Home » , » TANGA RAHA- Sehemu ya Ishirini na Moja ( 21 )

TANGA RAHA- Sehemu ya Ishirini na Moja ( 21 )

Written By Bigie on Monday, March 5, 2018 | 10:47:00 AM

AGE………………18+
WRITER…………EDDAZARIA G.MSULWA

ILIPOISHIA

“Yaani kaka yangu hapa sijui nifanyaje nimeomba ruhusa ya kumuuguza mume wangu ila hata hamu ya kwenda huko hospitalini sina”
Habibi alizungumza huku taratibu akijisogeza nilipo huku akiendelea kulia na taratibu kichwachake akakilaza kwenye mapaja yangu na mkono wangu mmoja nikauweka kwenye ziwa lake na kuliminya kumfanya astuke na kunitazama kwa jicho kali la hasira
 
 ENDELEA
“Ohh samahani dada yangu”
Nilizungumza huku nikiutoa mkono wangu kwenye ziwa lake na taratibu Habiba akajinyanyua kutoka alipo jilaza kwenye mapaja yangu na kukaa kitako
“Samahani tena dada yangu kwa kukushika......”
“Usijali kaka yangu ila kwa sasa ninaomba mimi niondoke”
“Sawa hakuna shaka”
 
“Naomba unipe namba yako ya simu”
Nikamtajia Habiba namba zangu kisha na yeye akataja zake nikajaribisha kuzipiga kabla hajatoka na simu yake ikaita
“Kaka hivi nisave nani?”
“Save Eddy”
“Mmmmm”
“Mbona unaguna”
“Yaani majina ya Eddy sina imani nayo kabisa tangu mume wangu aniafanyie hili tukio nimetokea kuyachukia kupita maelezo”
“Kwani anaitwa nani?”
“Ana mjina mbaya kama huo wako wa EDDY”
    Nikabaki nikicheka Habiba akajiweka sawa nguo zake na kutoka chumbani na kuniacha nikijiliaza chali kitandani huku nikiikariri namba yake kwa kwichwa ili isiwe rahisi kuisahau.Nikanyanyuka na kufunga mlango kwa funguo kisha nikarudi kitandani huku nikijitahidi kuutafuta usingizi kwa juhudi zote.

Nikachukua mto mmoja nikaukumbatia huku nikiuwekea mguu kwa juu ndani ya dakika tano nikaanza kuhisi nilicho kikumbatia sio mto ila kinaendana na umbo la mtu.Nikakurupuka na kujitoa mikononi mwa msichana mzuri aliye kaka kitandani huku akiwa na night dreas tu na katika kumbu kumbu zangu nilimuona huyu msichana siku yangu ya kwanza alipo nitokea Olvia Hitler na alikuwa ni miongoni mwa wasichana aliye kuwa akimpepea na kitu kinacho fanana na mkia wa Simba
“Usiniogope kwani sikuja kwako kwa mabaya”
“Wewe ni nani?’
“Unanfahamu ila itanibidi nijitambulishe jina langu”
“Sasa jamani mutanniua mimi”
“Huwezi kufa.....kwanza mimi ninaitwa Vicky ni jina ninalo litumia nikiwa ulimwenguni ila nikiwa nyumbani nina jina langu”
Sikuweza kuogopa sana kutokana nimesha wazoea hawa viumbe ambao wananiandama tangu nilipo hamia katika nyumba yangu mpya
 
“Mtakatifu Olvia Hitler amenituma nije kukupa ujumbe huu”
“Ujumbe gani?”
“Yeye kwa sasa hayupo katika maeneo unayo ishi amekwenda nchini kwetu kwa ajili ya mazungumzo na baba yake mzazi”
“Haya nashukuru.....Jibadilieshe na uniachie mto wangu”
“Hapana kuna kitu nahitaji kutoka kwako”
    Vicky akanifwata kwa kasi na ndani ya dakika moja nikajikuta nipo kama nilivyo zaliwa kisha taratibu akaanza kuninyonya mdomo wangu hapo ndipo nikagundua ladha iliyopo kwenye mate ya mwanadamu na jini.Vicky akaivua nightdreas yake na kuimalizia nguo ya ndani kisha akanipandisha kitandani
“Unataka unione kama nani?”
“Kivipi?”
“Unataka unione katika muonekano kama wa  msichana gani unaye mpenda duniani?”
“Mmmmmm Angelina Jolie”
Ndani ya sekunde kadhaa Vicky akageuka na kuwa kama Angelin Jolie mwan mke mwenye mvuto wa kudumu duniani ambaye ni mcheza filamu maarufu nchini Marekani na duniani kwa ujumla na nikabaki nimeduwaa
 
“Ume fanyaje fanyaje......!!?”
“Unataka na wewe ujue?”
“Ndio”
“Tumalize kwanza alafu nitakufundisha”
    Vick akiwa katika muonekano wa Angelin Jolie akaishika koki yangu na kuikalia na shuhuli ikaanza huku moyoni nikijikuta ninasahau kama huyo ni jini na anacho kifanya ni kitu cha kuiba utamu wa Rahma na Olvia mbaye hadi sasa hivi hakuwa wazi kwangu
“Potelea pote tutajua mbele ya safari”
   Nilizungumza kimoyo moyo huku nikiendelea kuminya kiono cha Vicky na kwajinsi ya wembamba alio nao Angelin Jolie ikazidi kunipa hamasa ya kuzidisha kasi kwani kila ninavyo muweka anakwenda.Nikazidi kugundua kuwa katika hali ya kawaida wanawake ambao ni binadamu wanautamu wao na hawa majini nao wana utamu wao ambao umewazidi kwa kiasi kidogo japo sio sana.Mechi ikaendelea huku Vicky akitoa miguno kama ya raha na kadri nilivyo zidi kuongeza kasi ya kumburudisha Vicky ndipo akaanza mchezo ulio anaza kunikosesha imani na yeye
 
   Sura zake zikaanza kubadilika taratibu kutoka sura moja hadi nyingine na nyingi ni zawaawake maarufu duniani akiwemo Beyonce na Nick Minaj nikazidisha kasi na akabadilisha sura yake na kuwa Rihana na nikazidi kuongeza kasi ili nifurahie kuziona sura za watu wanao fwata.Mapigo yakaanza kudunda kwa kasi na kujikuta nimeduwaa kama nimegandiswa na rimoti kwenye Tv hii ni baada ya kuiona sura yangu ikiwa inanitazama huku ikiwa na macho ya kike yanayo nirembulia kiasi kwamba nikabaki nimetulia
“Vipi mbona uendelei?”
Vicky aliniuliza huku sauti yake ikiwa kama yangu na zinafanana ila tofauti iliyopo kati yetu ni miili tu, Kwani Vicky mwili wake umebaki kama wa Angelin Jolie ila kwenye sura yake ndio ipo sura yangu.Vicky akacheka kwa kicheko cha ajabu na kuishika koki yangu na kuikalia tena vizuri na kuanza kuikatikia huku nikiwa nimelala  chali.Taratibu akaanza kukishusha kichwa changu ili nimbusu na gafla sura yake ikabadilika na kuwa mbaya ya babu mzee wa miaka 85 kwenda mbela na galfa nikajikuta nikipoteza faamu

             ***
 Kwa mbali nikahisi mlango ukigogwa kwa nguvu nikapapasa papasa kwa kutumia mkono wangu na kugundua nipo juu ya godoro,nikafumbua macho yangu huku kichwa kikiwa kinaniuma sana.Nikakaa kitako na kujikuta nipo kama nilivyo zaliwa.Saa ya ukutani inaonyesha ni saa nane mchana nikanyanyuka  na kujifunga taulo na kwenda kufungua mlangoni na kukutana na watu wasio pungua kumi huku kati yao wakiwemo askari watatu,meneja aliye nionyesha jana Habiba na wafanyakazi wengine wa hoteli hiyo na walipo niona wote wakashtuka
 
“Yupo hai”
Mmoja alizungumza huku akininyooshea kodole na kunifanya nizidi kushangaa
“Vipi kwani?”
Nilizungumza kwa sauti nzito iliyo jaa mikwaruzo ya makoozi  na kuawafanya watu waliopo mlangoni kutazamana tazamana huku wakitupiana swali nililo wauliza
“Wewe ni bwana Eddy si ndio?”
Polisi mmoja aliniuliza huku akiwa ananitazama kwa macho makali na mimi nikabaki nikimtazama kwa macho yaliyo jaa usingizi mwingi
“Ndio”
“Sisi tulipata taarifa leo asubuhi kwamba kuna mteja wao ambaye ni wewe amefariki ndani ya chumba hichi”
Nikastuka na wenge lote la usingizi likakata na kuendelea kumsikiliza askari huyu anaye zungumza kwa lafudhi ya kikurya
 
“Basi sisi tukaja hapa kwa lengo moja ili tuchukue maiti na hapa tulikuwa tunamsubiri huyu meneja ili  atupe ruhusa tuvunje hilo limlango”
“Kwa nini mulinihisi nimekufa?”
“Kwani nikawaida ya muhudumu wa usafi kufanya usafi pale ifikao saa nne asubuhi kwenye vyumba vya hoteli na kwawakati huo mteja unatakiwa kuwa nje ila ni tofauti na wewe uliye kuwa ukigongewa mlango na hufungui hadi sasa hivi”
“Sijafa nashukuru”
    Nikaufunga lango na kuacha minongono ikiendelea mlangoni nikapitiliza moja kwa moja hadi bafuni nikajitazama kwenye kioo huku nikiwa ninauchunguza mwili wangu na sikuona mabadiliko ya aina yoyote.Nikafungua bomba la maji ya mvua na kuoga kisha nikarudi chumbani kwangu na kuvaa nguo zangu na kutoka nje na sikukuta mtu mlangoni ila kilicho nikosesha raha ni baadhi ya watu kunitazama huku wakininyooshea nyoshea vidole huku wengine wakinong’onezana.Nikaondoka eneo la Hoteli na kwenda moja kwa moja sehemu moja inayo itwa Forodhani ambapo ni sehemu ya watu kupumzika na ili kutafakari maisha yao na unaweza kujipatia chakula kutoka katika mgahawa ulipo eneo hili huku ukiitazama bahari kwa mbali kidogo
 
Nikakaa kwenye meza ya kwangu peke yangu na kununua gazeti kwa muuza magazeti aliyepita karibu yangu na kusubiria niletewe supu niliyo iagiza kwa muhudumu wa eneo hili,Nikaanza kusoma gazeti ambalo ni la michezo nikafungua kurasa moja baada ya nyingine huku nikitafuta ni sehemu ipi yenye habari nzuri ili nisome.Moyo ukaanza kudunda taratibu baada ya kuiona picha ya Angelin Jolie akiwa na mume wake Brand Pitty na kujikuta nikizikumbuka sura za jana usiku.Nikafungua kurasa ya mbele na kujikuta nikizidi kuliona gazeti ni chungu.Hii ni baada ya kuiona sura ya Beyonce na Nick minaj picha hizi zikiwa zimeandikwa maandishi yaliyo zidi kunipa hofu
‘BEYONCE KATIKA SURA MOJA NA NICK MINAJI’
“Samahani kaka hichi kiti kina mtu?”
Ikanilazimu kusha gazeti kidogo ili niweze kumuona mtu anaye nisemesha na kukutana na sura ya dada mmnene kiasi aliye valia baibui jeusi huku akiwa amejipara ma kuifanya sura yake izidi kuwa kuwa nzuri
 
“Hakina mtu?”
“Ninaweza kukaa?”
“Ndio”
Nikaachana naye na kuendelea kulisoma gazeti langu,muhudumu akaniletea supu yangu nikaanza kuinywa taratibu huku nikiendelea kulisoma gazeti langu katika upande wa hadisi za muandishi mashuhuri Tanzani E.J.Shigongo
“Samahani kaka unaweza ukanipa ukurasa wan je?”
Nikamchomolea ukurasa wa nje na mimi nikaendelea kutiririka na story iliyoanza kunipoteza mawazo yangu na kusahau kipindi kigumu cha maisha ninacho pitia.Nikajikuta nikicheka mweyewe baada ya kukuta kisa kilicho niacha nifurahi
“Ahaaa huyu jamaa nom asana”
Nilijikuta nikijisemea mwenyewe na kumfanya dada wa watu kuacha kusoma anacho kisoma na kuniuliza
“Mbona unacheka?”
“Kuna jamaa kwenye hii story ya Shingongo amenifurahisha sana”
 
“Ahhh ila huyo kaka anajua kuandika sana story?”
“Tena sana huwa ninamkubali sana sijui kama kuna  mtu anaweza kumfikia jamaa kwa maana anakuteka kihisia na kujikuta unacho kisoma kinapita kama mkanda wa video kwenye akili yako”
“Ndio ila kuna jamaa mmoja hivi nilizikuta story zake facebook naye akijitahidi anaweza akamfikia Shigongo”
“Kwa Tanzania hakuna anaye muweza huyu jamaa”
“Kaka huyo kaka ninaye kuambia anaandika stori nzuri kiasi kwamba unajikuta unafurahi?”
“Anaitwa nani?”
“Anaitwa Eddazaria G.Msulwa ana page yake inaitwa Story za Eddy humu ndani kunastory nzuri balaa”
“Mmmmm hao waandishi ubwabwa hawawezi kufika level za huyu jamaa”
“Una account ya Facebook?’
“Sina”
“Ndio maana unabisha ila kwa huyu jamaa ninaye kuambia ana uwezo mkubwa”
 
“Ahhh hao waandishi wa Facebook wengi wao mawazo yao finyu kama kidole cha mwisho huwa hawana jipya”
“Wee kaka unadharau kweli mimi nakuambia huyo jamaa anakipaji cha tofauti na wengine ambao nimewahi kuzisoma story zao.....Kama huto jali ngoja niingie sasa hivi Facebook nikuonyeshe hizo story”
“Powaa”
Nikaendelea kusoma story huku nikisubiria dada akiminya minya simu yake kubwa na wengi wetu tumesha zoea kuziita screen touch.
“Ehee hizi hapa nimezipata”
Dada akanipa simu yake kabla sijaanza kuzisoma simu yake ikaita na jina lililojitokeza ni My husand(mume wangu) ikanibidi nimrudishie simu yake na akaanza kuzungumza na mtu wake
“Baby jamani mbona nimefika muda mwingi sijakuona”
“Mimi nimekaa hapa chini kwenye mti nipo na kaka mmoja hivi amevaa shati jeusi”
“Jamani wewe mwanaume una wivu....Haya naondoka”
“Sawa jamani naondoka natafuta pa kukaa”
Dada akakata simu na kunitazama huku akishusha pumzi nyingi
“Mume wako anaoenekana na wivu sana ehee?”
“Wee acha hapa nimemuambia nimekaa na mwanaume basi anataka nihame.....Acha nifanye hivyo kaka yangu kwa maana akinikuta hapa anaweza akanipiga vibao mbele za watu”
 
“Sawa mwaya”
“Asante kwa gazeti na ukarimu wako”
“ Na wewe pia asante kwa kampan yako”
“Ila kaka nakushauri wewe jiunge na Facebook usome story za huyu jamaa alafu bado ni bwana mdogo sana”
“Ahaaa kumbe yeye mwenyewe bado ni mdogo na nyinyi munazisoma story zake?”
“Udogo sio ishu ila anashangaza kwa jinsi ya story zake zilivyo tamu”
“Haya mwaya”
Tukapeana mikono na dada niliye kaa naye kisha akaenda kukaa kwenye meza nyingine na ndani ya dakika mbili kuna jamaa akakaa kwenye kiti kilichopo kwenye meza aliyopo yeye huku akionekana akiwa na hasira na akaanza kufoka foka na kila kitu anacho kizungumza kinahusiana na yeye kukaa na mimi
“Sasa jamani kukaa tu na mwanaume ndio unanifokea fokea kiasi hicho mbele za watu?”
“Kwanini ukae naye hukuona meza zote hizi?”
“Zilikuwa zimejaa watu”
 
“Wewe mwanamke Malaya sana na yule bwege pale ndio anakutia jeuri na kujifanya unanipandishia sauti?”
Jamaa alizungumza huku akininyooshea kidole mimi ikanibidi niliweke vizuri gazeti na kuwatazama jinsi wanavyo jibizana
“Hembu muache kaka wa watu wala yeye hausiani na mimi kukujibu wewe....Ila ukweli ni kwamba mwanaume wewe una gubu.Unadhani nilivyo kaa naye ndio amenivua chupi?”
“Wewe mwanamke nitakuwasha makofi sasa hivi mbele za watu”
“Mimi si nimeshakuwa ngoma yako hata ukinipiga unadhani nitashangaa.Wewe nipige tuu”
      Watu wa meza nyingine waliacha kufanya wanayo yafanya na tukaendelea kuutazama ugomvi ila kwangu nikajikuta moyo wangu ikiniuma kwa jinsi  jamaa anavyo mgombesha mpenzi wake pasipo kuwa na sababu ya msingi.Jamaa akamzaba mpenzi wake kofi ambalo lilisikika vizuri kwa watu tulio karibu na meza yao.Nikashindwa kuvumilia nikaliweka gazeti mezani na kwenda hadi kwenye meza walipo wao
 
“Na wewe Chok* umefwata nini hapa?”
Jamaa alaizungumza huku akiwa anahema kwa hasira na mbaya zaidi mimi ni mrefu na jamaa ni mfupi kiasi kwamba nikawa ninamtazama kama mtoto mdogo
“Acha kuwanyanyasa wanawake hujui hawa ndio wazazi wetu”
“Wewe fala nini...Nani awe na mama Malaya kama huyu mwanamke hapa?”
“Rama mimi leo unaniita Malaya........”
“Wewe Malaya na wazazi wako wotee Malaya munakazi ya kukalia umasikini wa kuomba omba”
“Nashukuru mimi ni masikini bora na wewe kwenu mulio matajari ila ninaona hapo ulipo fikia kunatosha ni bara tuachane”
Dada wa watu alizungumza huku akimwagikwa na machozi kiasi kwamba nikazidi kumuonea huruma
“Oya kaka hembu kuwa mstaarabu,usimtukane mwenzoko ni maswala ya kukaa chini na kuyamaliza kumbukeni nyinyi ni wapenzi”
 
“Wee niaje kwanza juu wewe ndio muhusika wa hili swala alafu unaniletea michongo yako ya kiseng* seng*”
“Powa ila tazama jinsi munavyo jizalilisha mbele za watu”
“Hayakuhusu.......Wewe Malaya si umesema tuachane sasa lete hiyo simu niliyo kununulia,cheni,herein na saa vyote nivulie”
Dada wa watu akaanza kuvua kitu kimoaja baada ya kingine huku akilia ikanibidi nimzuie asiendelee kuvivua
“Kwani vitu vyote hivi vina gharimu shilingi ngapi?”
“Wewe vipi......Huna pesa ya kunilipa”
“Sema ni shilingi ngapi nikulipe?”
“Laki nne na nusu”
“Subiri”
Nikafungua waleti yangu iliyo jaa pesa alizo niachia Rahma kisha nikaanza kumuhesabia kiasi anacho kihitaji kisha nikamuwekea juu ya meza na jamaa akabaki ameshangaa
“Unashangaa nini chukua pesa zako uondoke”
Jamaa akazichukua na kuzihesabu na kukuta zipo kamili kisha akamtazama mpenzi wake anaye lia 
 
“Wewe ingekuwa si huyu jamaa ningekuvua hadi chupi”
Dada akataka kuzungumza ila nikamziba mdomo na kujua kitakacho endelea hapo kitakuwa nai fujo.Jamaa akaondoka na kuwaacha watu wengine wakimshangaa huku akionekana mshamba.Nikamshika mkono dada na kurudi naye kwenye meza tuliyo kuwa tumekaa naye na nikapata kazi ya kuanza kumbembeleza hadi akanyamaza
“Hivi yule jamaa yako ana akili vizuri?”
“Hana hata kidogo”
“Sasa na wewe imekuwaje ukawa naye mwanume kama yule?”
“Kaka yangu wee acha tuu ni mambo ya dunia ndio yananifanya nikajikuta nipo naye”
“Kwanza umekula?”
“Sijala kaka yangu....hapa ninapo zungumza nina mia tatu ya dala dala tu kwani tulipanga na jamaa tuje tukatane hapa ili anipe pesa za kuitunza familia yangu”
“Pole kwa hilo”
Nikamuita muhudumu na dada akaangiza chakula anacho ana kihitaji na baada ya muda kikaletewa chakula anacho kihitaji nikamuacha ale kwanza ndio tuzungumze.Akamaliza na akanishukuru kwa msaada nilio mpatia
 
“Kwa hiyo wewe unaishi na wazazi?”
“Ndio ila wazazi wangu ni wazee sana ambao hawajimudu kimaisha na mimi ndio mtoto wao wa pekee niliye bakia nikiwashuhulikia wengine wawili wa kiume ambao ni kaka zangu wamekuwa mateja na wala hawana muda wa kujishulisha”
“Mmm pole sana kwani unaishi wapi?”
“Ninaishi Magomeni”
“Mmmmm na wewe una mpango gani wa kimaisha kwa maana jamaa ndio hivyo amesha kuacha?”
“Yaani hata mimi sijielewi.....Ila kidogo ninafanya fanya kazi za kutengeneza dawa za miti shamba,Kazi ambayo alinifundisha baba ila kwa hapa mjini hailipi kutokana watu wengi wanakimbilia kwa wamasai na sisi watu wa kawaida hutuacha tukiwa na ujuzi mwingi kupita hata hao wamasai”
“Ahaaa sasa wewe unatengezeza dawa gani na dawa gani?”
“Dawa ya chango kwa wanaweke,dawa ya kuongeza nguvu za kimume,dawa za kufukuza majini na vimizuka daw...........”
“Ehee hapo hapo kwenye hiyo dawa ya kufukuza majini unaweza ukanisaidia?”
 
Ndio ukihitaji ninaweza kwenda kukuchukulia?”
“Wapi?”
“Nyumbani”
“Powa basi kama huto jali nikupe pesa ukodi boda boda ukanichukulie hiyo dawa”
“Sawa”
“Unaitwa nani?”
“Mwajuma”
“Sawa mimi ninaitwa Eddy”
    Nikatoa noti ya elfu kumi na kumkabidhi akaaondoka huku nikibaki na pochi yake kubwa ambayo sikutaka niufungue ndani.Ndani ya dakika 45 akarudi akiwa na kifuko cheusi na kuniomba twende nyumbani kwangu.Sikuwa na kipingamizi tukakodi bajaji hadi nyumbani kwangu nikafungua geti tukaingia na dereva bajaji akaondoka baada ya kumlipa.Tukafika sebleni na kushangaa kumuona mwenzangu akianza kuvua baibui lake na kubakiwa na skintait iliyo mchora umbo lake lililo jazia huku kifuani maziwa yeke  makubwa kiasi yakiwa yamezibwa na sidiria na kuyafanya yajichore vizuri.
 
Gafla akaanza kuzichangua nywele zake huku akipiga chafya za mfululizo kiasi kwamba nikaanza kumuogopa.Akasimama kwa muda akitazama mlango wa kuingilia chumabi kwangu na akaanza kunguruma kama Simba huku mwili wake akiutunisha misuli
“HAPA NDIPO KWENYE MLANGO WA KUINGILIA KUZIMU”
Alizungumza kwa sauti nzito ya kiume na sikujua ameitolea wapi,akanigeukia huku sura yake ikiwa imejikunja na kuufanya uzuri wake wote kama mwanamke kupotea
“TUNAHITAJI DAMU YAKO”
“Ehhhh......!!”
“DAMU YAKO”
Akaanza kupiga hatua zenye vishindo vya hali ya juu huku akinifwata taratibu,nikaona sio sehemu nzuri ya mimi kukaa nikachomoka kwa kasi na kuufungua mlango wa kutokea njee na kwapupa nilizo nazo zilizo chaganyikana na woga nikajikuta nikipiga mwereka mmoja mkali na kuanguka kifudi fudi kama mtoto anayeanza kutembea.Nikastuka zaidi baada ya kuona miguu ya watu wawili wakiwa wamesimama mbele yangu.

  ITAENDELEA


Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts