Home » , » AISIIIII……….U KILL ME ( Sehemu ya 71 na 72 )

AISIIIII……….U KILL ME ( Sehemu ya 71 na 72 )

Written By Bigie on Saturday, March 31, 2018 | 2:54:00 PM

MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWA-
0657072588ILIPOISHIA   
Baba alizungumza, wasichana hao wakanishika mikono, na kuanza kuondoka na mimi, huku baba akinikonyeza. Tukaingia kwenye moja ya chumba kilicho puliziwa manukato mazuri sana, huku kukiwa na kitanda kikubwa pamoja na sofa kubwa.
Wasichana hawa wakanisukuma kitandani na kuanza kunivua nguo moja baada ya nyingine hadi nikabaki kama nilivyo zaliwa. Wakaanza kuninyonya jogoo wangu huku mikono yao ikiwa inakatiza sehemu mbalimbali za mwili wangu. Nikiwa katika raha hii ambayo kila mwanaume huipenda, akaingia baba akiwa na kipande cha sigara mkono, nikataka kujifunika shuka kutokana na aibu.
“Endelea nahitaji kuona jinsi unavyo t*mb** msichana”
Kauli ya baba ikanifanya tubaki tumetazamana, kama kawaida yake akanikonyeza kuzidi kuniruhusu niwashuhulike wasichana hawa wenye hamasa kitandani.

ENDELEA
Wasichana hawa wakawa kama wamezidishiwa kasi ya kucheza ya jogoo wangu, kila mmoja akawa na utaalamu wake wa kunyonya jogoo wangu. Kwa macho ya kuiba nikamuona jinsi baba anavyo tingisha kichwa akikubaliana na mapigo ya mabinti hawa wanao hitaji kupata sifa mbele ya bosi wao. Nikashusha pumzi nyingi, kisha nikanyanyuka na kushuka kitandani huku jogoo wangu akiwa amesimama.
“Baba swezi kufanya hivi mbele yako?”
“Kwanini?”
“Baba umeona wapi mtoto akifanya mapenzi mbele ya baba yake”
 
Baba akanitazama usoni jinsi ninavyo zungumza kwa msisitizo, akanyuka kwenye sofa alilo kalia na kuanza kupiga hatua za taratibu hadi sehemu nilipo simama.
“Hii ni dunia mpya, hakikisha unawat**mb** hadi wakujue wewe ni mwanaume rijali”
Baba baada ya kuzungumza maneno hayo, akatoka chumbani huku akinikonyeza, akawapa wasichana hao ishara, wakashuka kitandani, kisha wakanisukumia kitandani na kuanza kunilamba lamba kila kona ya mwili wangu. Nilipo hakikisha baba ametoka chumbani humu, nikamuinamisha msichana mmoja, nikajipaka mate kwenye jogoo wangu na kumsokomeza ndani ya kitumbua chake, jambo lililo mfanya kutoa mguno mzito.
Nikabana pumzi ya kutosha kifuani mwangu, na kuanza kukila kitumbua hichi kwa kasi ya ajabu, kama mfungwa aliye fungwa miaka mingi na kukosa kitumbua kwa kipindi chote hicho alicho fungwa jela. Msichana huyu akajitahidi sana kunihimili kazi yangu ila, nikamuona jinsi anavyo legea taratibu, hata mkao wake wa kupiga magoti chini ukaanza kubadilika na kijikuta akiwa amelala kifudifudi.
 
Nikakumbuka kipindi cha Monica na mwenzake Lissa katika hoteli ya Mtendelea jijini Tanga jinsi nilivyo washuhulikia hadi wao wenyewe wakachoka kwa mziki wangu.
‘……hakikisha unawat**mb** hadi wakujue wewe ni mwaume jasiri’
Maneno ya baba yakajirudia kichwani mwangu, nikakaza meno yangu huku jasho likiwa linanimwagika, nikiendelea kuhakikisha msichana huyu wa kwanza ninampa dozi iliyo shiba. Msichana wa pili baada ya kuona mwenzake anaelekea kushindwa, ikabibi chukue jukumuu la kumuokoa mwenzake.
Akajipanua miguu huku akikipaka kitumbua chake mate, sikuta asubirie ajipange, nikaanz amashambulizi ya kukila kitumbua chake kwa kasi kali ambayo tangu nianze kukutana na wasichana sikuwahi kuifanya kwa maana ni kasi ambayo inaendana na kung’ata meno huku nikihakikisha kwamba ninawahimili hawa wasichana wawili. Kitu ambacho kinanishangaza kwa leo, waarabu weupe wanachelewa kutoka. 
 
Msichana huyu wa pili kidogo anajitahidi kukana mauno ila bado nimeweza kumuhimili, kwa asilimia kubwa sana, kwa mbali nikaanza kuwasikia waarabu weupe wakianza kujiandaa kutoka nje. Nikamlaza kifudifudi msichana huyu, kisha nikaendelea kula kitumbua chake hadi waarabu weupe wakatoka kwa kasi na wote wakafikizia juu ya makalio yake makubwa. Taratibu nikajikuta nikilala kitandani chali huku nikihema mithili ya mwana riadha aliye kimbia mita elfu moja pasipo kupumzika.
Msichana wa kwanza wala hakujisumbua kunyanyuka kitandani, usingizi ulisha mpitia muda mrefu sana.
Kwa uchovu huu amabao nimeupata, nikajikuta na mimi usingiz mzito ukinipitia wala sikuja kama nimelala kwenye danguro la wasichana wanao jiuza. 
 
    Mwanga mkali wa juu, ukaanza kuniumiza macho yangu, taratbu nikaanza kufumbua macho huku nikijaribu kutazama ni nani  aliye simama pembeni ya kitanda changu.
“Amka ni muda wa mezoezi”
Nilimuona Livna Livba akiwa amesimama huku amevalia nguo za mzoezi, nikajaribu kutazama pembeni ya kitanda, sikuwaona wasichana nilio lala nao, pia mandhari ya chumba nilichopo ni tofautii kabisa na nilipo lala jana usiku.
“Nipo wapi hapa?”
Niliuliza huku nikikaa kitako kitandani.
“Upo nyumbani kwa baba yako?”
Ikabidi nirudie kutaza mandhari ya chumba kwa mara nyingine, kweli nikatika chumba amacho baba alinonyesha jana. Nikajifunua blangeti na kujikuta nikiwa kama nilivyo zaliwa.
“Poa toka ninakuja?”
“Nahitaji unyanyuke sasa hivi na si nitoke”
“Nitashukaje hivi bwana, toka kwanza nivae nguo”
“Ungejua kwamba mimi ndio nimekuleta hapa jana usiku ukiwa uchi wala usinge niropokea upuuzi wako huo, shuka kitandani”
 
Livna alizungumza huku akifunua blanget lililo nifunika, sikuwa na ujanja zaidi ya kushuka kitandani. Nikaingia bafuni huku nikiwa mnyonge, magoti yote nikahisi kama yamekosa mawasiliano na mapaja pamoja na miguu ya chini. Taratbu nikaanza kuoga huku nikiwa ninauchovu mkubwa sana. Baada ya kumaliza nikatoka bafuni, nikamkuta Livna akiwa ananisubiria huku nguo za mazoezi zikiwa kitandani.
Taratibu nikaanza kuvaa nguo hizo huku nikiwa bado nina wenge la usingizi. Tukatoka chumba tukiwa tumeongozana na Livna.
Tukaingia kwenye ukumbi mkubwa ulipo katika eneo hili, ukumbi huu umejaa vifaa vya mazoezi. Kusema kweli sina hata hamu ya kufanya mazoezi, kwa shuhuli ya jana ambayo nimeifanya mwili wangu mzima umepoteza kiwango cha nguvu.
    Tukaanza mazoezi madogo madogo ambayo, hata kwenye meli Livna alikuwa anatumfundisha, hususani maswala ya utumiaji wa jambia pamoja na vifaa maalumu ambayo hutumiwa sana na Wajapani pale wanapo pigana. Mapigano yote amnayo Livna anatufundisha mimi na Mariam ambaye kwa sasa sifahamu yupo wapi. 
 
“Mariam yupo wapi?”   
“Sifahamu, tangu jana tulipo toka pale ofisini sikufahamu ni wapi alipo kwenda”
“Leo bwana sina stimu ya kufanya mazoezi”
“Bado hujadika hata nusu ambayo baba yako anahitaji wewe kuweza kufika katika mafunzo ambayo unayapata”
“Sasa haya niliyo nayo yanatosha, sihitaji kufanya zaidi ya hapa”
“Utaendelea kufanya zaidi ya hapa”
Sauti ya baba ikanifanya kutazama nyuma, nikamuona baba akiwa ameongozana na Marima.
“Wewe ndio mtu pekee ambaye ninakuandaa uje kuikamata Tanzania kwa miaka kadhaa ijayo”
“Sijakuelewa baba?”
“Kwa sasa ni ngumu kuweza kunielewa, ila utanielewa tu pale muda na wakati utakapo fika. Tanzania kwa sasa kama unavyo fahamu ipo mikononi mwa K2 na si raisi kama watu wengi wanavyo fahamu”
 
Baba alizungumza huku akinisogelea mbele yangu, akanitazama usoni mwangu.
“Nchi kama Tanzania, ni nchi ambayo imejaa ujiri wa kila aina, ila bado wananchi wa hali za chini hawajanufaika kwa kile wanacho jivunia cha kujiita kwamba wao ni watanzania”
Maeno ya baba japo ninayaelewa ila yamejaa mafumbo ambayo ni lazima kutuliza kichwa ndio unaweza ukapata kuyafahamu kwa undani zaidi.
“Kuna kizazi ambacho kinaandaliwa na K2, kizazi ambacho kitakuwa ni hatari, kitakuwa kizazi cha maangamizi. Ni nani wa kikizuia? Nyinyi watatu ndio mutaweza kukizuia na kuhakikisha kwamba kizazi hicho kinabadilika na kuwa kizazi cha watu wema”
Baba akapgahatua hadi mbele ya Tv kubwa ambayo ipo katika ukumbi huu wa mazoezi, akaiwasha na kuanza kuminya minya kioo chake ambacho kinatumia mfumo wa kama simu za adroid. Akafungua faili moja lililo jaa video nyingi, akafungua video moja ambayo ikaanza kuonyesha matukio ambayo taratibu yakanifanya nianze kuisogelea tv hii na kutakazia macho vizuri.
 
Ila stori ya Mariam kunielezea kuhusiana na wasichana wadogo, wanao fundishwa mbinu za kijasusi sasa video yenyewe ndio hii. Katika kutazama tazama vizuri nkamuona Mariam na taratibu nikamgeukia na kumtazama. Mariam akajikausha kama sio yeye, mafunzo yao ambayo wanafundishwa kwenye hii meli kubwa kusema kweli sikuwahi kuyaona sehemu yoyote, japo nimepita katika vituo vya kujifunza maswala ya usalama, ila hakuna kitu tulicho fundishwa.
“Hawa ni wasichana ambao kazi yao kubwa na roho yao kubwa wanayo fundishwa ni mauaji. Hawafundishwi  kupenda. Msichana mmoja ana uwezo wa kupambana hata na wanajeshi ishirini kwa wakati mmoja wakiwa hawana silaha na wota akawaua kwa kuwavunja vunja shingo zao au kuwatengua viungo vya miili yao”
“Cha kushukuru Mungu, mwalimu wao mmoja nimeweza kumchukua ambaye ni huyu hapa Livna, mwanafunzi ambaye alikuja kipindi cha Livna akiwa amesha ondoka ni Mariam”
 
Baba akaminya moja ya video na kuonyesha jinsi Livna alivyo weza kukuzwa katika kituo hicho akiwa tangu binti wa miaka minne hadi kufikia miaka ishirini na mbili na akakabidhiwa ualimua wa wezake.
“Maisha yangu, hadi sasa hivi ninaweza kusema kwamba nimeua watu zaidi ya elfu hata mbili”
Maneno ya Livna Livba, yakanifanya nimgeukie na kumtazama kwa mshangao mkubwa.
“Tena watu hao sikuwaua kwa silaha ya aina yoyote, nimeweza kuwaua kwa mikono yangu hii, ambayo kwa namna moja ama nyingine ninaweza kusema kwamba mikono hii ni mikono iliyo jaa damu”
Nikashusha pumz taratibu huku nikiwa siamin kwa hichi ninacho kisikia.
“Sa..sasa hivi video mumezitoa wapi?”
“Kwenye ile meli kuna CCTV kamera kila eneo na hizi video zote ni rekodi ambazo ninaweza kuziiba kupitia mitambo yao kwa maana nina fahamu kila kitu kuhusiana na kambi hii”
“Unafahamu sasa ilipo?”
 
“Hakuna mtu ambaye anafahamu hii kambi ilipo, unaweza kufahamu kila kitu ila si kufahamu ni wapi hii meli ilipo siamishwa na kwa kipindi fulani huwa inahamishwa kwenda kusimamishwa katika meneo mengine.”
Baba akabadilisha video hiyo na kuweka picha ya mzee mmoja wa kifrika mwenye ndevu nyingi usoni mwake huku kichwani mwake akiwa amenyoa upara .
“Anaitwa Madouk, huyu ni Mghana na yupo hapa nchini Korea, biashara yake kubwa ni kununua silaha za kivita ndani ya hii nchi na kupeleka barani Afrika.”
Baba alizungumza huku akitutazama kwenye nyuso zetu. Akaigeukia Tv na kuendelea kuzungumza.
“Silaha zake anazo zinunua, zinazidi kukuza vita katika matiafa ya West Afrka, hili swala sisi linatuhusu, na leo amekuja kununua sheheni kubwa ya silaha ambazo zikifika Afrika vita yake, hakuna serikali ya Afrika inaweza kuizuia”
“Cha kufanya basi, ni kuhakikisha kwmaba munakwenda katika enembalo mchana wa leo atakuwa na sherehe. Hakikisheni kwamba munamteka, au munamuua kimya kimya pasipo mtu yoyote kuweza kugundua hilo”
 
“Samahani bosi”
Mariam alizungumza na kutufanya sote tumzatame usoni
“Unahitaj tumuue kwa kutumia sumu, au kwa njia ya silaha?”
“Naamini ulipo kuwa kwenye mafunzo uliweza kufundishwa mbinu nyingi za mauji”
Livna alijibu na kuniacha mimi ambaye sifahamu uuaji huo unafanyika vipi.
“Naamini Livna amekujibu, ila katika kazi hii cha kujiadhari nacho ni kuhusiana na walinzi wake ambao wote niwalinzi wa kike, na ningumu sana kuweza kuwafahamu”
“Sasa baba, kwenye hiyo kazi mimi bado sijafahamu tunamuua kimya kimya kivipi?”
“Dany kazi yako wewe ni kukabiliana na Madouk, hakikisha kwamba hatoki mikononi mwako”
“Baba hujanijibu swali langu?”
“Jibu la swali lako unakwenda kulipata kwneye hiyo kazi. Mavazi na kila kitu kitakacho wafanya mufanikiwe kwenye hivyo kazi kipo tayari.”
 
“Sawa bosi”
Baba akaondoka kwenye ukumbi huu na kutuacha na Livna pamoja na Mariam.
“Twendeni tukajiandae, sherehe inaanza saa nane mchana na sasa ni saa tatu asubuhi”
“Tukajiandae wapi Livna?”
“Wewe twende, kitu kingine ambacho ninahitaji kukisisitiza kwenu nyinyi, hakikisheni mbinu nilizo wafundisha munazitumia ipasavyo, mtu akikosea nitadili yake na atapata adhabu ambayo nilisha wahi kuipata kwenye maisha yangu na hadi leo ninaikumbuka”
Livna alizungumza huku akiodoka na kutuacha mimi na Marima tukiwa tumetazamana. Japo nimeshiriki katika kazi nyingi za hatari nilipo kuwa Tanzania kama mwana usalama ila kusema kweli hii kazi tunayo iendea leo inanipa wasiwasi mwingi na wenyewe huwa tukikutwa na hali kama hii ya wasiwasi huwa tunaamini kwamba hiyo kazi tunayo iendea itakuwa na hatari kubwa sana ambayo inaweza kupelekea hata maisha ya mmoja wetu kupotea.

AISIIIII……….U KILL ME 72                                                                                                   

Tukaongozana na Mariam hadi kwenye chumba ambacho kuna vifaa vya maandalizi ya kazi iliyopo mbele yetu.
“Sasa tutajiandaa vipi ikiwa mimi sijapata hata kifungua kinywa?”
“Kifungua kinywa kilisha andaliwa muda mrefu”
“Acha basi mimi nikapate kifungua kinywa, isitoshe kazi yenyewe ni mchana”
Nikaondoka katka chumba hichi na kuelekea katika meza ya chukula, muhudumu maalumua naye dili na swala la meza hii ya chukula akaniandalia kifungua kinywa.
“Thanks”
Nilizungumza na muhudumu huyu akasimama pembeni akinisubia nimalize kupata kifungua kinywa kisha yeye atasafisha meza. Sikutumia muda mwingi kupata hichi kifungua kinywa. Wasiwasi wangu ukaanza kurudi tena pale nilipo fikiria juu ya hii kazi ambayo tunakwenda kuifanya. Nikatamani kuzungumza juu ya hisia zangu ambazo ninahisi zitakwenda kutokea, ila nikakaa kimya na kujiaminisha kwamba mawazo yangu yana makosa. Nikarudi katika chumba na kuwakuta Mariam na Livna wakiwa wmasha jiandaa, wamevalia magauni marefu na nyenye mipasua mizuri, magauni hayo yamewafanya waonekene ni warembo sana. 
 
“Unaweza kuchahgua suti ambayo unaihitaji hapo”
Livna alizungumza huku akinionyesha sehemu suti nyingi zilipo ning’inizwa, nikaanza kukagua suti moja baada ya nyingine, nikapendezwa na suti yenye rangi nyeupe ambayo inavutia sana. Nikavua nguo nilizo zivaa na kuvaa sut hii nyenye shati lake jeupe pamoja ana viatu vyake vyaupe.  Livna akafungua kipochi kidogo na kutoa vifaa vitatu vidogo vya mawasiliano ambayo tunaviingiza kwenye masikio na nivifaa ambavyo si rahisi kwa mtu kuweza kuviona hata akisimama karibu  nami.
“Sina haya ya kuelezea kuhusiana na vifaa hivi?”
“Yaa”
Kila mmoja akavaa kifaa chake sikioni mwake, Livna alipo hakikisha kwamba mawasiliao kati yetu sote watatu yapo vizuri akatukabidhi kila mmoja kiboksi kidogo cha plastiki, tukavifunua na kukutana na mboni za bandia, kila mmoja ikambidi kuweka mboni hizi za bandia ambazo zinabadilisha muonekano wa macho.  Baada ya kuziweka sawa mboni  hizi za macho Livna akatupa saa zinazo tofautiana.
 
“Dany hiyo saa yako, unaweza kuitumia kama silaha, unapo minya hapa pembeni inatoka kijisindano chenye sumu moja kali ambayo ukimchoma nayo mtu, ndani ya dakika mbili anakuwa amekauka na kukakama kama mti mkavu”
Nikajaribu kuminya batani ambayo Livna amenieleza, na kweli kikatoka kisindano kidogo ila chenye ncha kali sana.
“Mariam hiyo saa yako inaweza kutoa vitone vitu tu, vya sumu ambavyo vikidogoka mwilini mwa mtu, cha kwanza ni lazima kupoteza kumbukumbu na pili sumu yake inamuua taratbu. Kuwa makini katika hilo”
“Sawa”
“Hatutumii bastola?”
“Hatuwezi kutumia sila yoyote zaidi ya hii mikono yetu, nilicho weza kuwasaidia mimi ni hizo saa, ambazo kwa nje zinaonekana ni saa ila nii silaha hatari sana. Kikubwa ni sisi kuwa makini”
“Sawa Livna”
Nilizungumza huku nikitabasamu.
“Tutakwenda kwa dakika stini, dakika abobaini na tano za mwanzo ni za kusoma mazingira, kuweza kuwafahamu ni wasichana wangapi wamekaa karibu na Madouk, wangapi ambao  wanaweza kuwa ni hatari kwetu.”
“Na hizo dakika kumi na tano zilizo baki?”
“Hizo ni dakika za kuahakikisha tunaondoka na Madouk akiwa salama, pasipo kufanya hivyo basi uweze kutambua tutashindwa kufahamu ni nani anaye husika nyuma ya Madouk”
 
“Mmmmm”
“Unaguna nini Dany?”
“Ahahaaa nimeguna hayo mambo ya Madouk, hivi si mungenipa hata picha yake, kwa maana anaweza kumuona na usimtambue kwa haraka”
“Dany wewe ulikuwa mpelelezi wa seriklali, ninaamini mumefundishwa mambo mengi sana, kwa hili sidhani kama utalishindwa”
“Ok nimekuelewa mkuu”
Nilizungumza huku nikitabasamu. Tulipo hakikisha kwamba kila kitu kipo sawa, tukatoka nje nakuingia kwenye gari mbili tofauti za kifahari, mimi nikapanda gari moja na Mariam kisha Livna akaingai kwenye gari jengine na kutangulia mbele na yeye ndio anaye tuongoza huko tunapo elekea.
“Mbona unaonekena kama una mawazo?”
Mariamu aliniuliza huku akiendelea kuendesha gari.
“Moyo wangu unasita sana kuifanya hii kazi”
“Kwa nini?”
“Yaani ninahisi kama kuna jambo baya linakwenda kutokea mbele huko”
“Dany acha woga, kila jambo mtu unatakiwa kupambana kuhakikisha kwamba unafanikiwa katika kile unacho kihitaji kukifanya”
 
“Ni kweli, ila hadi sasa hivi nina maswali mengi ambayo ninahitaji kumuuliza baba”
“Maswali gani?”
“Ahaa ni maswali binafsi ya kifamilia”
“Inabidi ukipata muda uweze kukaa naye chini na kuzungumza naye kwa kina”
“Yaa ngoja tumalieze hii kazi kisha kila kitu nitaanza kukifwatilia”
sUkimya ukatawala tena ndani ya gari, tukiwa tumesimama kwenye foleni ndefu ya magari. Macho yangu nikaendelea kuyapatia chakula cha kutazama majengo ambayo yamejengwa kwa ustadi mkubwa.
“Hivi Tanzania itakuja kuwa kama hivi lini?”
“Ahaa hadi ije kuwa kama hivyo, basi wapite maraisi kama nane hivi na wote wawe wawajibikaji kama raisi huyu wa sasa”
“Mmmmm”
“Mbona unaguna?”
“Naguna kwasababu huju kama raisi amekaliwa kooni na K2, hata ile mikataba uliyo iona ndio ilizidi kuliweka taifa katika wakati mgumu”
“Ila si kosa la raisi, ni kosa la K2”
“Ndio, kikubwa raisi anahitaji msaada, kumuwezesha katika harakati zake za kulijenga taifa”
“Kweli. Kusema kweli ninaipenda sana nchi yangu, muda mwengine tulikuwa tunafanya kazi za kuisalitii nchi kwa ajili ya woga wa kuhofia kifo”
 
“Hivi ile siku munakwenda kuyatege yale mabomu uwanja wa taifa ulijisikiaje?”
“Ahaaa nlilia kama lisaa moja kabla ya kwenda kuanza kuifanya ile kazi, nilizikabidhi roho za watu ambao wangekufa mikononi mwa Mungu, japo kiupande mwengine nilikuwa ninasali atokee hata malaika ambaye angeweza kuepusha lile swala na kweli ukatokea wewe”
“Tumefika, acheni stori, akili zenu muziweke kwenye kazi na kile kitu kiende kwa jinsi tulivyo panga na sitegemei kuona makosa yanajitokeza kati yetu”
“Sawa mkuu”
Nilimjibu Livna kupitia kifaa hichi maalumu ambavyo vipo masikioni mwetu. Baada ya magari kusimama sehemu maalumu ya maegesho tukashuka kwenye gari, Maria akazunguka nilipo simama na mkono wake wa kilia akauingiza kwenye mkono wangu wa kushoto. Muhudumu wa hii hoteli inapo fanyika sherehe hii akatufwata, akatukaribisha huku akitangulia mbele kutuonyesha ni sehemu gani tunayo paswa kuweza kuingia.
Mariam akatoa kadi nzuri ya kuingilia katika sherehe hii ambayo ikapokelewa na baunsa mmoja aliye jazia, akaitazama kadi hii kisha akamipiga muhuri na kumrudishia Mariama na kuturuhusu kuingia ndani ya ukumbi huu.
 
    Watu wengi wanao onekena ni matajiri wamezagaa kila eneo la hoteli hii, huku wengi wao wakiwa wamesimama na glasi zenye vinywaji wanavyo vitumia. Muhudumu wa kike aliye beba glasi zenye vinywajia akasimama mbele yetu, kila mmoja akachukua glasi yake na taratibu tukaanza kunywa vilevi hivi.
“Kuweni makini kwa kila kitu munacho kunywa”
Livna alizungumza nasi akiwa amesimama mbali kidogo na sehemu tulipo simama.
“Sawa”
Sherehe ilazidi kusonga mbele huku kukiwa na waimbaj wa kikorea, wanao tumbuiza nyimbo kwa lugha yao. Muda wote ambao nipo hapa ukumbini macho yangu yakawa na kazi ya kutazama kila sehemu kuhakikisha kwamba ninagundua ulinzi ulio imarishwa sehemu hii ni wa aina gani. Kusema kweli  japo nimefanya kazi za kuimarisha ulinzi hadi wa kumlinda raisi, ila hadi muda huu sifahamu mgeni mualikwa ni nani na mlinzi ni nani jambo linalo zidi kunipa wasiwasi mwingi.
“Hivi umegundua mlinzi hadi sasa hivi ni nani kwenye huu ukumbi?”
Nilimuuliza Mariam huku nikiwa nimemkumbatia tukicheza mziki huu wa taratibu unao imbwa na bint wa kikorea.
 
“Hata mimi sijagundua”
“Muhusika umemuona?”
“Sijamuona”
“Livna tupe ripoti”
“Sijaona, kaeni hapo mulipo”
“Kwa nini?”
Livna hakujibu swali letu, na kila nilipo mtazama kama ninaweza kumuona ndani ya ukumbi, sikuweza kumuona. Nikamminya Marima kiunoni mwake baada ya kuwaona wasichana wawili wakiwa wanakuja sehemu tulipo simama tukiwa tunacheza. Mariam kwa utaratibu akageuka na kuwatazama.
“Dany hii hatari”
Mariam alizungumza huku akiniachia mwili wangu, wasichana hawa walio valia mavazi yanayo fanana, kitendo cha kutukaribia tu wakaanza kurusha mateke mfululizo yaliyotufanya tujipange kwa mashambulizi.
Wageni waliopo wakaanza kukimbia mfululizo ndani ya ukumbi huu. Kusema kweli kwenye maisha yangu yote huwa sipendani kupambana na mwanamke, ila inapo fikia hatua inabidi mtu kuweza kufanya hivyo japo wasichana hawa wanavisu  ambayo kama ukileta uzembe nilazima wakuchome navyo,
“Mariam mbona sielewi kinacho endelea?”
 
“Hawa ni wezangu ambao  nilikuwa nao kambini kule”
Mariam alizungumza huku akiendelea kujitahidi kumuhimili msichana anaye pambana naye. Kidogo msichana niliye naye kidogo ninamuhimili hata muda mwingine ninatimia nguvu kumdhibiti.
Wasichana hawa tukawahimili na kuwatembezea kichapo kikali kilicho wafanya waanguke chini na wajitahidi  kunyanyuka. Mariam akazungumza maneno kwa kutumia lugha ya kifaransa akionekana kuzungumza na hawa wasichana. Msichana aliye kuwa akipambana naye alizungumza huku akimwagikwa na damu puani na mdomoni mwake.
“Anamaanisha nini?”   
“Dany tumekwisha”
Mariam alizungumza baada ya msichana huyo kuzungumza maneno hayo.
“Anasemaje?”
“Wamekuja wengi sio wao na huu ni mtego”
“Mtego kivipi?”
Tukaona kundi kubwa la wasichana wakiingia katika ukumbi huu wakiwa na silaha za kupigania wamezishika mikononi mwao. Tukiwa katika kuwashangaa shangaa huku wakituzunguka, tukamuona Livna Livba akiwa amepishwa na wasichana hao na kusimama mbele yao akitupigia makofi.
“Safi safi safi sana”
 
Livna alizungumza huku akipiga makofi ya dharau, akamtazama Mariam, akaanza kumpandisha na kumshusha kisha akanitazama mimi.
“Ulihisi baba yako anaweza kunitumikisha mimi?”
Maneno ya Livna yakabaki yakiwa yameniduwaza kabisa, kwani kupitia baba yangu nimemfahamu Livna na tumemchukulia ni kama mwalimu kwetu kwa mafunzo ambayo alitupatia.
“Siwezi kuisaliti familia yangu kwa ajili ya mtu mmoja. Kule ndipo nilipo lelewa na nikawa mimi Livna Livba”
“Livna kwa nini unafanya hivyo?”
Mariam aliuliza huku machozi yakimlenga lenga.
“Wewe ni familia yetu, unatakiwa kurudi kambini kwetu ukapokee adhabu yako”
“Nitapambana hadi kufa na si kurudi kwenye ile meli na kwenda kuishi kama mfungwa kwenye mateso makali ya mapambano”
“Waooo maamuzi mazuri sana. Au unapambana kwa ajili ya huyu Malaya Dany, aliye lala na wasichana wengi jana usiku na leo unaseme unampenda?”
Mariam akanitazmaa kwa macho ya kushangaa, nikatingisha kukataa kwamba sijafanya.
“Natambua ya kwamba waswahili nyingi ni wabishi, ngoja uone”
 
Livna akakabiziwa rimoti ya Tv na binti mmoja, akawasha Tv kubwa iliyopo hapa kwenye ukumbi. Nikaona video nikiwa nimelala na wasichana wale wa jana usiku, video hii iliyo rekodiwa na simu, ikaonyesha jinsi Livna anavyo nifunikka na shuka na nikabebwa na baunsa mmoja na kutoka chumbani humo huku wasichana nilio lala nao wakiacha kitandani.
“Huyo ni mwanaume wa kuwa naye anaye tomb** wasichana hadi anashindwa kujitambu?”
Livna aliendelea kuzungumza naneno ambayo yalizidi kukasirisha Mariam ambaye ninatambua kwamba ana nipenda. Taratibu Mariam akapiga hatua mbili mbele  na kuniacha mimi nyuma.
“Mari…..”
Kwa jicho alio nitazama nalo Mariam nilijikuta nikinyamaza kimya, Mariam akaachia msunyo mkalia na kumsogelea Livna sehemu alipo simama.
“Sipambani kwa ajili ya huyu mwanaume, ila ninapambana kwa ajili ya uhuru wangu”
Mariam baada ya kumaliza kuzungumza maneno hayo, akamtandika Livna kichwa kizito cha pua, na kumfanya ainame chini huku akitoa mlio wa maumivu, kitendo kilicho pelekea wasichana wota hawa kuanza kutushambulia kwa hasira kali.
 
 ITAENDELEA

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts