Home » , » TANGA RAHA- Sehemu ya Ishirini na Nne ( 24 )

TANGA RAHA- Sehemu ya Ishirini na Nne ( 24 )

Written By Bigie on Thursday, March 8, 2018 | 2:57:00 PM

AGE………………18+
WRITER…………EDDAZARIA G.MSULWA

ILIPOISHIA  
 
“Wewe piga ila sipo tayari kufanya unachotaka kufanya”
“Mamaaa”
Yudia akapiga kelele  na kunifanya nimzibe mdomo huku nikiwa ninamshangaa.Akaifungua zipu ya suruali yangu na kabla hajauingiza mkono kwenye suruali yangu tukasikia sauti ya mama yake ikimuita huku akija sehemu ya chumba hichi tulichopo na kunifanya nianze kutetemeka

ENDELEA
     Wazo la haraka likanijia kichwani kwangu na nikalitekeleza kwa haraka ambalo nikaanguka chini na kunza kurusha rusha miguu kama mtu aliyepandwa na mapepo huku nikitoa makelele ya kunguruma na mikono yangu mara kwa mara nikiipeleka kwenye zipu yangu na kuifunga na kumfanya Yudia kusimama mlanoni kwa woga akimsubiria mama yake kuingia ndani ya chumba cha kusomea.Mama Mchungaji akaingi na baada ya kuniona nipo kwenye hali niliyo nayo ambayo kwangu ninaigiza ili kuua soo la kufumaniwa na mtoto wa mchumaji.
 
“Kalete biblia yangu ipo sebleni ya juu”
Yudia akatoka ndani ya chumba huku akinisogelea na kuniwekea mkono kichwa ni na akaanza kuniombea kimya kimya wala sikujua kama anaomba,Nikajikuta nikianza kutulia taratibu huku macho yangu yakiwa yametua kifuani mwa mama mchungaji kwani ukubwa wa maziwa yake yenye rangi nzuri ya kuvutia yakanifanya mawazo yangu kuanza kufikiria vitu vya ajabua ajabu.Yudia akafungua mlango na kuja hadi sehemu tuliyopo
“Hiyo biblia ipo wapi?”
“Sijaiona”
“Nimeiweka kwenye meza ya computer fanta haraka hali ya mwenzanu inakuwa mbaya”
“Sasa mama si umuamshe baba?”
“Baba yako yupo kwenye maombi binafsi hembu fanya haraka  kailete biblia hembu fanya haraka”
Yudia akaondoka na kumuacha mama yake akiendelea kukemea mapepo ambayo sikuwa nayo japo nimekubwa na vituko visvyo kuwa na kichwa wala miguu ila ninajielewa mimi mwenyewe,Nikaona nisimpotezee m mama wa watu muda nikasimama na kukaa kitako na kujifanya mapepo yamenitoka 
 
“Unajisikiaje Eddy?”
“Salama tuu”
“Ohhhh thak’s Loard”(Ohhhh asante bwana)
Mama mchungaji alizungumza huku akijifunga tenge lake vizuri na mimi nikanyanyuka na kukaa kwenye kiti
“Tukuletee kitu cha kula?”
“Haoana ninajisikia vizuri tuu”
“Mama nimeiona”
Yudia alizungumza huku akiingia ndani ya chumba tulichopo na akajikuta akiwa ameishika biblia huku akitushangaa kwa maana alihisi atanikuta nikiwa ninarusha rusha miguu kama mara ya kwanza
“Ameshapona?”
“Ndio amesha pona lete hiyo biblia nimpe mistari ya kusoma ili akajisome chumbani kweke”
 
Yudia akampa mama yake biblia na akaanza kunisomea mistaria ambayo nitwakenda kusoma chumbani kwangu.Nikaikariri na nikaagana nao na kuondoka ndani ya chumba na moja kwa moja nikaingia katika chumba ambacho Joseph alinionyesha.Nikapanda kitandani huku nikijichekea kimoyo moyo kwa kitendo nilicho kifanya
“Hii ya leo kali kumbe na mimi ninaweza kuigiza inanibidi niingie bongo movie”
Nilikisemea kimoyo moyo huku nikilirudia tendo nililokuwa nimelifanya na kujikuta nikicheka kwa sauti ya chini.Nikasimama na kuvua nguo zangu na kuingia bafuni na kufungulia maji ya bomba la mvua na kuanza kuoga huku nikipiga mluzi usio eleweka ni wa nyimbo gani.Nikastuka baada ya kuusikia mlango wa kuingilia chumbani kwangu ukifumguliwa  kutonana na mapovu niliyokuwa nayo usoni nikanawa uso wangu haraka haraka kwa kutumia maji masafi na kujifunga taulo na kuchungulia na kuukuta mlango ukiwa umefungwa kama nilivyo ufunga
“Mmm labda sijausikia vizuri itakuwa ni hii miluzi yangu ya kijinga”
 
Niliijifariji na kutudi tena bafuni na safari hii nikaoga haraka haraka na kutoka na kupanda kitandani na nikakumbuka mistari aliyo ambiwa na mama mchungaji na uzuri zaidi biblia ipo sehemu ya wazi ambayo nikaichukua na kuifungua na kujikuta nikistuka baada ya kuto kuikuta na anadihi hata moja.Nikairudisha mezani huku mapigo ya moyo yakianza kuniienda mbio huku nikianza kupata na wasiwasi
“Isije kuwa Olvia amekuja huku kwa mchungaji?”
Nilijiuliza maswali ambayo hayana majibu ya uhakika,nikachukua shuka nikajifunika gubigubi kuanzia miguuni hadi kichwani kwa lengo la kutokuona kitu cha aina yoyote kitakacho endelea ndani ya chumba nilichopo.Usingizi ulianza kunichukua taratibu na gafla chumba nilicho lala kikaanza kutwaliwa na makelele ya watu wakilia huku wengine wakicheka,nikanyanyuka huku nikiwa nimeyaziba masikio yangu nisiendelee kuyasikia makelel yanayoendelea.Nikaanza kupiga hatua za kwenda mlangoni ila nikastukia nikamuona mdogo wangu ambeye alifariki tukiwa wadogo akisimama mlangoni huku macho yeke yakiwa yanatokwa na damu huku mikono yeke akiwa ameinyooshea kwangu
 
“Kaka Eddy njoo njooo huku nilipo”
Gafla kwenye kona ya kushoto akatokea Mama yangu huku akiwa ameshika panga mkononi mwake akionekana akiwa ametokea shamba akaanza kunitazama kwa macho ya huruma huku machozi yakimwagika taratibu huku kichwa cheke akikitingisha kwa ishara ya kunisikitikia
“Eddy mwanangu nakuomba uondoke ndani ya hii nyumba si pazuri tafadhali mwanangu tafadhali mwanangu”
Sauti nzito ya baba nikaisikia ikitokea nyuma yangu na kujikuta nikigeuka kwa haraka na kumkuta baba mwili wake ukiwa ni mweusi kupita maelezo huku macho yake yakiwa yametoka kwa nje huku yakiwa yamejaa uweupe mkubwa kiasi kwamba nikazidi kuogopa
 
“Eddy ondoka ndani ya hii nyumba tafadhali mwangu ONDOKAAA.....”
Makelele yakazidi kunichanganya na taratibu wakaanza kunisogelea huku wakiniweka katikati na kutaka kunikumbatia na gafla nikajikuta nikiwasukuma na kustuka nikiwa nimekaa kitandani huku jasho jingi likiwa linanimwaika na kumkuta Yudia akiwa anamalizia kuvua nuo zake na kubaki kama alivyo zaliwa na sikuja hata ndani kwangu ameingia muda gani.Akapanda kitandani kwangu na kunifunua shuka nililo jifunga
 “WEE....”
“Shiiii”
Yudia akanilaza kitandani na kunikalia kiunoni huku akinitazama kwa macho malegevu huku na mikono yangu akichanua na nikawa kama ninasulubiwa
“Eddy emenifanya nishindwe kulala kwa ajilia yako”
“Ila wewe kumbuka kuwa wewe ni mwanafunzi”
“Kwani mwanafunzi ndio hapewi raha.....Nataka unipe japo kidogo kabla ya baba na mama hawajafanya yao”
“Hawajafanya yao yapi?”
“Tupotezee hilo”
 
Sikuwa na ujanja kwa jinsi Yudia alivyo niweka nikajikuta nikitulia na kumuacha Yudia kufanya yake taribu akaanza kuichua koki yangu hadi ikawa tayari kwa mapambano nikashangaa kuona koki yangu ikizama yote kwa Yudia ambaye kwa muonekano ni msichana mdogo kwa umri japo umbo lake ni kubwa kiasi kwama linamvuto wakumshawishi mwanaume wa aina yoyote kumtamani.Yudia akaendelea kujipa raha ila kwa upande wangu sikuwa na amani kabisa na akilini mwangu nikaanza kufikiria maneno niliyotokwa kuambiwa muda mcahche uliopita katika ndoto na kwajinsi tunavyo fanya hili tukio nikawa ninahisi kama mchungaji anatushuhudia uchafu wetu.Hadi tunamaliza kupeana raha Yudia akaonekana kuridhika na akajizala kitandani huku akihema na jasho likimwagika
“Eddy nikuambie kitu?”
“Niambie tu”
“Unajua kama baba na mama sio wachungaji kama watu wanavyo wadhania....Ila hii ni siri ninakuomba usimwambie mtu yoyote”
Nikajikuta mapigo ya moyo yakianza kuniende mbio kiasi kwamba nikajikuta nikinyanyuka kitandani na kukaa huku nikimtazama Yudia kwa macho makali kiasi huku nikiwa siamini manen anayo niambia
 
“Ikifika saa nane na nusu usiku nitakuonyesa ibada wanazo zifanya baba na mama na baadhi a watu kwenye kanisa lao”
“Unajua hadi sasa hivi sijakuelewa vizuri unamaanisha nini?”
“Ngoja ukajishuhudie na macho yako ndio utaelewa ninamaanisha nini kwani sasa hivi ni saa nane kasoro utaona tu kila kitu”
Tukakaa hadi mida ya saa nane usiku Yudia akaninong’oneza na kuniambia huu ndio wakati maalamu wa wazazi wake kwenda kwenye sala zao ambazo sikujua ni sala za aina gani wanazo zifanya wao.Tukatoka ndani ya chumba huku tukinyata na Yudia akiwa amevaa gauni lake la kulalia na tukafika sebleni na taa zote tukakuta zimezimwa na Yudia akaniomba tuingie ndani ya chumba cha kusomea nikataka kumuuliza swali ila nikasita na kujikuta nikiingia ndani ya chumba hicho na Yudia akasimama kwenye moja ya ukuta wenye vitabu na kuusukuma na ikafunguka njia ya mlango mwembamba amabao unaruhusu mtu kuingia.
 
“Twende”
Yudia akaniambia na sote tukaingia ndani ya ya chuma hicho ambacho kinagiza totoro ila kwa mbali kuna taa za vibatari zinazo waka kwa kwa mwana makali na Yudia akaniomba nisipige kelele ya aina yoyote kwani watu wapo kwenye ibada na ikitokea nitafanya kitu kama hicho utakuwa ndio mwisho wa maisha yetu.Katika chumba tulicho ingia kuna mabenchi kama ya kanisani ambayo kwa mbele yake kuna madhabahu ambayo wamesimama watu wachache walio valia mavazi meusi na mekundu ambayo yamewafunika vichwa vyao huku moshi mchache ukiwa umetawala kwenye madhabahu hiyo.Tukajifichwa kwenye moja ya benchi na kuendelea kuwashuhudia watu wapatao theladhini wakiimba nyimbo amabazo sikuzielewa ni nyimbo za aina gani kwani hata tune yake si kama nilizo wahi kuzisikia
 
“Pale baba na mama yako ndio wapi hao?”
“Baba ni yule aliyeshika lile jitabu kubwa na mama yule akiyeshika msalaba wenye nyoka mbele”
Nikaendelea kutazama kwa umakini na kuanza kujiuliza kama dini yenyewe wanayo ifanya huyu mchungaji na baadhi ya waumini wake ipo hivi je nguvu za kuwaombea watu na wakatokwa na mapepo wameziotoa wapi
“Wanatumia lunga gani kuzungumza pale?”
“Kile ni kirusi kilicho changanyikana na kireno”
“Wewe unakifahamu?”
“Ndio naelewa wanacho kizungumza....Kaka pale baba anasema kwamba hali ya waumini inazidi kuongezeka kanisani na anatoa pongezi kwa kanzi nzuri waliyo ifanya katika kuongeza wafuasi wa kanisa lao ambalo ni jipya kwa hapa Tanga”
Tukaendelea kutazama mambo wanayo yafanya na baada ya muda nikamuona mchunaji akinyoosha mkono wake kwenye kioo kikubwa na gafla ikatokea picha yangu kipindi nikiwa nipo sebleni kwa mchungaji ninakula na nikaanza kujikuta nikitetemeka kiasi kwamba nikataka kunyanyuka na kuondoka ila Yudia akanizuia nisiondoke
 
“Wanasema kuwa wewe ni miongoni mwa watu wenye nyota zenye nguvu duniani na wanahitaji waichukue ili waweze kuongeza kasi kubwa ya ukuaji wa makanisa yao”
Maneno ya Yudia yakazidi kunichanganya kiasi kwamba nikatamani ardhi ipasuke na niingie na inimeze
“Na wanasema adhimio hilo watalifanya kesho saa sita kamili mchana watakapo kuja nyumbani kwako kukuombea.....Na wanataka damu yako ndio itakuwa ufunguo mkubwa wa nguvu zao ambazo wanazo hitaji kuzipata kutoka kwako”
Galfa hali ya hewa ikaanza kubadilika mbela ya madhabahu na upepo mkali ukatawala na radi vikaanza kutawalia kila pande ya madhabahu ila watu walio kuwepo wakabaki wakiwa wamesimama huku mikono yao wameinyoosha mbele kana kwamba wanapokea kitu kutoka juu.Mwanga mkali ukatoka kwenye sehemu ya madhabahu yao na gafla wakatokea watu wawili walio valia nguo nyeupa na mmo akiwa ni mwanaume na mwingine akiwa ni Olvia Hitler na kunifanaya mwili mzima kunyong’onyea na kuishiwa nguvu kabisa

 ITAENDELEA

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts