Home » » Majizo Amtakia Lulu Kheri kwa Siku ya Wanawake Duniani.

Majizo Amtakia Lulu Kheri kwa Siku ya Wanawake Duniani.

Written By Bigie on Friday, March 9, 2018 | 11:04:00 AM

Inaweza kutika huzuni kidogo unapoona mtu amemkumbuka mtu anaempenda lakini hawezi kuwa nae  karibu kwa muda huo kwa sababu mbalimbali.

Hii imetokea katika siku ya wanawake Duniani ambapo Dj maarufu bongo na meneja wa Efm Majjizo alipoamua kumtakia mpenzi wake  Elizabeth Lulu  Michael kheri kwa siku ya kusherekea siku ya wanawake Duniani akiamini kuwa siku moja atakuja kusoma ujumbe huo.

Majizo na Lulu ambao walikuwa wapenzi kwa kipindi kirefu, mpaka Lulu anapata kifungo chake cha kutumikia jela kwa muda wa miaka miwili ameomyesha hisia zake za kumtakia kheri lakini pia kumuonyesha ni jinsi gani ambavyo amekuwa akijua mchango wake kama mwanamke jasiri aliyewahi kutokea katika maisha yake.

katika ukurasa wake wa instagram , Majizo aliandika“in life all people may probably be necessary Vvery useful if everything goes right or wrong.You are very important because you can be strong in all situation.Happy women’s day#utakujakuisomaoneday.

Lulu alihukumiwa mwaka uliopita kutumikia kifungo cha miaka miwili jela baada ya kukutwa na hatia ya kuua bila kukusudia.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts