Home » , » Pam D Aonyesha Huzuni Yake Kwa Mke wa Roma.

Pam D Aonyesha Huzuni Yake Kwa Mke wa Roma.

Written By Bigie on Friday, March 9, 2018 | 10:17:00 AM

Ikiwa ni kama wiki tu imepita tangu msanii ibrahim mussa kufungiwa kufanya kazi za muziki na naibu waziri wa habari, utamaduni ,sanaa na michezo baada ya kuchunguzwa kwa wimbo wake wa kibamia na kuonekana kuwa hauna maadili na umekuwa na maneno yenye matusi ndani yake msanii mweznake na roma pam d, amefunnguka na kusema kuwa amekuwa akisikia huzuni sana hasa kwa mwanamke wa msanii mwenzake kwa sababu ni mjamzito.

Pam D anasema kuwa pamoja na kwamba kwa sasa yuko busy na kutoa wimbo wake mpya lakini baada ya kusikia taarifa hizo alishtuka sana na amekuwa akimfikiria mke wa roma kama yeye ameshtuka hivyo je mke wake ambae yuko katika stage ya mwisho ya ujauzito atakuwa na hali gani sasa.

"Hii ishu imeniumiza sana kwa sababu maisha ya Roma yanategemea muziki tu, na kipindi hiki amekuwa akifanya kazi sanahasa kwenye shoo ili aweze kupata ela ya kumtunza na kumlea mama na mtoto ambae anaenda kuzaliwa hivi karibuni, daah namuonea huruma sana Nancy na namuombea ajifungue salama na hili nalo litapita.

Mpaka Roma anafungiwa , hakuwepo nchini tanzania na hivyo kushindwa kushughulikia swala hilo lakini wasanii wengi waliumizwa na adhabu hiyo akiwemo Fid q ambae alihaidi kuzungumzia swala hilo na Baraza la Sanaa ili kuiangalia upya adhabu ya msanii huyo.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts