maana king’ora hichi kinatoa sauti kubwa sana, na tunapishana pishana na wafanyakazi wa hii meli wakikimbia huku na kule kujipanga na mashambulizi.
“Mipango gani Dany?”
“Juu ya hawa maharamia?”
“Mipango ni kuwazuia, tukishindwa wao ndio watatuua sisi, tutafute sehemu ambayo tunaweza kujibumashambulizi yao”
Marima alizungumza huku akitembea kwa mwendo wa haraka. Tukaingia kwneye moja ya chumba cha kuhifadhia silaha. Marima akachukua  bunduki zenye uwezo zaidi ya bastola yake, hata mimi nikachangamkia uchukuaji wa silaha.
 
“Dany kumbuka, hii ni mali ya baba yako na wote humu ndani watakufa kwa ajili ya mali ya baba yako. Pambana na ninatambua kwamba wewe ni mpambananaji”
Mariam alizungumza huku akinitazama usoni mwangu. Nikatabasamu kwa maana kitu  anacho kizungumza Mariam ninakielewa vizuri. Tukatoka katika chumba hichi na kupandisha juu  kabisa ya meli na kutafuta sehemu iliyo kaa vizuri na kujificha. Hatukukaa hata dakika mbili tukaona meli boti mbili za maharamia hawa wa Kisomali zikija kwa kasi katika eneo la meli yetu. 
 
 Nikaishika vizuri bunduki yangu huku nikiwa ninatazama boti hizo jinsi zinavyo kuja. Mariam akaanza kushambulia boti hizo, jambo ambalo lilinifanya na mimi nianze kushambila boti hizi.
Hali ya sauti katika meli hii ikabadilika kabisi, haikuwa ya king’ora kinacho lia ila ni sauti ya milio ya bunduki hizi za kila aina. Maharamia nao wakajitahidi kujibu mashambulizi, ila hali ikawa mbaya kwao kwa maana watu zaidi ya mia moja wanawashambulia wao tu.
    Boti moja ya maharamia, ikalipuka hata kabla hawajafika kwenye meli yetu. Mashabulizi yakahamia kwenye boti hii ya pili ambayo baada ya kuona mashambulizi yamezidi  kuwa makali, wao wenyewe wakaamua kugeuza na kuandoka. Watu weoye kwenye meli wakashangilia kwa furaha kutokana na ushindi ambao tumeupata.
 
“Kazi nzuri”
Nilimuambia Mariam huku nikimgusa begani mwake, akabaki akiwa ametabasamu huku akinitazama jinsi boti ya maharamia hawa ikitokomea pasipo julikana.
“Dany unajua kwamba wewe ni msiri sana”
“Kwa nini?”
“Nakumbuka ulikuwa unatuambia kwamba wewe ni mfanya biashara mdogo mdogo, ile siku nilipo ona bastola zako chumbani kwako nilistuka sana”
“Kazi ambayo nilikuwa ninaifanya, sio kazi ambayo mtu unaweza kuiweka hadharani. Hivi unatambua kwenye nyumba yenu mpelelezi sikuwa mimi peke yangu”
“Mmmm kulikuwa na nini mwengine?”
“Asma alikuwa ni mpelelezi wa hatari”
“Acha uongo, Asma huyu ambaye alikuwa anapigwa na mumewe kama mpira wa kona?”
“Huyo unaye hisi alikuwa ni mpira wa kona ndio mpelelezi. Tena Jumaa alikuwa ni jambazi wa hatari”
“Hahahahaa Dany acha uongo bwana. Watu wanaonekana maisha yao ya kawaida unataka kusema jambazi na mpelezi waoane?”
 
Marima alizungumza huku akicheka sana kwa maana anacho kisikia na stori ambayo ukimueleza mtu naye wafahamu Jumaa na Asma wala hawezi kuamini.
“Kwa mfano mimi muliweza kujua kwamba ni mpelelezi. Si nilikuwa na maisha ya kawaida?”
“Alafu kweli, ina maana hadi Asma kutoroka kwa mumewe alikuwa amesha maliza kazi yake?”
“Yaaa na kupitia Asma ndio nilitambua kwamba K2 ni mtu mmoja hatari sana”
“Hapo sasa nakuelewa”
Tukaanza kushuka kuelekea vyumba vya chini, kila tuliye kutana naye hakusita kutupongeza kwa kazi hii tuliyo shirikiana kuifanya . Tukarudi kwenye kontena letu ambapo ndipo kwenye gari langu na pikipiki ya Mariam.
“Huyu mtu wako unamfanyaje humu ndani ya gari?”
“Nafikiria cha kumfanya?”
“Muue asizidi kukuletea mijinuksi kwa maana watu kama hawa hawastahili kuishi duania”
 
“Kuna vitu bado nahitaji kuvifahamu kutoka kwake, so ngoja nimpe mpe muda wa kuvuta hii pumzi ya bure”
“Sawa, yangu macho tu”
Nikachukua  Laptop ya Mariam, nikamuomba anisaidie kupiga simu kwa video kwa baba yangu, akafanya hivyo. Haukupita muda mwingi baba akapokea simu hiyo na tukawa tunaonana uso kwa uso japo sote tupo mbali.
“Nasikia umeongoza kikosi kushambulia hao maharamia?”
Hilo likawa ni swali la kwanza la baba mara baada ya kuipokea simu.
“Ndio baba”
“Hivyo ndivyo nilivyo hitaki uwe safi sana”
“Asante baba, ila nahitaji kukuuliza maswali wawili au matatu”
“Uliza tu mwanangu kuwa huru”
“Imekuwaje kuwaje hadi sasa upo hadi wakati tunafahamu kwamba ulikuwa umekufa. Mbili kwa nini uliificha siri hii kwa muda mrefu. Tatu mali zote hadi kampuni hii kubwa ya kumiliki meli kama hii umezitoa wapi?”
Maswali yangu niliyo yauliza kwa msisitizo yakamfanya hadi Mariam kunitumbulia mimacho. Baba akaka kimya kwa muda huku akinitazama usoni, akashusha pumzi taratibu.
 
“Maswali yako yote mwanangu nitakujibu tukionana huku Korea kwa sasa siwezi kuzungumza”
“Ila baba kumbuka kwamba mimi ni mtoto wa kiume na ninahitaji kuweza kufahamu kila kinacho endelea hapa katikati kwa mamana wewe na mama, pamoja na Diana mumenifcha kwa sababu gani?”
Swali langu likazidi kumpa baba wakati mgumu, hakujibu chochote zaidi ya kukata simu, jambo lililo nifanya nibaki na maswali mengi kichwani mwangu
“Dany”
“No niache nahitaji kuwa peke yangu”
Nilizungumza huku nikitoka kwenye kontena hili, kichwa changu kimejaa maswali mengi sana kuhusiana na haya maisha ambayo yapo hapa. Moja kwa moja nikaelekea kwenye baa kubwa iliyomo humu ndani ya hii meli yetu, japo ni meli ya mizigo, ila kuna sehemu ambazo mabaharia wanaweza kustarehee, kunywa, kula na kucheza mziki. Nikafika hadi kaunta na kukaa kwenye kiti kirefu kidogo.
“Muna pombe kali yoyote?”
“Nilimuuliza muhudumu huyu wa kike aliye valia sare zake kama wahudumu wengine”
“Ndio bosi”
 
Aliitikia kwa heshima hadi nikashangaa, ila sikuhitaji kulitilia sana maanani alicho nijibu.
“Naomba mzinga mzima”
“Wa pombe gani kali?”
“Wewe lete pombe kaliii yoyote”
Akageuka nyuma yake, akanyoosha mkono wake wa kulia hadi juu sana na kuchukua mzinga mmoja ulio kaa katika mfumo wa ‘round clonicak flask’(chupa ya mduara inayo patikana maabara). Chupa  hiyo yenye kifaa chake cha kuisimamishia, akaiweka pembeni yangu, akanipa kijiglasi kidogo ambacho, nikakitazama kwa dharau.
“Hakuna glasi kubwa hadi unipe haka kadogo”
“Bosi hiyo ndio inayo tumika katika kunywea pombe hiyo”
“Hiki kidogo hivi”
“Ndio bosi wangu”
“Ahaaa”
Nliridhika kishingo upande huku nikifungua chupa hiyo na kumimina pombe hii yenye rangi ya ugoro kwenye kijiglasi hichi. Nikakinywa kwa pupa, kitendo cha kukimeza, nilihisi koo langu kama linapitishiwa msasa mmoja mkali ambao kusema kweli ulinifanya niikunje sura yangu kwa maumivu hayo.
 
“Vipi bosi?”
Muhudumu aliniuliza huku  akinitazmaa usoni mwangu, ambapo macho yangu yanaanza kulengwa lengwa na machozi japo sipo katika hisia za kulia, ila ukali wa pombe hii umenifanya mwili mzima kuhisi unabanikwa.
“Ukinywa cha pili hito sikia maumivu”
Niliisikia sauti ya msicha pembeni yangu, ikanibidi kugeuza kichwa na kumtazama usoni mwake. Ni msichana wa kizungu aliye valia nguo nyeusi tupu pamoja na kofia kubwa lenye rangi nyeusi. Mikononi mwake amevaa gloves nyeusi, huku nywele zake zikiwa ni ndefu kiasi.
“Livna Livba”
Alizungumza huku akinipa mkono wa kulia kwa ajili ya kunisalimia. Nikautazama mkono wake kwa sekunde kadhaa, kisha nikamimina kiasi cha kotosha kwenye hichi kijiglasi. Msichana huyu akaka kwenye kiti cha pembeni na yeye akaomba kijiglasi kidogo na kumimina pombe yangu, sikumsemesha chochote kwa maana akili yangu ipo katika kufikiria kupiga fumba jengine la pombe hii kali. 
 
Nikapiga fumba jengine la pombi hii, lililo nifanya niyafumbe macho yangu kabisa. Livna Livba naye akapiga fumba la pombe hii, huku akinitazama kwa tabasamu, mwenzangu hakukunja sura wala hakuonekana kama amepata maumivu yoyote.
“Unafanana na baba yako”
“Kwa hiyo?”
“Ahaa nimependa kufanana kwenu”
“Asante”
Nilimjibu Livna kwa mkato sana, ila hakuonyesha dalili yoyote ya kukasirishwa na kiburi changu ninacho mletea.
“Nmekaa kwa muda mrefu pale chini nikiwa ninakutazama tangu unaingia hapa unaonekana kama una mawazo mengi”
“Sikia Livna, sikufahamu, unifahamu maswala ya maswali binafsi huwa sipendi kuulizwa. Tafadhali nakuomba urud kwenye kiti chako ambacho ulikuwepo”
 
Nilizungumza huku nikimimia pombe kwenye hichi kijiglasi, japo ni kali kumeza ila kwa upande mmoja ama mwengine inaufanya mwili wangu kuburudika. Livna hakutetereka wala hakushuka kwenye kiti kirefu  alicho kikalia alicho kifanya ni kumimina kiji glasi kingine na kunywa, akamimina kingine na kunywa tena. Nikanywa cha kwangu nilicho kuwa nimekimimina
“Tushindane, dola miatano miatano kwa atakaye mshinda mwenzake kunywa hivi”
Livna Livba alizungumza huku akinitazama uson mwangu, akaweka noti tazo za dola mia juu ya meza. Muhudumu akanitazama kama ninaweza kuikubali ofa hii ya mashindano. Kutokana nina pesa kwenye gari, sikuona haja ya kukataa ofa hii ya mashindano japo ni mara yangu ya kwanza kunywa pombe hii kali ila nikajikaza.
 
“Dada hesabu ni nani atakunywa viglasi vingi”
Nilimuambia muhudumua akakubali kutazama shindano letu, nikatazama nyuma, ukumbi mzima wa hii baa hakuna mtu hata mmoja  wengi wamesha elekea kwenye vyumba vyao kulala. Tukaanza kunywa kwa kushindana huku muhudumu akituhesabia. Nilipo fikisha glasi ya kumi, nikahisi kama nimehamishwa kwenye hii dunia ya kawaida na kupelekwa kwenye dunia mbayo kusema kweli ina giza kikali, na inazunguka kwa kasi sana kiasi cha kunifanya niaze kujishika kichwa nikijaribu kufumbua macho yangu kuona ni wapi nilipo.
 
“Dany Dany Dany”
Niliisikia sauti ya Livna ikiniita, nikajaribu kumtazama vizuri usomi mwake ila nikaona mawenge mawenge makubwa hata sura yake yenyewe ninaiona kubwa. Nikajaribu kuuweka mguu chini, ila kitendi cha kufanya hivyo nikajikuta nikianguka mzima mzima chini kama mzigo.
“Dany”
Nikahisi nikinyanyuliwa na Livna Livba aliye nishika mkono wangu taratibu nikanyanyuka huku miguu ikiwa imekosa nguvu kabisa.
“Twende huku”
“Ehee”
“Twende huku”
Sikujua hata ni wapi tunapo elekea na Livna, muda mwingi ukanifanya nifumbe macho yangu, kwa maana mwanga wa taa unao nimulika usoni unayafanya macho yangu kuhisi kama yanachomoka nje.
“Lala hapa mwaya”
Akilini mwangu ninahisi kabisa nimelala kwenye kitanda, ila kufumbua macho ili  kutazama ni kitanda ninashindwa kabisa, macho yanauma kiasi cha kunifanya nisitaman kuyafumbua kabisa. Nikahisi nikivuliwa nguo zangu.
 
“Unafanyaje?”
“Nakuvua nguo ulale vizuri”
Sikuwa na kipingamizi, nilipo hisi nguo zote zimevuliwa mwilini mwangu, nikapata hisia ya msisimko wa mwili. Jogoo wangu nikahisi amesimama na wakat huu ananyonywa taratibu na ulimi wa baridi kitu klicho nifanya nianze kuguna guna huku nikisikia raha.
“Dany”
“Mmmm”
“Nit**mb** ku** yangu”
“Eheee”
Niliitikia maneno ya Livna Livba na taratibu utamu ukaongezeka, sikuwa nauwezo wa kucheza mechi hii kutokana na viungo vingine kukosa nguvu. Ila jogoo peke yake ndio amesimama na nguvu zake halisi, kitu kinacho mfanya Livna Livba kujihudumia yeye mwenyewe. Akajitahidi hadi waarabu weupe wakatoka.
 
“Ohooo kwa mara ya kwanza kupata mb** tamu kama hii”
Nilisikia maneno ya Livna, ila usingizi ukanizidi nguvu na kujikuta nikilala fofofo.
“DANYYYYYYYYYYYYY”
Nilisikia sauti ya ukali ikizungumza pembeni yangu, nikajikuta nikufumba macho yangu, nikamkuta Mariam akiwa amesimama pembeni yangu huku ameshika bastola mkononi mwake. Sura yake imejaa hasira kali, nikatazama pembeni na kumkuta Livna Livba akiwa amekaa kitandani huku mwili mzima unamtetemeka kwa woga.
“Nakuua wewe malaya”
Mariam alizungumza huku akiuka kitandani na kumvamia Livna Livba na kuanza kumkaba koo, huku akimtandika mangumi ya uso, jambo lililo niacha nimeduwaa nisijue nianzie wapi, kukimbia au kutetea ugomvi huu ulio jaa wivu wa mapenzi na ni mchana tu Marima aliniahidi kwamba nikiwa na mwanamke mwengine ni lazima atamua.
                                                                                 
                           AISIIIII……….U KILL ME 
 
Sikuwa na jinsi ya kunyanyuka kitandani nikiwa nipo uchi na kuanza kumvuta Mariam niliye mshika kiuno chake na kumuachanisha na Livna. Japo haikuwa kazi ngumu kwa Mariam kumuachia Livna ila nikahakikisha ninawaachanisha.
“Acha ujinga”
Nilizungumza kwa ukali huku nikimshusha Mariam chini ya kitanda.
“Acha nimuue huyu malaya wakizungu, hajaona mbo** zilzo jazana humu kwenye meli hadi akufwate wewe”
Mariam alizungumza huku akiminyanana na mimi akijaribu kujitoa mikononi mwangu, sikuhitaji haya mapigano yaendelea na kwa bahati mbaya Livna usoni mwake anavujwa na damu, kwa maana ngumi za haraka haraka alizo pigwa zimepekea yeye kuwa hivyo.
 
“Hahahaaaaaaaa”
Livna akacheka sana kwa dharau huku akikaa kitandani akijipangusa damu zake kwenye uso.
“Dany unao dharau zake, acha nimmalize huyu malaya”
“Tulia Mariam sawa, sitaki ugomvi wa kijinga”
“Bwana wako ni mtamu sana, nitahitaji tena na tena anipatie ladha ya mb** yake”
Livna aliendelea kuzungumza kwa dharau jambo lililo niudhi hata mimi mwenyewe.
“Ku**m**ako mseng** wewe kaa kimya. Utauliwa kwa dharau zako za kijinga”
Ilinibidi kumjia juu Livna, cha kushangaza badala ya kustuka akazidi kucheka kwa dharau kiasi kilicho mfanya Mariam kunichomoka mikononi na kumrukia tena kitandani. Safari hii sikuona haja ya kuamua chochote zaidi ya kutafuta boksa pamoja na suruali yangu nikavaa. Nikautazama mlango kwa ndani nikakuta ukiwa umefungwa kwa ndani. Mariam akaendelea kurusha makonde mazito ya ngumi kwa Livna ambaye muda wote anakubali makonde hayo kumuingia mwilini mwake. Nikataka kuamua tena ila nikasita huku moyoni mwangu nikizungumza kimoyo moyo, niacheLivna apigike atashika adabu yake.
 
    Gafla mambo yakabadilika, Livna akazuia ngumi zote za Mariam, na kumgeuza Mariam na kumlaza chini. Mariam akaanza kupokea mfululizo wa ngumi, jambo lililo nifanya nikiwa kama refa, nipendelee upande wangu. Nikamshika Livna na kushusha kitandani. Nikahisi  maumivu makali kwenye kifua changu, kisukusuku alicho nipiga Livna kikanifanya nimuachie na kujichua maumivu yangu. Marima akasimama kitandani akajaribu kumpiga teke Livna ila akalikwepa na yeye akamtandika teka la haraka sana la mguu ambao upo chini, hapo ndipo Mariam alipo anguka chini mzima mzima. Livna akajiweka sawa miguu yake pamoja na mikono yake tayari kwa kupigana. Jambo lililo nishangaza zaidi ni ukaaji wake wa kupigana. Mara nyingi nimezoe kuwaona wachina ndio hutumia mikao hiyo ya kupigana. Taratibu Marima akasimama na yeye akajiweka sawa, taratibu nikasogea pembeni na kushuhudia mapigano haya ya watoto wa kike, Mariam akiwa amevaa nguo huku Livna akiwa yupo uchi kama alivyo zaliwa.
 
 Mariam akajaribu kurusha ngumi zake kadhaa kujaribu kumkabili Livna, ila ngumi hizo zote Livna alizikwepa na kimtandika Mariam ngumi ya kifua iliyo mfanya kurudi nyuma na kuanguka chini. Mariam akanyanyuka kwa sarakasi moja matata, akajiweka sawa na kuanza kurusha mateke mfulizo. Mateke yote Livna akayazuia kwa mikono yake, akapata nafasi nyingine, akamtandika Mariam ngumi ya mbavu Mariam akajikunja upande wa kulia wa mbavu zake zilizo pigwa ngumi hiyo, akasindikizwa na teke lililo mlanza chini chali hadi nikabaki nikiwa nimetumbua macho.
“Unanyanyuka tuendelee?”   
Livna aliuliza kwa dharau huku akimtazama Mariam anaye jishauri kunyanyuka hapo chini alipo lala. Mariam akajaribu kuifwata bastola iliyopo pembeni yake huku akigugumia maumivu makali, ila Livna akawahi kumkanyaga kiganja ambacho Mariam alitarajia kuchukulia bastola hiyo. Taratibu Livna akaiokota bastola hiyo, akaikoki vizuri na kumuelekezea Mariam kichwani. 
 
    Sikuhitaji jambo hili la kijinga lijotokeze kwa Mariam, nikamrukia Livna na kumsukumia pembeni na bastola ikaangukia kando. Livna akanitazama kwa macho makali akajaribu kurusha ngumi usawa wa uso wangu, nikaiona vizuri na kujipindisha kidogo na ikapita na upepe mkali nilio uhisi kwenye ngozi yangu. Mapambano yakaamia kwangu, Livna akaendelea kurusha ngumi pamoja na mateke, nikajaribu kuyakwepa baadhi, ila mengine yakanipata vizuri sana. Na mimi nikajituma kuhakikisha kwamba ninakabiliana na Livna. Ila kila nilivyo jaribu kujibu mashambulizi nilijikuta nikiambulia kichapo kikali. Livna ambaye nilimuona dakika kadhaa zilizo pita aliye kuwa akipokea kipigo kutoka kwa Mariam sio huyu wa sasa. Mariam wala hakunyanyuka chinini alipo lala kunisaidia. Kipigo kwangu kikazidi kuwa kikali sana, hadi ikafika hatua viungo vyote vya mwili vikalegea.
“Smama Dany tuendelee”
Livna alizugu huku akinitazama chini jinsi nnavyo jaribu kujiinua inua ila viungo vyote vijanashindwa. Livna taratibu akachukua taulo lake na kuingia bafuni kuoga.
“Da…aany”
 
Mariam aliniita huku akinitazama usoni mwangu, sikumjibu kitu chochote zaidi ya kukaa kitako chini. Mariam naye akajinyanyua na kukaa huku akiegemea ukuta. Simu iliyopo juu ya dressing table iliyopo humu ndani ikaanza kuita. Livna akatoka bafuni akiwa na mapovu na kuipokea simu yake.
“Ndio bosi”
“Nimewafunza mbinu kadhaa wakiwa na akili wanaweza kuelewa”
“Bado hawana chochote, nimewapima ila wote ni midebwedo japo huwa wanaonekana ni wakali”
“Ahaa yupo vizuri, kwa kitandani hapo usiwe na shaka”
“Nimpe simu Dany au Mariam?”
Livna alizungumza huku akinitazama mimi, akanisogelea na kunipatia simu.
“Zungumza na baba yako”
Nikaitazama simu anayo nipa Livna taratibu nikaichukua na kuiweka sikioni mwangu.
“Haloo”
Nilizungumza kwa sauti ya upole iliyo jaa unyonge ndani yake.
 
“Mbona unakuwa mzembe sana?”
“Kivipi baba?”
“Unapigwa na mwamke ambaye umeweza kulala naye”
“Aha…aahaa ni pombe tu baba”
Nilizungumza huku nikimtazama Livna kwa macho ya kuiba.
“Muanze kujifunza huko huko mukija hapa muwe angalau mumekamilika”
“Kujifunza nini tena baba?”
“Kupigana bado mpo  katika kiwango kidogo”
Nikakaa kimya kwa maana sina ubishi katka hili, kwani alicho nifanya Livna Livba, mimi mwenye nimekiona.
“Ukimya nalo ni jibu. Mpe simu Livna”
Nikamrudishia simu Livna, akaipokea na kuiweka sikioni, akaondoka na kuingia bafun na kutuacha mimi na Mariam tukiwa tunatazamana. Mariam akatafuta bastola yake akaichukua na kuondoka zake akiwa amekasirka. Taratibu na mimi nikajinyanyua, nikachukua shat na kuweka begani mwangu na kutoka katika chumba cha Livna.
    Nikaelekea kwenye kontena lilipo gari langu, sikumkuta Mariam wala mtu yoyote, nikafungua nyuma ya gari na kumkuta Bwana Erick Donald Jr akiwa ametulia tu.
“Shuka”
 
Nilizungumza kauli hiyo huku nikirudi kukaa kwenye sofa. Bwana Erick Donald Jr akashuka kwenye gari, huku mwili mzima ukimtetemeka kwa kukosa njaa, na kukaa ndani ya buti la gari kwa masaa mengi. Kitu kingine ni kukosa damu mwilini, kwani jereha katka paja lake lilitoa damu nying sana hadi ikakata yenyewe.
“Ni bora uniue kuliko kupata haya mateso”
Bwana Erick Donald Jr alizungumza huku akiendelea kutetemeka mwili wake, nikamtazama jinsi alivyo pauka mwilini mwake. Nikayafumba macho yangu na kufikira ni nini cha kumfanya, sikupata jibu la haraka haraka, nikanyanyuka na kumshika mkono, nikaanza kumvuta hadi nje ya kontena, nikaelekea naye pembezoni mwa meli.
“Unaona hayo maji huko chini?”
Nilimuulza huku nikiwa nimemkazia macho, bwana Erick Donald Jr akatingisha kichwa kuashiria kwamba amayeona.
“Jitose mwenyewe, ukbahatika kupona ni wewe, ukifa ni wewe sawa”
“Sawa”
Taratibu bwana Erick Donald Jr akaanza kupanda kwenye kingo za chuma za hii meli, akasali sala yake ya mwisho tayari kwa kujirusha.
“SUBIRI”
Tulisikia saut nyuma yetu, nikageuka na kumkuta ni Livna, mwili mzima ukaniishia nguvu kwa kumuona.
“Ana tatizo gani huyo mzee?”
“Halikuhusu”
 
“Linanihusu, baba yako amenikabidhi wewe, kila kitu unacho takiwa kukifanya, inanibidi mimi kuweza kufahamu”
“Nimekuambia kwamba hili swala halikuusu. Mzee jitose, chaguo nililo kupa lisije likabadilika kwa mimi kukuua”
“Mzee ngoja mara moja, Dany nahitaji kufahamu nikitu gani kinacho ende………”
Sikutaka Livna Livba kumalizia sentesi yake, nikamsukuma Bwana Erick Donald Jr, kwenye maji kwa urefu tulipo simama kutoka juu hadi kwenye maji, ikamchukua bwana Erick Donald Jr sekunde kadhaa kuanguka hadi kwenye maji huku akipiga kelele. Livna akataka kuondoka kwenda kuomba msaada, nikamzuia.
“Nina roho mbaya, kunihimili pale chumbani usidhani unaweza kunihimili kwenye maamuzi yangu. NITAKUA”
Nilizungumza kwa msisitizo kisha nikaangalia sehemu alipo angukia Bwana Erick Donald Jr, sikuuona hata uwepo wake, nikaondoka na kumuacha Livna Livba akinishangaa. Sikuwa na furaha kabisa kwenye moyo wangu, kila nilipo kumbuka mateke na ngumi alizo nipiga Livna Livba.
‘Inakuwaje mwanamke anipige?’
Swali hili niljiuliza kichwani mwangu, sikupata jibu la aina yoyote. Nikatafuta sehemu ndani ya hii meli nikaa na kutulia huku nikizidi kutafakari nini cha kufanya.
 
‘Mafunzo yote niliyo yapata, Livna amenipiga? Hapana labda ni kutokana na pombe niliyo kunywa jana. Yaa ni pombe”
Niliendelea kujuliza maswali mfululizo kichwani mwangu huku nikijiaminisha na pombe ambayo jana ilipelekea matatizo mengi.
“Chukua”
Nikasika sauti ya Mariam pembeni yangu, nikageuka na kukuta akiwa ameshika bakuli lililo jaa supu, Nikalipokea, Marima akataka kuondoka nikamshika mkono.
“Unaenda wapi?”
“Kunywa ukata hang over yako ya jana”
“Hilo sio jibu”
“Dany, hivi mimi nitakuwa ni mwanamke wa aina gani, nikuone umelala la mwanamke mwengine, nifurahie, nijaribu kumdhibiti anipige alafu bado analete dharau”
Mariam alizungumza kwa hasira, hadi nikamuonea huruma kusema kweli anacho kizungumza hata mimi moyoni mwangu kinaniuma na ndio kitu nilicho kuwa nikikifikiria kwa muda wote ulio pita.
 
“Mariam lile ni kosa ambalo limetokana na ulevi wangu, so nakuomba unisamehe sana”
“Dany inaniuma, ua mim sio mzuri, au mimi sikutoshelezi hadi uende ukalale na yule mwanamke wa kizungu?”
Hasira ya Mariam ikachanganyikana na machozi, sikuwa na kitu cha kuzungumza, nikamvuta Mariam karibu na kumkumbatia.
“Samahani mpenzi wangu, nakupenda sana”
“Nakupenda pia Dany”
Mariam akanikumbatia kwa nguvu huku akiendelea kulia kwa uchungu. Taratibu nikaiweka bakuli la supu mezani na kuanza kunyonyana denda na Mariam, hisia za mapenzi zikaanza kupanda taratbu kati yetu, sehemu tuliyopo uzuri ni kwamba hakuna mtu yoyote. Mariam akanivua shati langu, nikamvua na yeye na tisheti na kaunza kuyanyonya maziwa yake, jambo lililo mfanya Mariam kuanza kutoa miguno ya mahaba.
“Huu si wakati wa kufanya mapenzi, twendeni mazoezini”   
Sauti ya Livna Livba, ikatufanya tusitishe tunacho kifanya, Mariam akaniachia na kumtazama Livna kwa macho makali, akaachia msunyo mkali na kunigeukia na kuendelea kuninyonya denda jambo lillo mfanya Livna kumvuta Mariam kwa nguvu ili kuniachanisha naye.
                                                                                  ITAENDELEA

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts