Home » , » AISIIIII……….U KILL ME ( Sehemu ya 69 na 70 )

AISIIIII……….U KILL ME ( Sehemu ya 69 na 70 )

Written By Bigie on Thursday, March 29, 2018 | 5:03:00 PM

MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWA-
0657072588   

ILIPOISHIA 
Mariam akanikumbatia kwa nguvu huku akiendelea kulia kwa uchungu. Taratibu nikaiweka bakuli la supu mezani na kuanza kunyonyana denda na Mariam, hisia za mapenzi zikaanza kupanda taratbu kati yetu, sehemu tuliyopo uzuri ni kwamba hakuna mtu yoyote. Mariam akanivua shati langu, nikamvua na yeye na tisheti na kaunza kuyanyonya maziwa yake, jambo lililo mfanya Mariam kuanza kutoa miguno ya mahaba.
“Huu si wakati wa kufanya mapenzi, twendeni mazoezini”   
Sauti ya Livna Livba, ikatufanya tusitishe tunacho kifanya, Mariam akaniachia na kumtazama Livna kwa macho makali, akaachia msunyo mkali na kunigeukia na kuendelea kuninyonya denda jambo lillo mfanya Livna kumvuta Mariam kwa nguvu ili kuniachanisha naye.
   
ENDELEA   
Mariam hakukubali kunachia ndo kwanza akazidisha kunishika kwa mikono yake yote miwil huku  akiendelea kuninyonya denda. Livna akatutizama akatingisha kichwa kisha akatoka ndani humu na kutuacha tuendeleea na tunacho kifanya.
“Shenzi zake”
Mariam alizungumza huku akiendelea kuninyonya mate kwa kasi hatukushia hapo zaidi ya kujikuta tunaingia kwenye dibwi kubwa la mapenzi. Kila mmoja akampatia mwenzake kitu ambacho ana stahili hadi ikafikia kipindi sote tukajikuta tunafika kileleni pamoja.
 
“Ahahaaaa……”   
Mariam alshusha pumzi nyingi huku akinitazama usoni mwangu, taratbu akanyanyuka kwenye mapaja yangu na kila mtu akaanza kuvaa nguo zake taratbu.
“Mariam hivi tutatumia muda gani hadi kufika Korea Kaskazini?”
“Bado tuna vijiwiki kadhaa”
“Ahaa nimechoka kukaa humu ndani ya hii meli”
“Tena msimu huu tuna bahati kama ingekuwa ni msimu wa baridi kal ile ya barafu wala usinge tamani kabisa kusafiri na hizi meli”
Tukatoka katika chumba hichi huku tukiwa tumeongozana na Mariam, tukaelekea kwenye chumba cha Mariam, tukaoga kwa pamoja kisha tukabadilsha nguo.
“Hivi baba amefikira nini?”
“Kivipi?”
“Amefikira kitu gani hadi kumuweka Livna kuwa mwalimu wetu?”
“Katika hilo mimi wala bado sijalafiki, na wala hawezi kunifundisha kwa maana hapa hakuna mafunzo zaidi ya kuibiana mabwana”
Sikujibu kitu chochote zaidi ya kukaa kimya nikimtazama Mariam. 
 
    Masaa na siku zikazidi kusonga mbele, Livna akitupa mafunzo ambayo baba ameagiza tuweze kuyafanya ili kuzidisha ujuzi katika kupambana kwetu. Kadri muda ulivyo zidi kusonga mbele ndivyo tulivyojikuta tunaimarika, japo mikasa ya hapa na pale ya Livna na Mariam kufanyiana visa vya mapenzi inatokea ila cha kumshukuru Mungu hawapigani. Baada ya wiki takribani sita tukafika nchini Korea ya Kaskazini majira ya saa mbili asubuhi. Katika maisha yangu nilisha zoea kuisikia hii ichi katika vyombo vya habari juu ya uchokozi wake katika nchi ya Korea Kusini ambapo miaka ya nyuma zilikuwa ni nchi moja kubwa zilizo kuwa zimeungana.
Bandarin tukapokwewa na sekretari wa baba aliye ongozana na walinzi wawili wa baba walio valia suti nyeusi.
“Karibuni”
Alitukaribisha wote watatu, tukaongozana nao hadi kwenye magari waliyo kuja nayo. Nikapanda gari moja na sekretari huyu huku Mariam na Livna wakipanda gari jengine la nyuma yetu na safari ikaanza kuelekea tusipo pafahamu.
“Umefanana sana na baba yako”
Sekretari alizungumza huku akiminya minya simu yake kubwa kiasi.
 
“Asante”
“Jina si Dany eheee?”
“Yaaa”
“Vipi Tanzania?”
“Kwema tu”
Maswali ya sekretari yakaishia hapo na ukimya ukatawala ndani ya gari. Baada ya dakika kama ishirini na tano hivi tukasimama mbele ya gorofa refu kwenda juu, ambalo kwa haraka haraka idadi ya gorofa zake zinaweza kufika mia moja na kitu hivi.
“Karibuni ndani”
Tukaongozana na sekretari. Katika sehemu ya mapokezi katika jengo hili  nikaona picha kubwa ya baba pamoja na sanamu lake lililo chongwa vizuri, huku pembeni kukiwa na herufi kubwa ya D. Katika jengo hili kuna wafanyakazi wengi wa asili  tofauti tofauti. Tukaingia kwenye lifti ambayo ina ina batani nyingi zilizo fika idadi ya batani mia moja na ishirini. Taratibu lifti ikaanza kwenda juu, huku sekretari huyu akiwa ameminya batani ya mia moja na ishirini.
 
Hatukuchukua muda tukawa tumefika katika gorofa ya mia moja na ishirini, tukaanza kutembea kwenye kordo yenye walinzi wengi walio valia suti wakiwa wamesimama kkakamavu. Tukafika kwenye mlango mkubwa uliopo mwishoni mwa kordo hii. Taratibu mlango huu ulio tengenezwa kwa kioo  kigumu ukafunguka na sote tuakingia ndani.
Kwa mara nyingine nikaonana na baba yangu uso kwa uso, baada ya miaka mingi kupita pasipo kumuona. Tukakumbatiana na baba kwa nguvu huku sote machozi yakitulenga lenga.
“Karibu mwanangu”
Baba alizungumza huku  akinipiga piga mgongoni mwangu. Japo umri umekwenda ila bado baba anaonyesha ana nguvu nyingi na ni mwana mazoezi kwa sasa, kwa maana hata mikono yake imejazia kwenye mikono yake. Akaniachia na kuwapa mikono Mariam na Livna.
“Karibuni mukae”
Ofisi ya baba ni kubwa sana, imejengwa kwa utaalamu wa hali ya juu, kila kitu kipo kwenye mpangilio  kuanzia sehemu ya kupumzikia hadi sehemu ya kufanyia mazoezi.
“Munatumia kinywaji gani?”
 
“Mimi nipo vizuri”
“Mimi pia”
“Mimi nilitee kahawa”
Niliagizia kahawa baada ya wezangu kukataa kunywa chochote, sekretari akatoka na kutuacha tukiwa na baba ambaye kwa mara kadhaa akawa ananitazama kwa furaha huku akionekana kuto kuamini kwa kile anacho kiona.
“Dany mwangu umekuwa sasa”
“Asante baba”
“Ehee Mariam vipi jamaa zako hawato kutafuta kweli?”
“Kusema kweli  bosi, kunitafuta hilo swala lipo, kikubwa ningeomba ulinzi juu yangu”
“Katika hilo wala halina shida, nitahakisha nyote watatu munapata walinzi wa kutosha. Livna vipi baada ya bosi wako kufariki ni mpango gani mwingine ulio kuwa nao?”
“Muheshimiwa mimi sina mpango wowote zaidi ya kusikilizia mipango yako tu”
“Usijali katika hilo, hapa kazi zipo nyingi, isitoshe kampuni yangu inahitaji watu kama nyinyi”
“Shukrani sana muheshimiwa”
Sekretari akarudi akiwa ameshika kikombe chenye kahawa, inayo nukia vizuri. Akaiweka mezani usawa wangu, akatuaga na kutoka ofisini kwa baba.
“Mmmm nyinyi wawili nitazungumza nanyi baadae, ngoja sasa hivi nizungumze na kijana wangu, ni miaka ishirini sasa sijaonana naye”
 
“Hakuna tabu muheshimiwa”
Mariam na Livna Livba wakatoka ndani ya ofisi, na kutuacha mimi na baba. Baba akasimama kwenye sofa alilo kalia na kuja kukaa kwneye sofa la mbele yangu. Akanitazama kwa dakika kadhaa kwenye uso wangu huku akiwa amenikazia macho kisha akatingisha kichwa kama anakubaliana na kile anacho kitazama.
“Mama yako amekulelea vile nilivyo muagiza kukulea”
“Kivipi baba”
Baba akanyanyuka kwenye sofa na kuanza kutembea kwenye ofisi yake hii kubwa, na mimi nikanyanyuka na kuanza kumfwata kwa nyuma.
“Mama yako ninampenda sana, hata yeye pia ananipenda. Kwa kipindi cha miaka ishirini, nilijulikana kwamba nimekufa, japo siri hii ya uzima wangu inajulijana na watu wachache sana”
Baba alizungumza kwa mafumbo huku akikaa kwenye meza yake ya kioo, nikapiga fumba dogo la kahawa na kuendelea kumsikiliza baba.
 
“Nilikuwa na ndoto za kuwa tajiri, nilkuwa na ndoto siku moja nije kuwa mtu mashuhuri ili wanangu au kizazi changu muje kufurahia kuwa na baba kama mimi.”
“Ilinibidi kufanya mchezo wa hatari ambao wengi waliamini kwamba nimekufa, ila sikuweza kufariki na hadi leo ndio maana nipo hapa, watu wote ulio waona kuanzi ulivyo inga ndani ya hili jengo, wapo chini yangu na hili gorofa refu pia ni mali yangu na zote zipo katika umiliki wa famila yangu, ambayo ni wewe na Diana”
Maneno ya baba hadi wakati huu yananiweka njia panda, ila nikawa mvumilivu kuendelea kumsikiliza kwa kile anacho kizungumza, kabla baba hajaendelea kuzungumza simu ya mezani kwake ikaita.
“Sorry”
Baba alizungumza na kuzunguka kwenye meza yake na kuipokea simu hiyo, akaanza kuzungumza kikorea,a mabacho sikifahamu neno hata moja. Ila katika muonekano wa sura yake mazungumzo anayo zungumza yanaonyesha kuna jambo halijaenda sawa. Akatumia kama dakika mbili  kuzungumza mazungumzo hayo kisha akakata simu.
“Vipi?”
 
“Kuja wajinga nahtaji kuwashuhulikia sasa hivi wanataka kuiyumbisha kampuni yangu”
“Kina nani hao”
“Twende ukawaone”
Tukatoka na baba tukiwa tumeongozana, kikombe cha kahawa nikakiweka mezani kabla ya kutoka ofisini humu. Kitendo cha baba kutoka walinzi wake wote wakajipanga na kutuweka kati, tukaanza kutembea kwenye kordo hii kuelekea kwenye lifti. Mlinzi mmoja akafungua lifti kwa kuminya batani ya kufungulia, sote karibia nane tukaingia kwenye lifti.
“Watanitambua kwamba mimi ni nani”
Baba alizungumza peke yake huku akionekana kukasika sana
“Kwani wamefanyaje?”
“Tutazungumza baadae”
Lifti ikafika chini, sote tokatoka nje, na kukuta gari nnne zinazo fanana aina ya CIA, zikiwa zimesimama nje, tukainga gari moja na baba, na safari mbayo sijui tunakwenda wapi ikaanza. Kazi yangu ikawa ni kutazama nje kushangaa shangaa uzuri wa magorofa haya marefu ambayo kwa Tanzania hakuna.
 
Safari ikachukua takribani lisaa zima, kutoka nje ya hili jiji, tukaingia maeneo ya milimani ambapo kuna nyumba chache sana.
Gari zote zikasimama nje ya gadauni kubwa ambalo lina geti kubwa. Walinzi wa baba wakashuka kisha wakatufungulia milango na sisi  tukashuka. Wakatangulia walinzi wawili mbele huku mmi na baba tukiendelea kuwa katikati yao. Geti hilo kubwa likafungulwa, tukainga ndani na likafungwa.
    Kwenye godauni hili kuna watumishi wachache waoa fanya kazi ya kupakiza samaki kwenye maboksi maalimu. Sikuhitaji kujishuhulisha nao zaidi ya kuendelea kumfwata baba na walinzi wake. Tukaanza kushuka kwneye ngazi zinazo elekea chini ya ardhi, sehemu yote hii imewekwa taa nyingi sana zinazo lifanya eneo lote kuonekana vizuri.
 
Tukapiga hatua kama ishirini, tukakunja kushoto napo tukatembea kwa hatua hizo ambazo si chini ya ishiri.  Tukaingia kwenye moja ya ukumbi na kukuta watu sita wakiwa wamepigishwa magoti huku wamevishwa vigunia vyeusi kichwani mwao. Mikono yao iliyo rudishwa kwa nyuma wamefungwa kamba.
Pembeni ya watu hawa wamesimama jakmaa wanne wenye bunduki nzito za kivita, wakampa heshima baba kwa kuinama. Baba akasimama mbele ya watu hawa, akamuamuru kijana wake awafunue kigunia hicho na ndivyo alivyo fanya. Kila aliye funiliwa kigunia na kumuona baba mbele yake alianguka kifudifudi huku akilia na kuomba msamaha.
“Babawamefanya nini hawa?”
Ilinibidi kuuliza swali hili kwa maana kuna mzee analia hadi nikamuonea huruma.
“Hawa ni wezi, wanaiba biashara zangu na kuuza kwa makampuni mengine, pia wanaiba mipango yangu ya kibiashara na kuiuza kwa makampuni mengine”
“Kwa nini wanafanya hivyo?”
 
“Ni kutokana na tama zao tu za pesa, na hawa wote huwezi kuamini. Nimewajengea nyuma, ninawalipa mishahara minono, ninawasomesha watoto wao na sijui ni kitu gani kinacho wafanya wafanye hivi”
Baba alizungumza kwa msisitizo huku akiwatizama watu hawa wenye marika tofauti tofauti na kwa kukadiria mwenye umri mdogo anaweza kuwa na mikaa thelathini.
Baba akanyoosha mkono kwa mmoja wa watu wake, jamaa huyo akachomoa jambia refu linalo waka waka kwenye sehemu yake lilipokuwa limechomekwa. Baba akachomoa gloves zake vizuri kwenye mfuko wa koti alilo livaa, akazivaa taratibu kisha akachukua jambia hilo, pasipo kuwa na huruma baba akaikata shingo ya mzee ninaye muonea huruma, kichwa kikatengana na kiwili wili na kusababisha damu nyingi kuruka hewani na baadhi ya damu ya mzee huyu zikanirukia usoni jambo lililo niogopesa sana hadi nikajikuta nikianza kuingiwa na woga wa kumuogopa baba yangu kwa ukatili mkubwa anao ufanya mbele yangu.


AISIIIII……….U KILL ME 70                                                                                                   

Baba hakuishia hapo, akamkata mtu wa pili shingo yake, akaja watatu, wanne, watano na akamalizia wa sita. Nguo zote za baba zimejaa damu nyingi, akatupa jambia chini huku akiitazama miili ya watu hawa jinsi inavyo endelea kumwaga damu.
 
“Hakikisheni munachoma moto hii miili hadi inabaki majivu”
“Sawa mkuu”
“Dany twende huku”
Nikamfwata baba kwa nyuma nyuma, akapunguza kasi kidogo ya kutembea na nikajikuta nipo sawa naye.
“Kwa nini unakuwa muoga, wakati wewe ni kidume?”
“Ahaa…aha hapana”
“Jibu lako linaonyesha kwamba wewe ni muoga, kwani hukuwahi kumuua mtu kwenye maisha yako?”
“Ehee”
“Hujawahi kumuua mtu kwenye maisha yako?”
Baba alirudia swali lake huku akifungua mlango, wa bafu lililopo eneo hili.
“Nimewahi”
“Safi, siku zote huwa msaliti kwenye maisha yangu au yako, huyu astahili kuishi, na kama unaweza kumuua kwa mkono wako hakikisha unafanya hivyo”
“Sawa baba”
Baba akasimama mbele ya kioo kikubwa kilichopo kwenye hili bafu, akaanza kuvua nguo moja baada ya nyingine na akabakiwa kama alivyo zaliwa.
“Na wewe vua nguo zako uoge”
 
“Ehee”
“Vua uoge, hiv Dany bado una mambo ya kiafrika sana eheee?”
“Unajua sijawahi ona mtoto wa kiume kuoga na baba yake”
“Ndio uone hili”
Sikuwa na jinsi zaidi ya kuanza kuvua nguo zangu na nikabaki kama nimezaliwa. Nikasimama kwenye bomba langu la mvua, nikafungua maji taratibu yakaanza kunimwagikia mwilini mwangu.
“Mbo** yako unaitumia vizuri?”
Swali la baba likanifanya nipatwe na kigugumizi kinacho endana na kucheka.
“Eheee?”
“Yaaa……yap”
“Safi, hakikisha wanawake hawakuletei dharau, tomb** hadi waombe poo”
Nikashindwa kuvumilia ikanibidi kuangua kicheko kikali sana.
“Unajua ni kwa nini mama yako ananipenda?”
“Hapana?”
“Mama yako ananipenda kwa sababu natambua jinsi ya kumtomb**. Huwa nahakikisha akitoka hapo hana hamu na mimi, alafu ukicheki kwenye ukoo wetu tumebarikiwa mbo** zlizo shiba”
Maneno anayo yazungumza baba sikuyategemea kabisa akilini mwangu, nilibaki nikiwa ninajisemea kimoyo moyo kwamba hapa sina baba.
 
“Kweli”
Nilimuunga mkono maneno yake hayo, ili mradi mada iishe, kwani kwa mada kama hizi, baba kuzungumza kwa mwane wa kiume japo kwake ni sawa, ila kwangu ninahisi zinaniumiza masikio yangu kabisa.
“Tukitoka hapa, leo usiku nitakupeleka eneo moja hivi ukale raha, kwa maana umepata shida sana”
“Eneo gani hilo?”
“Wewe utaona ni eneo gani, alafu vipi mjukuu wangu anaendeleaje kwa maana nimemuona akiwa na bibi yake?”
“Naamin wanaendelea vizuri”
“Sawa sawa, tukifika nyumbani nikumbushe tuwasiliane nao”
“Hakuna tatizo”
Tukamaliza kuoga, tukachukua mataulo na kutoka ndani humu, tukaingia kwenye chumba kingine chenye nguo za kiume za kila aina.
“Mara nyingi huwa ninapenda kutokelezea kijanja zaidi, kuvaa vaa masutii labda nikienda kazini”
Baba alizungumza huku akivaa suruali iliyo chanika chanika mapajani, akachukua tisheti nyeusi akavaa.
 
“Vaa unanishangaa”
“Ahaa”
Na mimi nikaanza kuvaa suruali niliyo ichagua, tulipo maliza kuvaa, tukatoka katika chumba hichi. Kwa jinsi tunavyo fanana na baba, tukiongozana hivi unaweza kusema ni kama mtu na mdogo wake ila ukweli ni mtu na baba yake.
“Kipindi ninakupata wewe, nilikuwa na miaka ishiri na moja, enzi hizo, nilikuwa handsome kishenzi”
“Mmmmmm”
“Unaguna? Muulize mama yako atakuambia. Japo nilimtokeaga ila akawa ananichomolea chomolea. Kwa viwalo nilivyo kuwa ninatupia enzi hizo, ahaa yeye mwenyewe akangia mkenge nikampa mambo, akiwa form six, anamaliza mtiani wa taifa ana mimba yako”
“Hakufukuzwa kwao?”
“Ahaaa, bora angefukuzwa ningezema afadhali ninaweza kumlea kwa maana kipindi hicho ndio nilkuwa nimejiriwa, pesa ninayo kamata ni ndefu kishenzi. Ila songombingo likaja pale baba yake alipo anza kunisaka, mamaeee zake yule mzee alikuwa mjeda msaafu, basi muda wake wote alkuwa ananisaka. Uzuri hakunifahamu kisura, alinisikia sikia tu jina langu”
 
Baba alizungumza huku tukiwa tumesimama nje ya magari, mlinzi akafungua mlango na sote tukaingia ndani ya gari.
“Alkupata?”
“Atanipataje, hadi anakuja kufa yule mzee hakuwahi kuniona na mama yako alikuwa jasiri sana kwa kuto kunitaja, laiti angenitaja, sijui kama ningekuwa hai leo”
Uwepo wangu karibu na baba unamfanya kujiachia sana katika mazungumzo yake, hajali kama yupo na mwane, ila anacho kifahamu ni kuzungumza kile kinacho mtoka.
Safari ya kurudi tulipo toka ikaanza huku njiani baba akinionyesha baadhi ya maeneo na kunitajia majina ya maeneo hayo.
“Tunarudi nyumbani au tunaelekea ofisini kwako?”
“Tunakwenda nyumbani, ukapaone”
“Sawa”
Safari ikachukua lisaa na nusu, hii ni kutokana na foleni baadhi ya maeneo. Tukafika kwenye jumba kubwa la kifahari la gorofa tatu kwenda juu. Kusema kweli sikuamini kwamba baba ana miliki jumba kubwa kama hili wakati Tanzania mama alikuwa anaishi katika nyumba ya kawaida sana.
“Karibu nyumbani mwanangu”
 
Baba alizungumza huku tukishuka kwenye gari, tukaanza kutembea kwa hatua za kawaida kuingia ndani. Japo tanzania kuna majumba ya kifahari ila hili alalo miliki baba limeyapita majumba yote hayo ya kifahari niliyo wai kuyaona. Tukaingia ndani huku walinzi baadhi wakibaki nje.
Mandhari ya jumba hili la kifahari yamepabwa kwa aina yake, kila eneo lina picha za familia yetu, nyingine zikiwa za kuchongesha zilizo zidi kuipendezesha hili jumba la baba.
“Hii ndio mali niliyo ihangaika baba yako kwa kipindi changu chote cha haya maisha yangu”
“Hongera sana baba”
“Shukrani, najua hizi zote ni mali zako wewe na Diana, nimejitahdi kwa maisha yangu yote hadi nimefikia hapa.”
Tukainga sebleni ambapo kuna vitu vingi vizuri na vinaonekana ni vitu vya thamani ya hali ya juu. Baba akaendelea kunionyesha maeneo yote ya hili jumba lake, alipo hakikisha amemaliza kunionyesha maeneo ya nje na maeneo baadhi ya ndani, tukaingia kwenye chumba changu.
“Hichi chumba chako kina kila kitu kinacho hitajika katika chumba cha mwanaume, ukihtaji kutengeneza mwili kwa mazoezi GYM ipo humu”
 
Baba alizungumza huku akifungua mlango uliopo ndani ya hichi chumba changu, nikakuta vifaa vya mazoezi, akaendelea kunionyesha vyumba vilvyomo kwenye hiki chumba chenye vyumba vinne katika chumba kimoja.
“Kwa hiyo baba kwenye hili jumba unaishi peke yako, kwa maana sijaona wafanyakazi wa ndani zaidi ya walinzi?”
“Ndio nipo peke yangu, kuna utofauti na maisha ya Tanzania, huku wafanyakazi wa ndani wanakuja siku maalumu katika wiki, na huwa wakija wanafanya kazi kwa masaa kadhaa na wanalipwa kutokana na masaa hayo ambayo wanafanya kazi”
“Ahaaaa”
“Kesho utabaki nyumbani, nitaagiza wafanyakazi waje kukupkia. Leo ngoja tukazunguke sehemu za mijini, ukaone mali za baba yako”
“Sawa mzee”
“Kama una njaa seme nikupeleke kwenye hoteli ukapate chakula”
“Nipo vizuri, nikiwa na njaa nitakuambia”
Tukatoka nje, mlinzi akatufungulia mlango wa gari na tukaingia na kuondoka katika eneo hili. Matembezi kwa siku ya leo kusema kweli ni marefu sana, tumezunguka sehemu nyingi sana, hadi giza likaanza kutawala angani, uzuri wa hii nchi ndio ukazidi kuongezeka mara dufu, kwani taa za kila aina zimezagaa kwenye magorofa haya marefu pamoja na barabarani.
 
“Nakupelekea kwenye kasino langu ninalo limiliki”
“Lipo wapi?”
“Halipo mbali sana na hapa”
Gari ikazidi kusonga mbele, huku dereva akiwa makini sana barabarani. Tukafika kwenye gorofa refu kwenda juu. Tukashuka kwenye gari baba akatazama juu na mimi ikanibidi kutazama juu.
“Umeione ile D pale juu?”
“Ndio”
“Ile ni chata ambayo ninaitumia kwenye kampuni zangu, bidhaa zangu na sehemu mbalimbali”
“Ina maana gani?”
“Ni herufi za jina lako na jina Diana, mimi na mama yako tumesha kuwa wazee vijana, itafikia hatua nyinyi nanyi munatakiwa kuongoza hizi mali”
Tukaingia ndani ya kasino hili lililo jaa watu wengi wakicheza michezo  ya kamari zilizo halalishwa, kila sehemu tulipo pita baba alisalimiana na watu waliomo eneo hili, akawa anazungumza nao kikorea, na wala sikuelewa wanacho kizungumza, muda mwengine alinshika bega akiwa anazungumza nao, hapo kwa akili ya kawaida ninahisi ananitambulisha kwa rafiki zake hao.
 
“Wanakusifia kwamba mwangu wewe ni mzuri”
“Ila mimi mtoto wa kiume”
“Ahaaa kuwa wakume ndio kuto kuwa mzuri?”
Tukanza kutembelea gorofa moja baada ya jingine, kusema kweli hadi sasa hivi ninajiuliza baba pesa zote hizi za kuwekeza katika miradi mikubwa kama hii amezitolea wapi. Tukafika katka gorofa namba ishririni, kitendo cha lifti kufunguka macho yangu yakakutana na wasichana wengi ambao wapo uchi kabisa, kazi yao ni kuwastarehesha wanaume wachache waliomo humu.
“Huku ni V.I.P, kila mwanachama anaye jiunga na kuingia huku, analipa dola elfu mbili kwa siku, na hawa wasichana wote unao waona kazi yao ndio hii”
“Mmmmmm”
Nilibaki kuguna baada ya kuwaona wasichana wawili wenye makalo makubwa na wanaasili ya kiafrika.
“Unawahitaji wale?”   
Baba alniuliza huku akinitazama machoni, na amegundua sehemu nilipo yaelekezea macho yangu yanayo washangaa wasichana hao wakiyatingisha makalio yao mbele ya mzee mmoja wa kichina.
Baba akanipiga piga begani kisha akaelekea walipo wasichana hao, akawanong’oneza, taratibu akaanza kurudi nao akiwa amewashika mikono yao. Wasichana hao walipo niona sura zao zikajawa na tabasamu pana.
 
“Mpelekeni chumbani”
Baba alizungumza, wasichana hao wakanishika mikono, na kuanza kuondoka na mimi, huku baba akinikonyeza. Tukaingia kwenye moja ya chumba kilicho puliziwa manukato mazuri sana, huku kukiwa na kitanda kikubwa pamoja na sofa kubwa.
Wasichana hawa wakanisukuma kitandani na kuanza kunivua nguo moja baada ya nyingine hadi nikabaki kama nilivyo zaliwa. Wakaanza kuninyonya jogoo wangu huku mikono yao ikiwa inakatiza sehemu mbalimbali za mwili wangu. Nikiwa katika raha hii ambayo kila mwanaume huipenda, akaingia baba akiwa na kipande cha sigara mkono, nikataka kujifunika shuka kutokana na aibu.
“Endelea nahitaji kuona jinsi unavyo tomb** msichana”
Kauli ya baba ikanifanya tubaki tumetazamana, kama kawaida yake akanikonyeza kuzidi kuniruhusu niwashuhulike wasichana hawa wenye hamasa kitandani.
                                                                                  ITAENDELEA

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts