Home » , » TANGA RAHA- Sehemu ya Ishirini na Nane ( 28 )

TANGA RAHA- Sehemu ya Ishirini na Nane ( 28 )

Written By Bigie on Monday, March 12, 2018 | 12:48:00 PM

AGE………………18+
WRITER…………EDDAZARIA G.MSULWA

ILIPOISHIA

Gafla nikahisi kitu kiki nikuvutwa mguu kwa nyuma na nikageuza sura yangu nyuma kwa haraka kuangalia ni nini kilicho nigusa sikuona kitu cha aina yoyote na kujikuta nikitumia nguvu kujivuta mbele na kitu hicho kikaniachia na kustukia nikipoteza muhimili wa mwili wangu na kujikuta nikilala kwenye sehemu laini(signboard) ya juu kwenye chumba changu ambayo haiwezi kuhimili uzito wa mwili wangu na kujikuta nikipitiliza moja kwa moja na kuanguka chini ndani ya chumba changu na kutoa kishondo kizito

ENDELEA
Kufumba na kufumbua sikuona mtu yoyote ndani ya chumba changu zaidi ya Rahma aliye lala kitandani akiwa hajitambui na nikasikia kelele na vishindo vya wanandugu wa Rahma sebleni kila mmoja akijaribu kuokoa maisha yake nikajua kwamba hawakutarajia kuuona uwepo wangu ndani ya chumba changu tena kwa mfumo huu wa kuanguka kutoka darini.Nikanyanyuka japo sehemu ya mbavu za kushoto ninahisi maumivu makali ila nikajikaza na kuchungulia mlangoni  sikuona mtu yoyote akitokea sebleni.Kwa haraka nikaingia jikoni kwangu na kuchukua kifuko cha unga wa ngano na kujimwagia unga wote mwilini mwangu na nikausambaza vizuri usoni mwangu.Nikachungulia sebleni nikaona vivuli vya watu wawili wakiwa wanakaribia kuingia ndani huku wakinyata wakitaka kuchungulia ni nini kilicho tokea
 
“Let’s go”(twendee)
Nilijisemea kwa sauti ya chini na kuchomoka kwa kasi jikoni huku nikitoa mlio wa pikipiki aina ya XL Baja na kuwafanya watu waliokuwa wakinyata mlangoni kukurupuka na kuanza kukimbia kurudi walipo tokea huku baba Rahma nikimpiga kikumbo getini na kumbwaga chini na kuwafanya wamama walio simama nje baada ya kuniona wakatawanyika kwa woga na kila mmoja akashika njia yake na kusababisha nao pia kuapiga kelele.

Breki ya kwanza nikasimama ndani ya maji kwenye fukwe almaarufu kwa jina la JET na sikujali watu wamenichukuliaje.Japo kuwa siwezi kuogelea vizuri ila ikanibidi nipate ujuzi wa kupiga mbizi na kwenda mbali kidogo na ufukwe ulipo na nikakaa ndani ya maji huku nikiwa nimekiacha kichwa nje kwa ajili ya kuvuta punzi zaidi ya masaa manne hadi giza likatanda angani ndipo nikatoka ndani ya maji
Sikuwa na hamu ya kwenda nyumbini kwangu kwa maana nikahisi ni lazima watakuwa wananitafuta kwa udi na uvumba.Nikapiga mwendo hadi nyumbani kwa madam Zena huku nguo zangu zikiwa zimelowa.Nikagonga mlango kwa bahati nzuri akafungua madam Zena akiwa amevalia suruali na tisheti kubwa na akaonekana kunishangaa baada ya kuniona
 
“Ehhee Sir Eddy vipi mbona umelowaa?”
“Shosti wee acha tuu hembu twende tukayazungumzie ndani la sivyo yaliyo nikuta huko yasije yakanikuta na hapa”
“Ehee Eddy leo umeniita shosti......Haaahaaa kweli huko ulipo toka umevurugwa”
“Tena sijavurugwa kidogo...Nimevurugwa sana”
“Haya yaliyo kukuta ni yapi Shost yangu?”
Sikuwa na sababu ya kumficha madam Zena kwa maana endapo nikimficha ipo siku mambo yanaweza yakaniharibikia na akashindwa kunisaidia kabisa.Hadi na maliza kumsimulia Madam Zena akawa anacheka hadi machozi yanamtoka na kujikuta amekaa chini akiendelea kucheka
“E.....Eddy hapo kama ninakuona vile na hayo maunga yako”
“Wee nilikodi pikipiki ya Baja...yaani niliondoka na gia tatu badala ya moja au mbili na kwajinsi nilivyokuwa ninatisha hapakuwa na mganga wala hapakuwa na baba wa mtoto wote changu na mimi kiulaini nikasepe”
“Hii kali ya mwaka Eddy”
“Wee acha tuu najuta kuja Tanga?”
“Kwa nini?”
 
“Haya majanga unadhani ni madogo”
“Tatizo lako Eddy wewe hujatulia hadi wanafunzi wako”
“Bora na mimi kuliko huyo mkuu wako”
“Tena yule mzee ndio usiseme pale mulipo ondoka nimetoka kumsema sana huyu mfanyakazi wangu kwa maana nimeanza kuhisi kitu kati yake na yule babu....Kwa mfano ikatokea bahati mbaya akampa mimba huyu binti hembu sema mwenye huyo mtoto atakaye zaliwa atamuitaje yule mzee”
“ZOMBI”
Sote tukajikuta tukicheka kiasi kwamba tukasahau kama tulikuwa maadui.Madam Zena akanyanuka na kuingia jikoni na baada ya muda akarudi akiwa ameshika mapoti mawili na kuyaweka mezani akataka kurudi ndani nikamzuia
“Si unakwenda kuchukua sahaani?”
“Ndio”
“Ngoja nikusaidie wewe pumzika”
“Utajua ni wapi zilipo?”
“Nitajua ninakuonea huruma na huo mguu wako.....Sema nilete ngapi?”
“Leta ya kwako tuu na fungua hapo kwenye friji utaona jagi linajuisi njoo nalo kama huto jali njoo na glasi mbili”
 
“Powa”
Nikaingia jikoni na kubeba vitu vyote niliyo angizwa na kurudi navyo sebleni  na kuviweka juu ya meza
“Eddy hembu ngoja nikufanyie mpango ubadilieshe hizo nguo zako kwa maana umesha nitoteshea sofa zangu na mimaji yako”
“Tena hapo umesema lamaana kwa maana ninakaa kama nimejikojolea bwana”
Madam Zena akanyanyuka na kuingia kwenye chumba kimoja na kurudi akiwa ameshika taulo jeupe na kunirushia na nikalidaka
“Njoo nikuonyeshe bafu”
Akanionyesha bafu lililopo ndani ya nyumba yake
“Ngou zako utaziweka kwenye kindoo humo bafuni zitafuliwa kesho”
“Powa”
Nikaingia bafuni na kuoga huku matendo niliyo yafanya yakijirudia rudia akilini mwangu na kujikuta nikicheka mwenye
 
“Kuna vitu vingine mtu unaweza kusema ni vyakijinga kumbe vinasaidia saa nyingine”
Nikaendelea kusijisemea mwenye akilini na nikamaliza kuoga na kujifunga taulo na kurudi sebleni na kukuta madam Zena akiwa tayari amenipakulia chakula huku yeye akitazama filamu za kizungu na kujishushia kwa juisi yake.Nikaliweka taulo vizuri na kukaa kwenye sehemu niliyo kuwa nimekaa hapo awali
“Huyu Amina yupo kweli?”
“Yupo amelala ndani kwake anadai leo amechoka”
“Ahaa karibu tule”
“Wewe kula mimi hapa nilipo sina hata hamu ya kula nimeshiba tumbo ndii”
Nikaanza kula taratibu huku nikimtazama Madam Zena ambaye kila nilipo matazama akawa anacheka
“Eddy sio siri kila nikikutazama mimi nabaki kucheka sana”
“Wakati wa kula sipendi kuzungumza utanifanya nipaliwe bure”
“Hahaaa haya endelea kula”
Madam Zena akaendelea kucheka na mimi nikaendelea kula chakula hadi nikashiba vizuri na nikavitoa vyombo vyote  na kuiacha glasi yangu ya juisi mezani.
“Sasa hapa nimeshiba”
 
“Kweli”
“Kweli hapa hata wakija hao waarabu ninauwezo wa kupambana nao”
“Nyoo toka zako kwanini hukupambana nao kipindi walivyokuwa kwako?”
“Ahaa walikuja wengi kiasi kwamba nikajikata ninatumia mbinu mbadala au plan B”
“Kweli hiyo Plan B.......Alafu Eddy wewe unajua hupendezi kuwa mwalimu?”
“Kwa nini?”
“Basi tuu ungakuwa daktari kidogo kungekuwa na nafuu”
“Hahaa ndio hivyo tena”
“Ngoja nikachukue tenge la kujifunika kwa maana ninahisi kuna vimmbu vinaning’ata ng’ata”
Madam Zena akaondoka na kunicha nikianza kutafuta chaneli nzuri zilizopo kwenye king’amuzi cheke.Nikafanikiwa kupata chaneli ya moja ya kizungu yenye miziki mizuri ya taratibu na nikajinyoosha vizuri kwenye sofa kama nipo kwangu vile na kichwa changu nikakilaza kwenye mguu wa sofa.Madam Zena akakaa kwenye sofa nililo kaa mimi sehemu niliyo ielekezea miguu yangu huku akiwa amejifunga tenge
 
“Eddy”
“Mmmm”
Madam Zena akakaa kimya ikanilazimu kukinyanyua kichwa changu na kumtazama na kumkuta akiwa ananitizama pasipo kuzungumza kitu cha aina yoyote,Nikauona mkono mmoja wa madam Zena akiupitisha taratibu kwenye miguu yangu na kunifanya nisisimke mwili mzima.Akazidi kuupeleka mkono wake hadi kwenye mapaja yangu na kuandelea kuvichezea chezea vinyweleo vyangu vingi vya mwilini wangu na tarati akaufikisha mkono wake kwenye koki yangu ambayo tayari imeshasimama kama namba moja na kwakutumia kiganja chake chake kilaini akaanza kuichua taratibu na kunifanya ninyanyuke na kumvuta kwangu na akanilalia kifuani kwangu.Tukaanza kunyonyana lipsi zetu huku ndimi zetu zikiwa na kazi ya kucheza mpira usio na refalii huku na yeye akiwa anaendelea na shughuli ya kichua koki yangu
 
Nikalifungua tenge lake na akabaki akiwa hana kitu na taratibu mikono yangu nikaishusha hadi kwenye kiuno chake na kukutana na shanga nyingi nyembamba zipatazo sita na nikaanza kuzichezea kwa mmfumo wa kama mtu anaye piga gitaa,Nikaachana na shanga na kumpa fursa madama Zena kujishusha kidogo hadi sehemu ulipo koki yangu na kuidumbukiza mdomoni na taratibu akaanza kuinyonya kwa ufundi na kuhisi mwili mzima ukiwa unasisimka hii pia iliongezewa na ufundi stadi wake wa kunyonya kokwa zangu ndogo kiasi na mara kwa mara aliziingiza mdomoni mwake na kuzimung’unya kama mtu anaye mung’unya ubuyu ulio kolea utamu wa sukari na nikashindwa kuzizuia hisia zangu na kujikuta nikiaanza kutoa milio ya kiume na yenye besi  jepesi
 
Nikamlaza madam Zena kwenye sofa na vidole vyangu viwili vya mkono wa kulia vikazama ndani ya ikulu yake na kuaanza kuvichezesha kwa kasi na kumfanya madam Zena kuanza kupiga makelele na nikazidisha kasi ya mkono wangu hadi nikashuhudia ikulu yake ikitawaliwa na maji meupe kisha nikaizamisha koki yangu kwenye ikulu yake na kazi ya mapambo ikaanza.Nikaanza kuyakumbuka maneno ya madam Zena ya kuniita mimi mwanaume suruali yakaanza kujirudia rudia kichwani mwangu na kujikuta nikizidisha utaala wa kumuweka mikao mingi ya kumkomoa japo na yeye anajitahidi katika kujibu mashambulizi yakukaa mikao yake ila ikafikia kipindi nikaanza kumuonea huruma.Hii nikutona na kuchoka kweke huku pumzi zikiwa zimemuishia na alipojaribu kuomba nafasi ya kupumzika nikamnyima kabisa na hadi ninamaliza mzunguko wa kwanza Madam Zena akajilaza kifuani kwangu huku akishindwa hata kuongea kutokana na kuhema na usingizi mzito ukampitia ila kwangu sikuweza kuupata hata kidogo ni kutokana na shuhuli niliyo ifanya.
 
Saa ya ukutani inaonyesha ni saa saba usiku nikamnyanyua Madam Zena na moja kwa moja nikaingia naye kwenye chumba alicho ingia kipindi anapo kwenda kuchukua tenge.Nikakuta kitanda kikubwa cha sita kwa sita kilicho na godoro lililo jazia ukubwa.Nikamlaza kitandani na mimi nikalala pembeni yake kisha nikamvuta kidogo na kichwa chake akakilaza kifuani mwangu na kuanza kuzichezea nywele nyingi za madam Zena.
“HIVI HAWA WAARABU WAKINIKAMATA SIKU ITAKUWAJE.........? SIJUI WATANIPELEKA JELA AU WATANIPIGA SHAPA(RISASI) NIFE?.........Mmmm ITANIBIDI NITAFUTE SEHEMU YA KUTOKOMEA........HATA NIKITOKOMEA NITAENDA WAPI.........JE MIMBA YA RAHMA ITAKUWAJE?”
 
Maswali mfululizo yakazidi kukiumiza kichwa changu na kusababisha usingizi kunikimbia kabisa,sikuwa na kitu kingine cha kupoteza mawazo zaidi ya kuaanza kuupapasa mwili wa Madam Zena na tararibu akaanza kutoa miguno iliyo changanyikana na usingizi mzito.Nikamlaza chali kisha miguu yake nikaichanua na kuanza kiichezea ikulu yake hadi nikaridhika na mechi ikaanza taratibu na kumfanya madam Zena kurudi mchezoni na kuachana na usingizi.Ila wakati huu tulienda kama wazee wenye umri mkubwa kiasi kwani kila mmoja aliweza kuusoma mchezo taratibu huku kiuno cha madam Zena kikiwa na kazi ya kukatika na mimi sikukilaza kiuno changu ambacho kwenye idara hii kinakatika bila wasiwaisi na kusababisha mechi nzima kutawaliwa kwa raha za tabasamu kwa upande wangu na wamadam Zena.
Tukamaliza mechi kila mmoja akajilaza upande wake huku tukiwa tumechoka kidogo kwa upande wangu usingizi ukaanza kunichuku taratibu na mwisho wa siku nikajikuta nikilala fofofo.Nikahisi kutu kikiwa kinanipapasa kwenye mapaja yangu na taratibu nikafumbua macho yangu na kujikuta nikistuka baada ya kumkuta Amina mfayakazi wa ndani wa Madam Zena akiwa mtupu kama alivyo zaliwa
“WEEE NINI UNAFANYA...?”
 
“Shiiii dada hayupo”
“Kwahiyo?”
“Na mimi kidogo nataka”
“Wewe koma na ukomae wewe msichana kwahiyo umeniona kuwa mimi ni Malaya sana hado unakuja na jisauti lako baya eti namimi nataka”
Nilizungumza kwa hasira huku nikijifunika shuka vizuri kutokana sina kitu chochote nilicho vaa ndani
“Jamani shemeji mbona jana dada ulimpa kwenye makochi pale na niliwashuhudia kila kitu mulicho kifanya au unadhani ni mwanamke wa jinsi gani anayeweza kushuhudia mechi kama ile ya jana usiku na akashindwa kuzizuia hisia zeke”
“Nisikilize wewe binti.....Hunijui sikujui ninacho kuomba toka ndani ya chumba kabla sijakufanya kitu kibaya ambacho sijapanga kukufanyia”
“Shem tambua hata mimi ninastahili haki yangu”
“Wewe umepagawa eheee....Kama haki si akupe mzee wako wa jana mchana unadhani sikuwaona kwa kitu mulichokuwa munafanya.....Alafu nyinyi wanawake wengine mbona hamujieshimu kila mukimuona mwanaume basi munataka”
Asha hakunielewa kabisa na akaanza kunisogelea kwa haraka na kuanza kulivuta shuka langu na ikawa ni kazi ya vuta nikuvute hapa ndipo nikayakumbuka maneno ya Asha ya jana mchana aliyo yasema kwamba anamapepo ya kidigo baada ya mkuu wa shule kushindwa kumpa Asha haki yake inayo stahili.
 
Tukasikia mngurumo wa gari ya Madam Zena ikisimama nje na kumfanya Asha kushuka kitandani na kuchungulia dirishani kisha akanitazama kwa macho makali kiasi na akaachia msunyo mkali
“Na bado tutaonana”
Asha akatoka ndani ya chumba huku akiniacha kijasho kikiwa kinanimwagika kiasi kwamba nikabaki nikiwa ninaheme kama nimetoka kukimbia mbio ndefu kwa maana nimetumia nguvu nyingi sana kumzui Asha kufanya kitu ambacho alichokuwa akihitaji kukifanya.Mlango ukafunguliwa na Madam Zena akaingia huku akiwa ameshika mfuko mweusi
“Niambie babaa”
“Safi vipi?”
“Poa....mbona jasho jingi linakumwagika vipi tena?”
“Nilikuwa ninapiga piga pushapu kidogo nimevinyoosha nyoosha viungo”
“Basi nenda ukaoge”
“Nitakwenda ngoja nipumzike kwanza”
“Hapa nimetoka sokoni na nimekulatea supu ya pweza kwa maana mmmmm nimekukubali mziki wako wa jana usiku kama umetumwaa”
 
“Kawaida”
Nikanyanyuka na kujifunga taulo na kwenda bafuni kuoga na wakati ninatoka nikamkuta Asha akiwa amesima karibu ya mlango wa kuingilia bafuni na akanitazama kwa macho makali kisha kama kawaida akaachia msunyo mkali hadi nikaanza  kutetemeka kwa kwa woga sikujua ana matatizo gani na kwa haraka nikahisi kuna kitu kinaweza kikawa ndani yake kwani ni tofauti nanilivyo muona juzi mchana nilivyo kuja na mkuu wa shule.Nikaingia chumbani na kumkuta madam Zena akiandaa supu ya pweza akiiweka ndani ya kibakuli
“Hivi nguo zangu zimekauka?”
“Hata kufuliwa bado leo utashinda kwa kujifunga tenge”
“Mmmm”
“Mbona unaguna?”
“ Ahaa hapana ila kukaa kwa kujifunga tenge ni shunghuli...Ninakumbuka siku nilipokuwa nimetahiriwa tenge ndio lilikuwa vazi langu kuu”
“Haaa utafanyanye itakulazimu uvumilie kwa leo”
Nikakaa kitandani kisha Madam Zena akanikabidhi kibakuli chenye supu ya pweza na kabla sijaanza kuinywa nikastuka baada ya kuona supu rangi yake ikiwa imebadilika na rangi yake kuwa damu ya binadamu kuku vijinyama nyama vya pweza vikigeuka na kuwa macho ya watu na kujikuta nikikiachia kibakuli cha supu na kumwagika kitandani
 
“EDDY.....”
“Mmmmmm...!!”
“Mbona umemwga supu”
“Eheee”
“Mbona umemwaga supu tena kitandani?”
Kabla sijamjibu Madma Zena gafla ukutani nikamuona Olvia Hitler akiwa amesimama pamoja na Amina mfanyazi wa Madma Zena wote wakiwa wamevalia mavazi meupe.Nakujikuta mwili mzima ukianza kunitetemeka na upande wa kushoto wa chumba nikwamuona mchungaji akiwa ameshika chungu kinachotoa moshi mwingi.Na taratibu Amina mfanyakazi wa madam Zena akashika panga alilo kabidhiwa na Olvia Hitler na taratibu akaanza kupiga hatua za taratibu na kisimama nyuma ya Madam Zena na kulinyanyua panga lake juu na kabla hajalishusha mwilini mwa Madama Zena nakiajikuta nikimrukia Madam Zena na sote tukaanguka chini ya kitanda na kumfanya madam Zena kutoa ukelele mmoja wa maumivu makali na akakaa kimya  na watu wote nilio waona ndani ya chumba sikuweza kuwaona tena na kujikuta nikianza kuchangajikiwa baada ya kumuona madama Zena akitokwa na damu za puani na mdomoni

     ITAENDELEA


Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts